Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa simpleton lazima kisi make sense.Eti thread of thought....wewe unaona ulichojibu kimemake sense?
You are a simpleton.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa simpleton lazima kisi make sense.Eti thread of thought....wewe unaona ulichojibu kimemake sense?
Kwamba kitanda chako ndio jeneza lakoThe point ya adhana ni yale maneno, sio ile sauti....adhana sio kama kengele ya kuita mifugo kama waroma
Sawa kaka mkubwaKwa simpleton lazima kisi make sense.
You are a simpleton.
Sasa kama point ya adhana ni yale maneno na si ile sauti, kwa nini Allah asiwaoteshe watu wote waamke kwa wakati sawa bila mtu kutoa sauti tujue kweli Allah anatuita tukaswali?The point ya adhana ni yale maneno, sio ile sauti....adhana sio kama kengele ya kuita mifugo kama waroma
We ni nani mpaka umpangie Allah cha kufanya?Sasa kama point ya adhana ni yale maneno na si ile sauti, kwa nini Allah asiwaoteshe watu wote waamke kwa wakati sawa bila mtu kutoa sauti tujue kweli Allah anatuita tukaswali?
Cut the bullshit already.
Siwezi kumpangia Allah cha kufanya.We ni nani mpaka umpangie Allah cha kufanya?
Wewe umetokea wapi?Siwezi kumpangia Allah cha kufanya.
Kwa sababu Allah hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Allah yupo.
Huo ndiyo uthibitisho wako kwamba Allah yupo?Wewe umetokea wapi?
Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?Huo ndiyo uthibitisho wako kwamba Allah yupo?
I know you are a simpleton, but are you a lazy simpleton too?
Hapa kuna logical fallacies kadhaa.Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
Ndomaana naendelea kusema wewe umekaririshwa madesa.Hapa kuna logical fallacies kadhaa.
Kuna argument from ignorance.
Kuna logical non sequitur.
Kuna false a priori assumption.
Nina hakika zote huzijui, kama hata unajua logical fallacy ni nini, ndiyo maana imekuwa rahisi kuzifanya.
Hatuwezi kuwa na mazungumzo yenye maana kwa sababu tunatofautiana sana kiuelewa.
Huu uzi mpaka sasa kama haujasababisha kutokea kwa vita ya kidini, basi litakuwa ni jambo la kushukuru.Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
Siyo misikiti tu! Hata wale wanaoishi jirani na kumbi za starehe, baadhi ya makanisa, nk. Nako ni tabu tu.Mleta uzi upo sawa..mana ni kero kweli kweli kupigizana makelele kuamshana watuwazima kama watoto wadogo ambao hawajui nini cha kufanya.
Wengi wafia dini watakupinga ila zama zimebadilika watumie hata group za WhatsApp kuamshana kuswali.
Kama unaishi karibu na msikiti hakika ni kero kweli kweli wengine hadi sifa sasa..mpaka mawaiza wanafanya hayo maspika yakiwa on.
Mbaya zaidi adhana zenyewe ni full kutishana mara ooh kitanda kaburi mara shuka ni sada..utadhani wao wameyapatia maisha sana kumbe ndio wale wale.
Ni muda sasa wa kuachana na analogia na kwenda kidikitali...alam zinatosha.
#MaendeleoHayanaChama
Unavumilia vipi kelele wakati unataka kupumzika?Mkuu utaratibu wa kupiga adhana hautafutika labda itapunguzwa sauti kupunguza kero kwa wengine....kama unakereka nayo ,basi pole na tuvumiliane tu Mkuu
Kama unaona upigaji wa adhna kwako ni tatizo basi lichukulie kama matatizo mengine yaliyokosa uvumbuzi katika jamii na uvumilie kwa sababu haitakuja kuwa na solution kama unayoitaka wewe..... adhna haizidi dakika Tano vumilia tu mkuuUnavumilia vipi kelele wakati unataka kupumzika?
Nimekupa nafasi ya kuthibitisha Mungu yupo.Ndomaana naendelea kusema wewe umekaririshwa madesa.
Can you logically deduce to me god does not exist?
Can you logically deduce to me where everything originates?