Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Nikiona waislamu wanavyomsifia shehe Sulle na jinsi alivyo na heshima kubwa kwao Huwa ndiyo nazidi kuchoka.

Jamaa ninmweupe na mwongo vibaya mno. Anasimulia jambo Huku confidence mlima Kilimanjaro lakini uongo mtupu.

Imagine siku Moja anawasimulia waislamu msikitini kuhusu habari ya Los Angeles na Las Vegas. Ilikuwa vituko yani hadi unaona aibu.

Ila ajabu watu wanashangilia balaa na kuita takbiiiiir na wakapata hadi confidence ya kuipakia ile video kwenye social media na akaendelea kusifiwa na waislamu wa mtanaoni!!!

Alooo nilichoka asee!!

Alafu Kuna huyu wa kuitwa Kishk

Sikiliza huu upupu.

Kwa heshima yake alitakiwa aongee hivi kweli? Na hii ilikuwa 2021 ila afande anazidi kudunda hadi Leo.
View attachment 3612664
Shekhe sule ni Moja ya reference kwamba ndani ya Uislam ujinga ni mwingi mnooo ,.

Jamaa ni muongo sijawahi kupata kuona na people wanamuamini Aiseee Uislam na ujinga ni Pichu na 🍑

😀😀😄 Ana story yake Moja hiyo ana kuambia Muhammad Aliwahi kuugeuza mchana kuwa usiku !! 🙌😁
 
Muislamu mjinga tu ndio atamsifia Dr Sulle

Mimi nimeanza kumkataa toka nipo form one niliposikia akidanganya kuhusu ukuta wa China kabla ya kujua udhaifu wake katika elimu ya dini na itikado yake.

Hao MaSheikh walikuwa wanakubalika zamani kipindi hiko Elimu ya dini kwa watu ni ndogo sana na watu hawasomi , sasa hivi popularity Yao imeshika sana hata Muislamu wa kawaida anajua kuwa Dr Sulle na wakina mazinge matapeli.

Kama ilivyokuwa kwa Wakristo Mwamposa , Tito , Zumaridi nk Wana wafuasi basi hata hao MaSheikh hawakosi wafuasi
Dr.sulle . Shekhe mazinge na wale sijui watoto masharifu ule ni utapeli wa wazi , yaani ule ni utapeli kama wakina mwamposa Tena naweza kusema waislam ndio dini ya kwanza kuja na type hiyo ya utapeli nchini , miaka ya 80 to 90 wametapeli watu sana Kwa kupitia Imani ya dini miaka ile majority ya watu wa tz walikuwa wajinga ni wengi Sana basi jamaa wamevuna sana pesa za watu Kwa kupitia Dini Yao

Aisee pale ndio nilipo amini kwamba kweli binaadamu Ukimpandikiza mbegu ya Propaganda kichwani mwake anakuwa kama msukule
 
Upo sahihi Sana brother.

Nyie waislamu vijana na wasomi mnapaswa muokoe hili jahazi asee!

Hivi mfano wale jamaa waliokuwa wamepewa vipaza sauti kwenye press siku chache baada ya maandamano ya October wakijinasibu kuongea kwa niaba ya waislamu ukisikiliza tu yule ostaz aliyekuwa anaongea alivyo na jazba kwenye kuongea na maneno anayoongea unagundua hapa Kuna education barrier.

"Tutawakata vichwa"

"Kanisa tunazijua Mali zenu Huku mtaani. Tunazijua shule mnazomiliki, hospitals na taasisi zenu zingine...Nasemajee tutachoma moto nawaambia"

Na hawakuchukuliwa hatua.

Dini inaendelea kuzalisha maostaz wa aina hii Kila siku.

Vihiyo wanasimama madhabauni na kupewa kipaza kulisha watu neno la Mungu.

Siyo sawa.
Swali fikirishi.
Yule jamaa aliyesema atakata vichwa alionywa na muislam gani publically? Au huyu mwenye kikundi Cha mbwa mwitu ameonywa na shehe mkuu lini?
Ukitaka kutafakari unaweza kuwaza he wapi pamoja? Wanawaza sawa?
Maswali ni mengi.
 
A
Na yule aliyesema kuwa Maka Kuna Msikiti wa Majini yaani Masjid Al-Jinn:
Eti ulijengwa na Majini:
Na akaongeza kuwa alivyoenda Maka kuhiji alibahatika kusalimiana na Majini:
Yaani anaongea kwa kutamba kabisa:
cha basiiii 😄
 
Dr.sulle . Shekhe mazinge na wale sijui watoto masharifu ule ni utapeli wa wazi , yaani ule ni utapeli kama wakina mwamposa Tena naweza kusema waislam ndio dini ya kwanza kuja na type hiyo ya utapeli nchini , miaka ya 80 to 90 wametapeli watu sana Kwa kupitia Imani ya dini miaka ile majority ya watu wa tz walikuwa wajinga ni wengi Sana basi jamaa wamevuna sana pesa za watu Kwa kupitia Dini Yao

Aisee pale ndio nilipo amini kwamba kweli binaadamu Ukimpandikiza mbegu ya Propaganda kichwani mwake anakuwa kama msukule
Enzi zile wanakuja na watoto eti Masharifu hawajawahi kusoma wamezaliwa wanajua Qur'an , wale watoto watu waliwaona kama Manabii picha zao tu zilikuwa zinauzwa bei , Mimi nyumbani kwenye Album ya familia kulikuwa na picha ya mtoto Sheikh Sharifu Mzee alinunua na kuihifadhi.

Mihadhara yao ili focus na mabishano yasiyo na maana na Wakristo , mara Waislamu kuonewa , harakati za kisiasa , kuuza madawa Yao ya kitapeli , kutoOnesha sinema za movie za Kiislamu, Extrimist ideologies nk hakuna mambo ya msingi yanayoikumba Jamii kama kupiga vita ushirikina, matendo Mema , namna ya kuabudu nk.

Kwa miaka mingi kizazi kilichopita kiliwapokea sana mihadhara yao watu nyomi full propaganda Wazee, wanafanya mpaka mida ya usiku mbovu na mtu anaruhusu mke wake na familia nzima kwenda ...
 
Mzee alikuwa unaishi mkoa Gani ?? 😄😄🙌

Mbona kama mkoa wetu kabisa hii

Dahh ila jamaa wana dhambi sana mamaeee wamepoteza watu wengi sana
 
Nikiona waislamu wanavyomsifia shehe Sulle na jinsi alivyo na heshima kubwa kwao Huwa ndiyo nazidi kuchoka.

Jamaa ninmweupe na mwongo vibaya mno. Anasimulia jambo Huku confidence mlima Kilimanjaro lakini uongo mtupu.

Imagine siku Moja anawasimulia waislamu msikitini kuhusu habari ya Los Angeles na Las Vegas. Ilikuwa vituko yani hadi unaona aibu.

Ila ajabu watu wanashangilia balaa na kuita takbiiiiir na wakapata hadi confidence ya kuipakia ile video kwenye social media na akaendelea kusifiwa na waislamu wa mtanaoni!!!

Alooo nilichoka asee!!

Alafu Kuna huyu wa kuitwa Kishk

Sikiliza huu upupu.

Kwa heshima yake alitakiwa aongee hivi kweli? Na hii ilikuwa 2021 ila afande anazidi kudunda hadi Leo.
View attachment 3612664
Kisomo kilidunda kwenye Jani la Jamaica.
 
Back
Top Bottom