Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Yeah...Hii ndiyo hoja yangu katika comment pale juu.Wenzetu mwenzao akipotoka huwa wanamkataa wanasema sio Muislamu.
Huku tunauwezo wakumuita Mwamposa Tapeli, Tito Tapeli na hata wale Mapadre wa Vatican wanaolawiti huwa tunakubali ni wenzetu isipokuwa wamepotoka.
Kwao wanataka kutuaminisha hakuna Muislamu mtenda dhambi, hakuna Muislamu aliyepotoka.
Tatizo unalitatua kwa kulikubali kwanza lipo. Inabidi wakubali tu ni kweli Viongozi wetu wengi Elimu zao za Hapa na Pale kama Babu Tale.
Ona vichwa vya Iran vile, huwezi kuta vinaproduce shudu kama za kina Sulle na Mazinge. Wanajenga hoja hadi Trump mwenyewe ananyosha mikono.
Waislamu Wana tatizo la perfectionism.
"Uislamu umekamilika Hakuna muislamu anayeweza kufanya hivi"
"Huyu ni kafir siyo muislamu"
"Mashia siku zote ni makafiri hawafati Sunna za mtume"
Ukiwa na mindset ya aina hii huwezi kuwa mtu wa kuishi na jamii za watu wengine sawa.
Deep down unagundua hizi ni dini zenye misingi ya kibindamu tu na hazijakamika Zina magape na doubts nyingi tu ukizichimba.
Uislamu ukiwa kama dini Mojawapo nao una makosa mengi tu kwa sababu ni dini kama zingine.