Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Una assume kuna aliyenileta, hujathibitisha hilo.Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
Thibitisha kuna aliyenileta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una assume kuna aliyenileta, hujathibitisha hilo.Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
Kama unaupenda sana uislamu kwanini usifanye mpango uishi chini ya dola la kiislamnini
Nini maana ya dola la kiislam?Kama unaupenda sana uislamu kwanini usifanye mpango uishi chini ya dola la kiislamu ?
Wenye dini yao wenyewe wamechukua hatua khs adhanaa lkn unakuja mmatumbi kutoka huko porini ndani ndani na kuanza Kulia Lia.
Saudi Arabia imposes restrictions on use of loudspeakers in mosques, penalty for violators.
Nearly two years after discussions surrounding the limit to the usage of loudspeakers in and around mosques began, the Kingdom of Saudi Arabia has issued a notification banning the use of outer loudspeakers in mosques across the Middle-Eastern country
Kwanza nikupe elimu kidogo.HAKUNA MWENYE DINI YAKE UISLAM.muarabu sio mmiliki wa uislam.ni sawa na kusema wayahudi ndo wanaumiliki ukristo ile NI njia tu.Wenye dini yao wenyewe wamechukua hatua khs adhanaa lkn unakuja mmatumbi kutoka huko porini ndani ndani na kuanza Kulia Lia.
Saudi Arabia imposes restrictions on use of loudspeakers in mosques, penalty for violators.
Nearly two years after discussions surrounding the limit to the usage of loudspeakers in and around mosques began, the Kingdom of Saudi Arabia has issued a notification banning the use of outer loudspeakers in mosques across the Middle-Eastern country
Kuna njia nyingi za kujibu swali, kuna kujibu swali kwa swali pia.Nimekupa nafasi ya kuthibitisha Mungu yupo.
Umeshindwa, umeniuliza mimi nimetokea wapi. As if swali hilo linaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Nikakwambia umeleta argument from ignorance, logical non sequitur na false a priori fallacy.
Wewe huelewi hata kwamba kwa mtu anayesema Mungu yupo, the burden of proof is on that person to show that God exists. Anayepinga uwepo wa Mungu hana burden of proof, yeye anatakiwa kuhoji tu.
Hujui hata burden of proof iko wapi.
Ndiyo maana unasema Mungu yupo, halafu, badala ya kuthibitisha Mungu yupo, unanipa mimi burden of proof kuonesha kwamba Mungu yupo.
Unaelewa kwamba msikiti kuhitaji adhana tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo?
Nimekuuliza kama Allah yupo, kwa nini asiwatumie ndoto watu wote waamke kwa wakati na kwenda kuswali?
Hujaelewa na hujajibu swali.
Kwahyo umejileta?Una assume kuna aliyenileta, hujathibitisha hilo.
Thibitisha kuna aliyenileta.
Haya yanayokea yalishatabiriwa na mtume muhammad s.a.wWenye dini yao wenyewe wamechukua hatua khs adhanaa lkn unakuja mmatumbi kutoka huko porini ndani ndani na kuanza Kulia Lia.
Saudi Arabia imposes restrictions on use of loudspeakers in mosques, penalty for violators.
Nearly two years after discussions surrounding the limit to the usage of loudspeakers in and around mosques began, the Kingdom of Saudi Arabia has issued a notification banning the use of outer loudspeakers in mosques across the Middle-Eastern country
View attachment 2388020
Muazini ni ajira kama ajira zingine
Pump up the volume Muazin[emoji38]
View attachment 2388022
Sisi huku Temeke Muazin wetu analipwa, labda awe anaumwa ndio volunteers wataazini.HAKUNA mshahara wa muadhini,
Wala kuadhini sio kazi ya mtu KULIPWA au kuitegemea.
Ndo maana Kama muadhini HAYUPO mtu yeyote anaweza kuliamsha muda ukifika.
Na hata Kama imamu HAYUPO muda ukifika WATU WANA SWALI.
Huo ndo uislam.
Uislamu ni perfect .....no further modifications are needed......jinsi ulivyo utakuwa hivyo hivyo hadi kiama kisimameUnakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
Hizo ndo dalili za mwisho wa duniaSisi huku Temeke Muazin wetu analipwa, labda awe anaumwa ndio volunteers wataazini.
Cause ni nini?Kuna njia nyingi za kujibu swali, kuna kujibu swali kwa swali pia.
Sasa wewe tatizo unataka ushahidi ambao unataka uwe kwa mfumo unaotaka wewe ambao haupo, yani umejiseti ili kukataa majibu ya aina yoyote...you are obviously biased.
Kwenye huu ulimwengu Kila kitu kina cause...lakini hatuwezi kuwa na infinity ya past causes (yani Z was caused by Y and Y was cused by X ....till infinity). Also kwasababu time is in motion and entropy is increasing it means there must have been a beginning,
Kwasababu an infinite past is impossible.
Na kama kila kitu kina kuwa caused lakini there is a beginning basi it necessitates a prime mover.
An uncaused cause. That is not bound by the shackles of time.
That is what we call God.
Sasa Muazin akale wapi, wakati ni full time job.Hizo ndo dalili za mwisho wa dunia
Katika one track mind yako options ziko mbili tu, nimeletwa na Mungu au nimejileta mwenyewe?Kwahyo umejileta?
Hivi kumbe ni kweli common sense isnt so common nowdays?
Dini zinahubiri Mungu yupo.Kwanza nikupe elimu kidogo.HAKUNA MWENYE DINI YAKE UISLAM.muarabu sio mmiliki wa uislam.ni sawa na kusema wayahudi ndo wanaumiliki ukristo ile NI njia tu.
Pili SIO KILA anayevaa kanzu na kofia basi ni muislam.wengine wanavaa na kujiita waislam lakini matendo yao sio ya kiislam.saudia Sasa hivi imebadilika na ndio nilichosema DALILI ZA MWISHO WA DUNIA.watu wanataka Uhuru na kuona dini inawafunga funga na kuona dini ya UISLAM imepitwa na wakati.haya yote yalishatabiriwa na lazma yatokee ili huo MWISHO UJE
Wewe sio Muislam. Acha kejeli.Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
Hii sasa labda unaleta tu ubishi, sio tu common sense Even in science So far kila kitu tunachokijua kina cause(physical things), every matter every energy. Because change is inevitable kwasababu ya 2nd law of thermodynamics...Na sio kuwa na cause tu bali vinakuwa affected with time (for the same reason).Unajuaje kila kitu kina cause?
Na unaelewa kwamba hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi ni lazima kuwe na prime mover?
Na technologia iko kuondoa kúkufanya ufikie tengo kwa urahisi bila kuleta usumbufu au madhra kwa viumbe wengine. KWA kakariri tu watapingaUnakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
Hata alarm ni adhana. Shida ni kakariri tū.Astaghfirullah, mafundisho yanatutaka tukumbushane kwa Adhana sio mwa Alarm kama utakavyo wew
Soma the break down of causality in quantum physics uweze kujua kwamba, hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi kwamba ni lazima kuwe na primary mover.Hii sasa labda unaleta tu ubishi, sio tu common sense Even in science So far kila kitu tunachokijua kina cause(physical things), every matter every energy. Because change is inevitable kwasababu ya 2nd law of thermodynamics...Na sio kuwa na cause tu bali vinakuwa affected with time (for the same reason).
So it implies that complexity arises from simplicity.
Mfano hizi cities zilianza na kajumba kamoja porini, Wewe ulianza kama ka'cell, hizi galaxies zilianza from condensed singularities. Etc.
So kama time inacreate complexity (increase in entropy) and tunavyorudi nyuma vitu vinazidi kuwa simple..it follows kwamba hatuwezi kuwa na infinite past , there has to be a simplest start in which it cant get simpler.
Sasa ile ignition ya kuanzisha hiyo simple start/beginning ilitoka kwa nini/nani?
Kwasababu the simplest start has to be caused by something which can not be itself. (And I'd argue that something has to be conscious)
Now, Since the past is finite, that prime cause fir everything has to be uncaused.
So It mandates there be a prime causer that is out of time itself(we call it/he god).
There can not be any other logical explanation.
And god by btw is the simplest being.