Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .