Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mwaka huu kulikua na vunja jungu kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Sheikh amesema bado, mpaka juma tatu.
Leo ni mwisho wa mwezi wa Shaaban, kesho ndo Ramadan unaanza.Mimi nikajua mwezi mtukufu umeanza leo.
Ndiyo, uko wapi ambako hakukuwa na vunja jungu?Mwaka huu kulikua na vunja jungu kweli??
Bara hakuna hiyo shida, tatizo ni Zanzibar maana huku ukikutwa hata unakunywa maji tu kupooza kiu wakati wa mfungo waweza kuchezea bakora za kutosha.
Unapewa kipigo kizito huku ukiambiwa:
" hapa siyo Bara..."
View: https://youtu.be/hxqz10va-sA?si=-kynU1yakpgCVzxs
Sasa kama imamu anamiliki wasenge wake na inajulikana hivyo, anawezaje kukemea ushoga?!. Zenj ni ya ajabu sana, kwenye dini wameweka msimamo mkali sana, ila vijana wanaharibika na Ushoga lakini wapo kimya kukemea hili suala la Ushoga..
Bara hakuna hiyo shida, tatizo ni Zanzibar maana huku ukikutwa hata unakunywa maji tu kupooza kiu wakati wa mfungo waweza kuchezea bakora za kutosha.
Unapewa kipigo kizito huku ukiambiwa:
" hapa siyo Bara..."
View: https://youtu.be/hxqz10va-sA?si=-kynU1yakpgCVzxs
Ulishawahi kuwaza hao huku bara wanaoingia humo misikitini wanapowaona nyie mkila pembezoni ya hiyo misikiti wanawawazia nini?Huku bara huwa hakuna chuki za kula mchana, maisha huendelea kama kawaida. Migahawa iliyopo kando na misikiti chakula kinaliwa mchana kama kawaida
Kwani Wakristo wanapofunga wakiwaona wengine wanakula unafikiri kuna kitu negative wanachowaza?Ulishawahi kuwaza hao huku bara wanaoingia humo misikitini wanapowaona nyie mkila pembezoni ya hiyo misikiti wanawawazia nini?
Usidhani wanakupenda kiasi hicho ni vile huku wengi tunajitambua siyo kama huko kisiwani.
. Duhhh.. 🥺 🥺, kama ndo hivyo iman gani anaiongoza hapo?? Au labda dini hiyo haikatazi masuala ya kugeuzana 🤔🤔Sasa kama imamu anamiliki wasenge wake na inajulikana hivyo, anawezaje kukemea ushoga?!
Vunja Jungu ni maandalizi kabla ya kuanza mfungo mtakatifu. Kipindi hiki ndio unaruhusiwa kama una makando kando yako kuyamalizaNdo nini hii mkuu?? 🤔 🤔
Kinyerezi hapa Sheikh wangu, sikusikia shamra shamra kabisaNdiyo, uko wapi ambako hakukuwa na vunja jungu?
. Ndo ilivyo, yani wanatani hata leo Tanzania yote iwe ya kislam, ili wakiamua jambo liwe kidini zaidi..Ulishawahi kuwaza hao huku bara wanaoingia humo misikitini wanapowaona nyie mkila pembezoni ya hiyo misikiti wanawawazia nini?
Usidhani wanakupenda kiasi hicho ni vile huku wengi tunajitambua siyo kama huko kisiwani.
. Hapo nimekupa mkuu.. 👏👏Vunja Jungu ni maandalizi kabla ya kuanza mfungo mtakatifu. Kipindi hiki ndio unaruhusiwa kama una makando kando yako kuyamaliza