Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Si wana building permit?Kama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
dogo