The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
WAPI?
Nimecheka!Ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.....
Kwenye huo msafara wote sidhani kama kuna mtu alifika walau kidato cha sita au nne.
Wewe elimu dunia imekupa faida gani?Ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.....
Kwenye huo msafara wote sidhani kama kuna mtu alifika walau kidato cha sita au nne.
They were supposed to file a lawsuit instead of organizing unlawful march/protest. Who are the ringleaders? Kwani katika hii nchi ni nani yupo juu ya sheria?Kama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
dogo
Hata hiyo hijabu unayovaa ni matokea ya utaalamu wa elimu dunia. Kitabu kipi cha dini chenye formula ya kutengeneza mashine ya kufuma nyuzi zikatengeneza jora la kushonea hijabu?Wewe elimu dunia imekupa faida gani?
Who are.......How are the ringleaders
Hahahaha ukweli mtupu✅Ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.....
Kwenye huo msafara wote sidhani kama kuna mtu alifika walau kidato cha sita au nne.
Ngoja tuone Mwinyi atatoa tamko gani (alivyo mnafiki)Kama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
dogo
Typo. Asante kwa kunisahihishaWho are.......
Walitolewa na dada yao.Tulionya juu ya kuwaachia huru wale mashehe magaidi..stay tune more worse to come.
#MaendeleoHayanaChama
Anawahii🐖🐖🐖Hii taarifa haijakamilika, kwani una haraka ya wapi