Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

Unaambiwa ukikutwa unakula fimbo 6 mbili za mikono, fimbo mbili miguuni na fimbo mbili za mdomoni
Ni ujinga wa kiwango cha juu, mambo haya yanahitaji kutumia akili zaidi..
 
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.

. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni mwezi mtukufu kwa Waislamu, ambapo wanatakiwa kufunga kutoka alfajiri hadi jua linapozama kwa hiyo msijione nyinyi ni watu muhimu sana katika suala la iman bali wote ni sawa.

Mambo muhimu ya kuzingatia
1. Kuwa smart ( maana unaweza kutana na mtu aliye funga mdomo umekauka utadhani ameishiwa maji mwilini, usifanye hivyo maana kufunga siyo adhabu ya kushinda njaa kutwa zima )​
2. Usifunge kwa kulazimishwa na mtu, kwa sababu dini ni suala la imani na siyo kufuata mkumbo kutoka kwa familia yako, kutoka kwa sheikh wako au jamii Fulani.​
3. Siyo lazima kila mtu ajue kama upo kwenye mfungo, na punguzeni hasira ukiona sehemu Fulani vyakula vinanukia.​
watawa;etea ujinga hao hao!mm silazimishwi na mtu, nakula ninavyotaka na aniguse mtu aone!nione mtu ananiletea ujinga eti kwa nn unakula wakati mm nimefunga!nitamkata na panga!
 
Hawa watu wanaudhi sana na zile kelele. Hivi hawawezi punguza na kwa kuongea sauti ya chini kidogo
 
watawa;etea ujinga hao hao!mm silazimishwi na mtu, nakula ninavyotaka na aniguse mtu aone!nione mtu ananiletea ujinga eti kwa nn unakula wakati mm nimefunga!nitamkata na panga!
. Hucheki na wowote 😅 😅, yeah kila mtu aishi kwa uhuru kwa sababu hii dunia siyo ya kidini hata kidogo..
 
Back
Top Bottom