Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Katika one track mind yako options ziko mbili tu, nimeletwa na Mungu au nimejileta mwenyewe?

Huoni option obvious kabisa kwamba nimeletwa na wazazi wangu ambayo haimuhitaji Mungu kuelezea nimetoka wapi?

Wewe unayeona umuhimu sana wa "hiki kipo, kimetoka wapi?" Nikikuuliza Mungu katoka wapi, katokeaje, unalo jibu?
Hao wazazi wameletwa na nani?
Tutarudi nyuma evolution mpaka the first cell mpaka creation of the solar system mpaka the big bang.
Hapo sasa ndo base ya argument inakuja. There has to be an igniter.

Swali la mungu katoka wapi ni illogical because definition yake ni yuko out of time, hence haitaji kuwa caused
Ni kama namba saba. Does it make sense kuuliza Nani aliitengeneza namba saba?

Sasa God ni kama namba 7 yenye uwezo wa kucreate..Omnipotence.
 
Soma the break down of causality in quantum physics uweze kujua kwamba, hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi kwamba ni lazima kuwe na primary mover.

Kwa sababu, katika break down ya causality, katika quantum physics, hiyo hiyo cause A inayosababisha effect B nayo inaweza kuwa effect ya effect B.

Na kufanya cause kuwa effect ya effect na effect kuwa cause ya cause katika namna ambayo suala zima la cause and effect linakosa maana, kwa sababu suala zima la cause and effect linakuwa katika mzunguko, vitu vyote vinasababishana na vinasababishwa, hakuna primary mover. A inasababisha B, na B inasababisha A, katika mzunguko ambao huwezi kusema kipi kimeanza, A au B.

Tatizo unaongelea haya mambo wakati hujayafuatukia kwa undani.

Nenda kasome causality inavyovunjika katika quantum physics halafu urudi tujadiliane baada ya wewe kusoma.

Sasa hivi naona mapengo katika uelewa wako.
Sasa mimi natake one step back...Nani aliyecause hizo A na B kwa pamoja???
Relations ni kitu cha kawaida...ila hazidebunk prime causality mkulu.
 
Hao wazazi wameletwa na nani?
Tutarudi nyuma evolution mpaka the first cell mpaka creation of the solar system mpaka the big bang.
Hapo sasa ndo base ya argument inakuja. There has to be an igniter.

Swali la mungu katoka wapi ni illogical because definition yake ni yuko out of time, hence haitaji kuwa caused
Ni kama namba saba. Does it make sense kuuliza Nani aliitengeneza namba saba?

Sasa God ni kama namba 7 yenye uwezo wa kucreate..Omnipotence.
Nimekuonesha kwamba, katika physics, suala zima la cause and effect si fundamental kama unavyolifikiria. Hususan katika muktadha wa kuwa na first mover.

Hii habari ya kufanya first mover kuwa so fundamental and necessary ni dhana inayotokana na anthropic bias yetu tu, kwa sababu sisi kama watu hatuujui ulumwengu at the fundamental level.

Argument ya first mover, hata kama kila kitu kinahitaji cause, si valid wala fundamental.

Kwa sababu, katika quantum physics, hata kama kila kitu kinahitaji cause, the cause can be the effect and the effect can be the cause in a way that a first mover is not needed.
 
Mleta uzi upo sawa..mana ni kero kweli kweli kupigizana makelele kuamshana watuwazima kama watoto wadogo ambao hawajui nini cha kufanya.

Wengi wafia dini watakupinga ila zama zimebadilika watumie hata group za WhatsApp kuamshana kuswali.

Kama unaishi karibu na msikiti hakika ni kero kweli kweli wengine hadi sifa sasa..mpaka mawaiza wanafanya hayo maspika yakiwa on.

Mbaya zaidi adhana zenyewe ni full kutishana mara ooh kitanda kaburi mara shuka ni sada..utadhani wao wameyapatia maisha sana kumbe ndio wale wale.

Ni muda sasa wa kuachana na analogia na kwenda kidikitali...alam zinatosha.

#MaendeleoHayanaChama
Duuuuu! Ukiwa na uzima binadamu unakuwa na jeuri kwelikweli ,hongera sana mkuu na hicho kiburi chako cha uzima
 
Wenye dini yao wenyewe wamechukua hatua khs adhanaa lkn unakuja mmatumbi kutoka huko porini ndani ndani na kuanza Kulia Lia.

Saudi Arabia imposes restrictions on use of loudspeakers in mosques, penalty for violators.​


Nearly two years after discussions surrounding the limit to the usage of loudspeakers in and around mosques began, the Kingdom of Saudi Arabia has issued a notification banning the use of outer loudspeakers in mosques across the Middle-Eastern country
Sikia wewe, Saudia haijapiga marufuku wala kuchukua hatua yoyote dhidi ya Adhana. Naona kuna sehemu umeiruka huenda makusudi kwa sababu inapingana na unachokidai na nitakionesha au hujaelewa. Walichodhibiti ni kutumia loudspeakers katika isiyokuwa adhana na iqama. Yaani Swala, Khutba, Mawaidha na mengineyo watatakiwa kutumia spika za ndani na sauti isiwe kubwa nje isipokuwa Adhana na Iqama ndio itatumika loudspeakers za nje. Umeelewa??

Saudi Arabia imposes restrictions on use of loudspeakers in mosques, penalty for violators​

Saudi Arabia has directed mosques to only use loudspeakers for Azan (the call to prayer) and the Iqamat (which is the second call for communal prayer).​

Saudi Arabia has directed mosques to only use loudspeakers for Azan (the call to prayer) and the Iqamat (which is the second call for communal prayer).​

Written by Jitesh Vachhatani









Saudi Arabia, mosques

Image Credits: AP

Republic World

Nearly two years after discussions surrounding the limit to the usage of loudspeakers in and around mosques began, the Kingdom of Saudi Arabia has issued a notification banning the use of outer loudspeakers in mosques across the Middle-Eastern country. The Arab state has imposed restrictions on the use of loudspeakers in mosques based on the Sharia law which suggests 'no harm or harm' and a fatwa of Sheikh Muhammad bin Saleh Al-Uthaymeen and Saleh bin Fawzan Al-Fawzan, not to use external amplifiers for purposes other than the call to prayer. While the new directives issued do not completely ban the use of loudspeakers, it places significant restrictions to ensure that the loud noise is not inconvenient to all.

As per reports in local media, the notice issued by Saudi's Minister of Islamic Affairs Sheikh Dr Abullatif Bin Abdulaziz Al-Sheikh, directs mosques to only use the loudspeakers for Azan (the call to prayer) and the Iqamat (which is the second call for communal prayer). The notice allows the use of loudspeakers during prayers, provided the noise remains confined to inside the mosques, and that the level of loudness does not exceed one-third of the level of loudspeaker device. Significantly, non-adherence to the said rules might lead to the imposition of a penalty on violators.

'Legal action against those who violate'​

Furthermore, the Ministry of Islamic Affairs noted that communicating the imam's voice in prayer is limited to only those inside the mosque and that there is no legitimate reason to communicate the same to those at home. 'In addition to the fact that reading the Quran on external amplifiers is disrespectful to the Quran when it is recited loudly using external loudspeakers, while no one is listening to and pondering on its verses,' the circular reads. It also notes that reading the Quran through external amplifiers is a disrespect for Quran when it is not heard.

READ | Pakistan opposition mocks Imran Khan govt as rice charity by Saudi Arabia causes stir
"A circular for all branches of the Ministry stipulates directing mosque employees to limit the use of external loudspeakers to raising the call to prayer and accommodation only, and that the level of loudness in devices does not exceed a third of the degree of the loudspeaker device, and to take legal action against those who violate," an official statement from the Saudi Ministry on Twitter reads.


As per reports in Gulf media, the Ministry has also expressed concern at the use of external loudspeakers during prayers which could affect vulnerable groups, including the elderly and children. Notably, being a Muslim-majority state, Saudi Arabia has more than 98,800 mosques including the grand mosque in Mecca and the Prophet's mosque in Medina.


Umeelewa sasa?
 
Sasa mimi natake one step back...Nani aliyecause hizo A na B kwa pamoja???
Relations ni kitu cha kawaida...ila hazidebunk prime causality mkulu.
Pamoja maananyake ni nini? Katika ulimwengu ambao hata time yenyewe haipo, nanikiwapo ni relative, si absolute, utasemaje suala la pamoja?

Yani wewe sasa hivi ni kama mtu kipofu asiyeona, unahadithiwa kuhusu rangi za bendera ya taifa zilivyo.

Sasa unataka kuzijua zike rangi, lakini huoni. Unasikia tu.

Unataka uelezwe rangi nyeusi ina sauti gani, rangi ya njano ina sauti gani, rangi ya bluu ina sauti gani na rangi ya kijani sauti yake ikoje.

Wanaokuelezea dhana nzima ya rangi wanabtabu sana. Kwa sababu hawana nyenzo za kukuelezea rangi ni nini, na wewe kipofu hujui rangi ni nini.

Hii ndiyo kazi uliyonipa hapa.

Tofauti yako wewe nankipofu huyu ninkwamba, wewe una uwezo wa kuondoa upofu wako kwa kusoma breakdown of causality in quantum physics.

Nimeona umetumia maneno kama entropy, kwa hiyo una ufahamu japo wa msingi wa physics.

Nakushauri kasome kabla ya kubushana, iki hata ukibushana baada ya kusoma, uwe unabishana kwa maarifa ya usomi.

Sasa hivi naona hatuelewani.

Miki nakwambia causality is a mirage, an anthrooic bias, not fundamental.

Wewr unarudia kulekule kwenye causality, unaukiza nani kasababisha causality kuwa hivyo?

Swali lako linaonesha hata hujaanza kuelewa somo.
 
Mtaongea sana, adhana itaendelea kama kawaida,,,, sasa ajifanye mtu kuzuia, atakipata akitakacho na huko ataenda kusimulia
 
Rwanda imewezekana,
Tanzania itawezekana pia....
 
Duuuuu! Ukiwa na uzima binadamu unakuwa na jeuri kwelikweli ,hongera sana mkuu na hicho kiburi chako cha uzima
Suala si jeuri ya uzima.

Hizi hqbari za kutusha watu kwa maneno kama "jeuri yabuzima" ni saikolojia ya terrorism. Unataka watu wafanye unachotaka wewe kwa vitisho. The definition of terrorism.

Actually watu wanaosema wanamjua Mungu na kusumbua wenzao ndio wenye jeuri.

Hususannkwa sababu ukiwabana wathibitishe huyo Mungu yupi, hawawezi.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
 
Nyie mbwa hizi spekaker mmezikuta huku mitaani na mtaziacha. Na hakuna cha kutoa spekaker misikitini. Kama hamtaki kusikia adhana nendeni mkaishi mbali na misikiti mbuzi nyie
 
Adhana kwa waislamu ni jambo la lazima labda katika kutumia loud speaker ndio ambalo linazungumzika.Wataacha kutumia loud speaker je, kumbi za disco zitazuiwa kupiga mziki?walokole je?.Haya mambo siyo ya kukimbilia kujaji kirahisi tu.Adhana dakika zisizozidi tano ndiyo inalalamikiwa kuliko hayo mengine yanayochukua muda mrefu kusumbua Wananzengo.
 
Huo ni utmaduni wa waislamu tuwaache na utmaduni wao, hivi inakera nini ukisikia Mungu mkubwa njoo tumuabudu?
Wakatoliki nasi tuna utmaduni wetu wa kengele ya kanisani kupigwa mchana (Angelus) na saa jioni saa 12.

Huko kwetu Parokia ya Kibosho hizo kengele zinasikika katika radius ya km 20 na huwa ikipigwa Watu wote huacha kazi na na kusali sala husika.
Yooote ni mema tuvumiliane
 
Ulizia Rwanda Kagame anadundika mpaka Leo

Nasema hivi, wewe mtanzania na wenzio mnaoupiga vita uislamu jaribuni kuzuia adhana muone, mtarudi nyumbani kwenye wheelchair mzee, acha kabisa


Bhujiku ng'waka!
 
Nawaona mnaanza choko choko, watu wenyewe ni wachache mkijichanganya tutawamaliza.
 
Kuvumiliana kukoje?

Kati ya mtu asiyependa kelele anayeona adhana ni kelele na yule anayeona adhana ni haki yake ya kidini nani amvumilie nani? Kwa nini?
Sheria zetu mwisho saa sita usiku kupiga mziki au aina yoyote ya kelele.. Adhana mwisho saa mbili usiku mpaka afjir saa kumi na moja na adhana ni jambo la imani katika dini ya kiislam kwa mujibu wa katiba kila mtu ana haki ya kuabudu lazima tuvumiliane kwa mwenye dini na asye na dini kwa sababu kila mtu ana haki
 
Back
Top Bottom