Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Kuna apps nying tu playstore na appstore znakukumbusha muda wa swala
Kila mtu ana smartphone?
Msitake kuipeleka dini yetu kma nyinyi mnofuata matamanio yenu


Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
 
Wewe huna cha kuongeza kivipi?
Maana kuna WAISLAM hawafuati hizo hadith Sahihi wanajiita wasunni, wao wamegoma kabisa kuunganisha salat.
Na WAISLAM wengine wanazifuata wanajiita washia. Wao kila siku wanaunganisha.

Hakuna option ya tatu, hakuna kuwa neutral hapa...ni lazima uchague upande, kufuata au kutozifuata.
Hii ya elimu yangu ndogo, Mungu anajua zaidi...ni chenga tu ambazo wewe mwenyewe moyoni unajijua unasimamia upande upi.
Wanaogoma wapo sahihi,na wanaozifuata wapo sahihi.
maana tumeambiwa mtume katuachia vitu viwili Quran na hadithi zake.quran haina shaka ila kwenye hadithi Kama una vyojua zina madaraja yake matatu Kama sijakosea.
 
Huu mjadala ulikuwa mzuri sana ila umekuja kuharibiwa,na Walokole

Allah awaonyeshe Walokole hawa njia iliyonyooka.

Walokole semeni Amina.
 
Usiseme "Sasa sisi waislam..." Sema "Sasa nyie waislam..."
 
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
Waislam poa Yani shida sana unashindwa kuelewa Kama adhana nayo ni mwanzo wa ibada
 
Tatizo genZ mkiweka neno Quantum tu kwenye statement mnadhani mmeshamaliza kila kitu.
Hata kama cause is effect na zinaloop kama unavyosema haimaanishi hivyo vyote havina cause.
Kwanza hujatoa mfano wa hivyo vitu unavyoongelea kwenye quantum mechanics.

Unachofanya ni kuingiza logic ya kuku na yai kipi kilianza wakati tunajua kabisa there was a time hakukuwa na kuku wala yai, na haziwezi kuanza Both...so it means whatever the case, kati ya hao Kuku na yai ni either kimoja kilianza na kusababisha hiyo cycle ya causality au kuna kitu cha 3 ambacho kiko nje ya kuku na yai ndio kimesababisha hayo yote...Sasa kwasababu sisi hatujui ni kitu gani haimaanishi hakipo. Lakini normal reasoning suggests lazima kiwepo.

mfano wako wa kipofu hata sijauelewa maana rangi hazina sauti (Rangi ni perception/interpretation ya brains zetu juu ya specific electromagnetic wave frequency iliyo kwenye range fulan tunayoiita visible light, sauti ni interpretation ya ubongo wetu juu ya certain frequency of air vibrations) i feel like i shouldnt be explaining this but hizi ni concept mbili tofauti kabisa, maana moja ni mechanical wave nyingine ni electromagnetic....

Back to the topic....Causality is fundamental, You cant prove otherwise...if it wasn't, this university we live in would not make sense.
Effects would occur before the cause. Na hata time isingekuwepo.
Labda mkuu tunaongelea reality mbili tofati, mimi naongelea the reality we live in.
Wake up.
Endeleeni mkuu....kuna kitu najifunza hapa
 
Back
Top Bottom