Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Mtume aliruhusu kuzifupisha kuwa 3 hata hadith zimesemea hilo....ila nyie wasunni hamtaki kuelewa

Unahamisha magoli sasa...And this is a cheap trick.
Kuswali swala 3 kwenye mazingira gani?.alafu Mimi si Sunni Wala shia.mimi ni muislam
 
Yani wewe uniite mimi GenZ, kama kitu cha kwanza kwenye post yako, bila ushahidi, halafu nikikubana, useme mimi ndiye nahamisha magoli?

Kwani ni mimi au wewe aliyeleta habari ya GenZ?

Yani, wewe unajamba, mimi nikikwambia hapa umejamba, umechafua hewa, umeharibu mambo, unanilaumu mimi kukuambia hapa umejamba? Unasema nahamisha goli?

Kwani hujajamba kweli?

Naona hujakiri kwamba umehemuka kuniita GenZ, hujaniomba radhi, unanilaumu kwa kosa ulilifanya wewe.

Yani wewe si muongo tu, wewe ni muongo usiye na nidhamu wala aibu.

Una tabia ya kwenda kwa hisia zaidi ya fact.

Ndiyo maana huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka kuweka hisia oembeni na kwenda na facts.

Wewe ni mjinga, tena mj8nga mvivu.

Unaniita GenZ wakati ungeangalia profile yangu tu ya JF ungejua kwamba kwa post zangu hapa JF siwezi kuwa GenZ.

You are hopelessly emotional, huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka facts.
Its weird, baadala ya kuendelea na mazungumzo ya sayansi na kujibu hoja zangu za kisayansi umekomaa na hiyo GenZ kwa mahasira na matusi kibao. Mimi kpindi unaniita flatfooted, simpleton nilikukasirikia?

And the irony is, unamalizia kwa kusema and I quote
"You are hopelessly emotional, huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka facts."

I think hii statement ya mwisho uliiandika huku unaangalia kioo.
 
Sasa kama sipo unajibizana na nani hapa?

Na hata kama sipo, hiyo hoja ya msingi.

Hoja ya msingi ni uwepo wa Mungu. Ambayo umeikwepa.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Na huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Sasa wewe unaona just unaona mwezi unaona dunia,unaona watu, unaona bahari unaona wanyama.UNAJUA NANI ALIYEVILETA?
 
Its weird, baadala ya kuendelea na mazungumzo ya sayansi na kujibu hoja zangu za kisayansi umekomaa na hiyo GenZ kwa mahasira na matusi kibao. Mimi kpindi unaniita flatfooted, simpleton nilikukasirikia?

And the irony is, unamalizia kwa kusema and I quote
"You are hopelessly emotional, huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka facts."

I think hii statement ya mwisho uliiandika huku unaangalia kioo.
Wewe ni mtu ambaye unaweza kumkanyaga mwenzako kwenye daladala, halafu mwenzako akakuambia hapa umenikanyaga, halafu ukamlalamikia kwamba anaharibu lengo la safari, lengo la safari ni kufika.

Yani badala ya kufanya kitu kidogo tu, kuomba radhi kumkanyaga mwenzako muendelee na safari vizuri, utakataa kuomba radhi na kusababisha mzozo kwenye daladala, mzozo ambao unaweza kufanya safari isimalizwe.

Ndicho unachofanya hapa.

Sehemu ya kusema kitu kidogo tu kwamba "Samahani kaka, ninekuita GenZ kimakosa, nikiangalia post zako za awali hapa JF tu inaonekana wewe si GenZ, tuendelee na mjadala wa msingi" unashupaza shingo na kuweka ego yako mbele kwamba wewe hukosei.

Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi, sayansi haitaki ego, inataka facts tu.

Kama umeshindwa kuomba radhi kwa kuleta uj8nga nanuongo kwenye habari za GenZ ambazo ni rahisi sana, huko kwenye Quantum level causality loop sitaki mjadala nawe, utaniletea shombo la ujinga na ego yako tu.
 
Sasa wewe unaona just unaona mwezi unaona dunia,unaona watu, unaona bahari unaona wanyama.UNAJUA NANI ALIYEVILETA?
Kwa nini swali lako limekuwa "nani"?

Huoni kwamba swali lako linalenga kwenye jibu unalolitaka wewe?

Yani, hujui kitu kimepotea vipi, lakini unauliza "Mmasai gani kakiiba hiki kitu?"

Umejuaje kimeibiwa? Umejuaje aliyeiba ni Mmasai? Mbona swali lako limelenga sehemu moja?
 
Kwa nini swali lako limekuwa "nani"?

Huoni kwamba swali lako linalenga kwenye jibu unalolitaka wewe?

Yani, hujui kitu kimepotea vipi, lakini unauliza "Mmasai gani kakiiba hik8 kitu?"

Umejuaje kimeibiwa? Umejuaje aliyeiba ni Mmasai? Mbona swali lako limelenga sehemu moja?
Kwa sababu YUPO.au unaona vimekuja tu vyenyewe?hivi hata haujiulizi?wewe Nani,umetoka wapi ,unaenda wapi?
 
kuna ile kero fulan ya kutishana swalaa swalaa mara nyumba yako ndio kaburi, shuka lako ndio sanda mara iki mara kile, shenz kabisa ad usingiz wote unakata unabaki kuduwaa kwa wasiwasi ad panakuchwa
 
Yaani siku unaamua tu uswali swala 3.kuna aya au hadithi?
Eeeh braza, , si unaziunganisha mbili kwa Wakati mmoja ili usijisumbue unnecessarily.
Cheki apa
Sahih muslim 1524
Ibn Abbas reported: The messenger of Allah(may peace be upon him) observed the noon and afternoon prayers together in Medina without being in a state of fear or in a state of journey. Abu Zubair said: I asked Sa’id[one of the narrators] why he did that. He said: I asked Ibn Abbas as you have asked me, and he replied that he[the Holy prophet] wanted that no one among his Ummah should be put to [unnecessary] hardship.

Sahih muslim 1520
Abdullah b. Shaqiq reported: Ibn Abbas one day addressed us in the afternoon(after the afternoon prayer) till the sun disappeared, and the stars appeared, and the people began to say: Prayer, prayer. A person from Banu Tamim came there. He neither slackened nor turned away, but (continued crying): Prayer, prayer. Ibn Abbas said: May you be deprived of your mother, do you teach me sunnah? And then he said: I saw the messenger of Allah(may peace be upon him) combining the noon and afternoon prayers and the sunset and Isha prayers. Abdullah b. Shaqiq said: Some doubt was created in my mind about it. So I came to Abu Huraira and asked him(about it) and he testified his assertion.
 
Wewe ni mtu ambaye unaweza kumkanyaga mwenzako kwenye daladala, halafu mwenzako akakuambia hapa umenikanyaga, halafu ukamlalamikia kwamba anaharibu lengo la safari, lengo la safari ni kufika.

Yani badala ya kufanya kitu kidogo tu, kuomba radhi kumkanyaga mwenzako muendelee na safari vizuri, utakataa kuomba radhi na kusababisha mzozo kwenye daladala, mzozo ambao unaweza kufanya safari isimalizwe.

Ndicho unachofanya hapa.

Sehemu ya kusema kitu kidogo tu kwamba "Samahani kaka, ninekuita GenZ kimakosa, nikiangalia post zako za awali hapa JF tu inaonekana wewe si GenZ, tuendelee na mjadala wa msingi" unashupaza shingo na kuweka ego yako mbele kwamba wewe hukosei.

Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi, sayansi haitaki ego, inataka facts tu.

Kama umeshindwa kuomba radhi kwa kuleta uj8nga nanuongo kwenye habari za GenZ ambazo ni rahisi sana, huko kwenye Quantum level causality loop sitaki mjadala nawe, utaniletea shombo la ujinga na ego yako tu.
Basi sawa kaka mkuu.
 
Eeeh braza, , si unaziunganisha mbili kwa Wakati mmoja ili usijisumbue unnecessarily.
Cheki apa
Sahih muslim 1524
Ibn Abbas reported: The messenger of Allah(may peace be upon him) observed the noon and afternoon prayers together in Medina without being in a state of fear or in a state of journey. Abu Zubair said: I asked Sa’id[one of the narrators] why he did that. He said: I asked Ibn Abbas as you have asked me, and he replied that he[the Holy prophet] wanted that no one among his Ummah should be put to [unnecessary] hardship.

Sahih muslim 1520
Abdullah b. Shaqiq reported: Ibn Abbas one day addressed us in the afternoon(after the afternoon prayer) till the sun disappeared, and the stars appeared, and the people began to say: Prayer, prayer. A person from Banu Tamim came there. He neither slackened nor turned away, but (continued crying): Prayer, prayer. Ibn Abbas said: May you be deprived of your mother, do you teach me sunnah? And then he said: I saw the messenger of Allah(may peace be upon him) combining the noon and afternoon prayers and the sunset and Isha prayers. Abdullah b. Shaqiq said: Some doubt was created in my mind about it. So I came to Abu Huraira and asked him(about it) and he testified his assertion.
Sasa hapo NI sala 3 au umeunganisha?Mimi nikajua unasali sala 3 kwa maana adhuhuri,alasir, magharibi alafu Isha na asubuhi unapiga kapuni.
 
Hapana, sasa katka hii kuunganisha ukawa unaswali mara 3 kila siku ni sawa?
 
Sawa nini?

Nakupa nafasi ya kuomba radhi kwa kuniita GenZ, na kukubali kwamba umekosea, tulifute hili katika mazungumzo, tutoke kwenye hili, tuendelee na mjadala wa kisayansi.

Basi sawa kaka mkuu😁😁
 
Sawa nini?

Nakupa nafasi ya kuomba radhi kwa kuniita GenZ, na kukubali kwamba umekosea, tulifute hili katika mazungumzo, tutoke kwenye hili, tuendelee na mjadala wa kisayansi.
Sawa nkimaanisha peace be unto you✌.
Kwasababu unachotaka nifanye siwezi...Sina tabia ya kuanza kufuatilia makablasha ya ID za jf sijui mwaka gani alipost nini...Sidhani kama wewe ulinifuatilia ulipoanza kuniita flatfooted, simpleton, mjinga nk....Huwa najadili hoja zilizopo mezani kwa wakati huo tu bila kujali ni nani najadiliana nae na alisema nini mwaka juzi. Kama unataka tuendelee kujadili sayansi sawa...
Sasa wewe unanitaka nikufuatilie ili nikujue na kukuacknowledge, its not in my character.
I know you'd be happy If I did so, But Im sorry that Im not sorry :'(
 
Umejionesha kwamba wewe ni mtu wa kubwabwaja kwa hisia badala ya kuangalia facts.

Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi.
 
Back
Top Bottom