Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umejionesha kwamba wewe ni mtu wa kubwabwaja kwa hisia badala ya kuangalia facts.Sawa nkimaanisha peace be unto you✌.
Kwasababu unachotaka nifanye siwezi...Sina tabia ya kuanza kufuatilia makablasha ya ID za jf sijui mwaka gani alipost nini...Sidhani kama wewe ulinifuatilia ulipoanza kuniita flatfooted, simpleton, mjinga nk....Huwa najadili hoja zilizopo mezani kwa wakati huo tu bila kujali ni nani najadiliana nae na alisema nini mwaka juzi. Kama unataka tuendelee kujadili sayansi sawa...
Sasa wewe unanitaka nikufuatilie ili nikujue na kukuacknowledge, its not in my character.
I know you'd be happy If I did so, But Im sorry that Im not sorry :'(
Pia ni mtu wa kuendekeza ego, ukikosea huwezi kukubali kwamba umekosea.
Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi.