Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Neno tukufu ndiyo kiswahili kingine cha neno takatifuMimi nikajua mwezi mtukufu umeanza leo.
Mtukufu = mtakatifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno tukufu ndiyo kiswahili kingine cha neno takatifuMimi nikajua mwezi mtukufu umeanza leo.
Nchi ya kiislamu hawawezi kufanya huo ukafiri wazanzibari ni makafiri wa kiislamu ambao ndiyo wanaitwa WAISIHARAMU kama alivyo sema mtume muhammad mwenyewe.Zanzibar ni nchi ya kiislamu mkuu
Ni kweli hawawezi kugundua kama umefunga Sasa kama mtu unafunga kula dagaa ila misosi mingine unakula kama mchwa nani atagundua kama umefunga?Me nafunga muda wowote na nikifungwa hata mke na Watoto wangu hawatajua kama nanafunga
. Ndo maana nimetoa elimu hapo juu, mtu haendi mbinguni( kuabudi dini) kwa kulazimishwa, bali yeye mwenyewe na nafsi yake atajua atafika vipi.Jaribu kwenda Saudi halafu ujaribu kula hadharani kipindi kaa hichi ndio utaipata safi
Ukiangalia hapa, ni sawa na kazi bure tu, hakuna tofauti na mtu aliyeziba shimo la panya kwa kutumia mkate..Kumekucha sasa "
Astagfillulah nyinyi"
Status kugeuzwa ZBC 2
Mashungi na misikiti kujaa
Waturuki wafuturishaji na viroba vya unga
Mwezi ukiisha uhaini unarudi tena
Wananiachaga hoi sanaUkiangalia hapa, ni sawa na kazi bure tu, hakuna tofauti na mtu aliyeziba shimo la panya kwa kutumia mkate..
Na Znz hakuuziwi chakula wkt wa mtungo naukikutwa unakula wanakukamataKule Zanzibar kama wewe Mzanzibar na hauumwi kufunga ni lazima usipo fungal jamii inakuandama ndiyo Maana Wazanzibar wasiofunga wanakimbilia Tanganyika mpaka mfungo umalizike.
-Dini haipaswi kuwa kikwazo kwa dini nyingine, bali iwe fursa ya kuimarisha.Kama wewe ni Mtanganyika na uko nchi ya Zanzibar chukua Likizo njoo nyumbani.
Kama ni Mkristo na ni raia wa nchi ya Zanzibar fuata sharia za Zanzibar! Ni hilo tu.
. Ndo maana nimetoa elimu hapo juu, mtu haendi mbinguni( kuabudi dini) kwa kulazimishwa, bali yeye mwenyewe na nafsi yake atajua atafika vipi.
. Kwa nini ulazimishe mtu afuate njia ya kwenda( dini fulani), ingali wewe mwenyewe hujui kama utaenda au lahh...
Kumekucha sasa "
Astagfillulah nyinyi"
Status kugeuzwa ZBC 2
Mashungi na misikiti kujaa
Waturuki wafuturishaji na viroba vya unga
Mwezi ukiisha uhaini unarudi tena
Kaa kwa kutulia mzee fursa tafuta kwingine kwani lazima uende znz-Dini haipaswi kuwa kikwazo kwa dini nyingine, bali iwe fursa ya kuimarisha.
. Mshikamano,
. Heshima, na
. Maelewano katika jamii.
. Sasa Waislamu wanachukulia hili jambo kama vita na dini nyingine, jambo ambalo siyo sahih
Unaumia ukiwa wapi hahhahahha ila husda mbaya saana
Tende ni zao la biashara usihofi hatutegemei wabongoKwan isiwe zenj ??, kisa dini ndo mkatate fursa mtakula tende mpaka lini??