Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Adhana ni sehem muhim sana dini ya uislam toka enzi ya enzi ya uislam ila ni muhimu kuishi kwa kuvumilana na kuheshimiana kati ya dini na dini na wasio na dini kila mtu ana uhuru wake
Kuvumiliana kukoje?

Kati ya mtu asiyependa kelele anayeona adhana ni kelele na yule anayeona adhana ni haki yake ya kidini nani amvumilie nani? Kwa nini?
 
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali kinasikika zanzibari yote kasoro pemba.
Lengo la hicho king'ora ni kukumbushana,ni kama kengere ya time keeper shuleni.
Sasa sisi waislam yatupasa kuachana na adhana kuitana kusali,alarm zipo nyingi siku hizi,tuzitumie.
Adhana kuna nchi fulani nadhani ni ufaransa sijui maana ndio nchi yenye waislam wengi iliwahi kupiga marufuku adhana.
Tukaswali ila tutumie njia mbadala kuitana na kukumbushana kumuabudu Mungu .
 
Wenye dini yao wenyewe wamechukua hatua khs adhanaa lkn unakuja mmatumbi kutoka huko porini ndani ndani na kuanza Kulia Lia.
Kutumia loudspeakers ni tafauti na kuzuia adhana.

Hata mimi muislamu na ninasali lakini sioni mantiki ya kutumia loudspeakers iwe msikitini au kanisani, kwani wanavyofanya kwenye nyumba zao za ibada mimi havinihusu. Kama ni kusali mimi ninasali nyumbani kwangu au nitakwenda msikiti fulani
 
Mleta uzi upo sawa..mana ni kero kweli kweli kupigizana makelele kuamshana watuwazima kama watoto wadogo ambao hawajui nini cha kufanya.

Wengi wafia dini watakupinga ila zama zimebadilika watumie hata group za WhatsApp kuamshana kuswali.

Kama unaishi karibu na msikiti hakika ni kero kweli kweli wengine hadi sifa sasa..mpaka mawaiza wanafanya hayo maspika yakiwa on.

Mbaya zaidi adhana zenyewe ni full kutishana mara ooh kitanda kaburi mara shuka ni sada..utadhani wao wameyapatia maisha sana kumbe ndio wale wale.

Ni muda sasa wa kuachana na analogia na kwenda kidikitali...alam zinatosha.

#MaendeleoHayanaChama
Dini kutumia vitisho ili kupata wafuasi ni terrorism.

That is the definition of terrorism. Kutumia vitisho ili kupata malengo yako.

Ukisikia mahubiri ya moto, kifo, kaburi, sanda etc = terrorism.
 
Kutumia loudspeakers ni tafauti na kuzuia adhana.

Hata mimi muislamu na ninasali lakini sioni mantiki ya kutumia loudspeakers iwe msikitini au kanisani, kwani wanavyofanya kwenye nyumba zao za ibada mimi havinihusu. Kama ni kusali mimi ninasali nyumbani kwangu au nitakwenda msikiti fulani
Unapingana na mafundisho ya mtume swalallahu a'alayh wasallam alaf unajiita muislamu. Waislamu wa kweli hufuata maamrisho ya Mjumbe wa Allah
 
Unapingana na mafundisho ya mtume swalallahu a'alayh wasallam alaf unajiita muislamu. Waislamu wa kweli hufuata maamrisho ya Mjumbe wa Allah
Haya Sheikh niambie hayo niliyopinga, kama ni loudspeakers enzi za Nabii Muhammad (SAW) hazikuwepo. Hata enzi zetu tulipokuwa wadogo watu wakiadhini tu kwa kutumia sauti na watu wakienda kusali kama kawaida.

Munaongeza mambo ya bid'a halafu munasema eti tunapinga. Subhaana 'llah
 
Kutumia loudspeakers ni tafauti na kuzuia adhana.

Hata mimi muislamu na ninasali lakini sioni mantiki ya kutumia loudspeakers iwe msikitini au kanisani, kwani wanavyofanya kwenye nyumba zao za ibada mimi havinihusu. Kama ni kusali mimi ninasali nyumbani kwangu au nitakwenda msikiti fulani
Dini zina nia ya ku dominate wengine.

Kimsingi, ukishaamini wewe ndiye unamfuata Mungu wa kweli, unawajibika kumhubiria mwingine asipotee.

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Mtu anajipa umuhimu katika maisha ya wengine na kuwahubiria kwa loudspeaker.

Hili tunaliona misikitini na makanisani.

Hakuna kuheshimu faragha ya mtu binafsi nyumbani kwake.
 
Unatoa betri.

Unaiunganisha katika IP based botnet ya distributed denial of service attack, itakayofanya ugaidi kwenye benki za kimataifa na ushahidi kuonesha ugaidi umeanzia msikitini...

Don't get me started.
Are you okay? I'm genuinely concerned
 
Waislam wanafuatisha mambo aliyofanya mohamed mpaka kuoa vitoto vya miaka 6 na kuvilala vikiwa na miaka 9.
 
Are you okay? I'm genuinely concerned
You are as condescending as you are flatfooted

Umeuliza swali, nimelijibu.

Una chochote cha kuongezea on that thread of thought?

Can you even follow a thread of thought?

Or are you just veering off course with a meandering condescending "Are you OK?".

No, I am not OK with your bitch ass condescending attitude.

Happy now?
 
Eti thread of thought....wewe unaona ulichojibu kimemake sense?
 
Back
Top Bottom