Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mtume anasema "umma wangu utagawanyika makundi 73 yote yataingia motoni isipokua moja tu ambalo litakua kama yeye na maswahaba zake walivo" sasa ww unasemaje huna dhehebu?
Dhehebu la haki na la kulifuata ni lile lenye kufuata Qur'an na sunna za mtume na hao si wengine nao wanajulikana ni Assalafiyun peke ao
Kwahiyo Assalafiyun ndio dheheb pekee sahihi? Ibadhi, Sunni n.k ni wamotoni??