Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Tanzania bado kuna watu wapumbavu sana, uncultured savages kabisa. Lakini upumbavu wao unalelewa na baadhi ya viongozi wanafiki ambao ni wapumbavu kuliko hata waoKama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
Sasa huko kuna Waislamu wengi wanalalamika kujengwa kanisa,. Na maeneo yenye wakristo wengi kulikojengwa misikiti, waibomoe hiyo misikiti? Hapa ndio sehemu pekee ninapoona udhalimu wa polisi wetu unafaa kutumika. Piga watu hawa virungu, vunja kabisa viuno vyao wakaozee hospitali, wasitake kutuletea tafrani zisizo na maana nchini.