Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Hapana lipo njiani na milango huwa hawafungi naona nikipita mkuu naona kwa nje.
Sijawahi kwenda kanisani wala sitamani
Ila hata kuona kwa nje tayari ushafuatilia ibada mkuu mpaka hapo ushaenda kanisani tayari πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»
 
Wapemba asilimia 100 waislam Hilo kanisa anaswalia nani

wapo wageni pemba kama wafanyakazi, wafanyabiashara na watoa huduma wanaoenda pemba kikazi. je wao wasipate haki ya kusali?

mfano Wanyakyusa ni wakristo, ila bado misikiti ipo tukuyu , mwakaleli etc

Wachaga ni wakristo ila misikiti ipo kilimanjaro,

wajaluo na wakurya ni wakristo ila misikiti ipo Tarime na Rorya.
 
Wakiambiwa ukweli wanapaniki
Kuna kanisa huku mtaani ukisikia mziki utasema wapo wengi pita karibu wawili

mbona misikiti inapiga kelele tena imewekwa vipaza sauti kabisa, swala za asubuhi zinasumbua watu wamelala na hata hao waislamu wanaoenda msikitini asubuhi ni wachache sana hata 10 hawafiki, ila bado wakristo hatulalamiki?
 
Hawa ndugu zangu wamekosa akili, hekima na uvumilivu wa kiimani.
Kama walivyo huru kuamini katika uislamu na kujenga misikiti, ndivyo hivyo hivyo wanapaswa kujua kuna watu wengine wenye Imani tofauti wenye haki ya kuwa na uhuru huo huo.
Mzee uislam hauko hivo....Fundisho kuu la uislam ni Jihad...yani wapambane mpaka dunia nzima isilimu kwa upanga
 
hao ni wapumbavu tu
usipagawe na wajinga wachache
watu hawajawahi hata kusafiri wamejichimbia visiwani kama mafala
waje huku kariakoo wawaone wapemba wanzao wenye akili jinsi wanavyochangamkia fursa na hao wakristo ndio wateja wao wa kila siku
hivyo vibandiko walivyovaa kichwani vimezuia akili yao ya kufikiria,yamekuwa kama machizi

Umeonga kwa uchungu
 
Hivi kujenga kanisa ni kuvunja Sheria za Zanzibar, maana huwa naona hata serikali yao inaunga mkono, Mara kadhaa wanapiga marufuku ujenzi wa makanisa hata Kule unguja, Mara wanafuta usajili ili mradi wakristo wanaishi kwa hofu, achilia mbali kuchoma makanisa na hakuna anayekamatwa
 
Back
Top Bottom