Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Mpaka hapa naona upo mbali na watu wenye elimu
Epuka kua mbishi mpaka jina lako ilo likakusadifu kua ni kweli
Yaani kujua Muhammad kuwa alikuwa Sunni,Shia au ahmadiya.wahhab no nalo linahitaji kuwa na ELIMU.?Kuna Quran Kuna hadithi za mtume umeshindwa kutafuta huko?hayo madhehebu mliyojipa ndo chanzo cha waislam KUBAGUANA.na mtume hakufundisha hivyo
 
nyinyi waislamu mnabishana na wakristo hao hawajui chochote mtabishana mpaka asubuhi ni watu wasiojielewa fikiria bibilia inakana yesu sio mungu wao wanabishana na bibilia yesu ni mungu ukimuonyesha aya kwenye biblia haoni hasikii atazidi kukuambia yesu ni mungu. waacheni mungu alisha wafumba macho na akili
 
Nadhani hayo unayaongea ukiwa pemba njoo mbeya basi useme hayo maneno yako.

#MaendeleoHayanaChama

Basi nenda kazuie adhana jiji la dar, tanga, mtwara, lindi, singida, na pwani yote kwa ujumla,,nakuona unahamu sana bakora. Na si huko tu, nenda kanda ya ziwa pia utakipata cha moto kama hujarudi kwenu unalialia.

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Al-Kafirun (The Disbelievers) 6:109
 
Yaani kujua Muhammad kuwa alikuwa Sunni,Shia au ahmadiya.wahhab no nalo linahitaji kuwa na ELIMU.?Kuna Quran Kuna hadithi za mtume umeshindwa kutafuta huko?hayo madhehebu mliyojipa ndo chanzo cha waislam KUBAGUANA.na mtume hakufundisha hivyo

Mimi hata simuelewi huyu ndugu yetu, sijui ndio wale maanswar sunna waljamaa, kazi kukufurisha madhbeb ya wengine na kuliona dhehebu lao ni sahihi na wataingia peponi. Mfuatilie vizuri yule sheikh barahyan anavyokufurisha, aise huu mtihani kweli kweli 😅 Allah awaongoze hawa ndugu zetu
 
Ndo maana nimemjibu sheikh hapo juu kuwa Mimi ni Muislam ila sipo DHEHEBU lolote .maana haya madhehebu ndo yamekuja kutuvuruga waislam
Hiko kitu hakiwezekani sasa....lazima utafuata mafundisho ya dhehebu fulan.
Mfano simple, unaswali mara ngap kwa siku?
 
Mleta uzi upo sawa..mana ni kero kweli kweli kupigizana makelele kuamshana watuwazima kama watoto wadogo ambao hawajui nini cha kufanya.

Wengi wafia dini watakupinga ila zama zimebadilika watumie hata group za WhatsApp kuamshana kuswali.

Kama unaishi karibu na msikiti hakika ni kero kweli kweli wengine hadi sifa sasa..mpaka mawaiza wanafanya hayo maspika yakiwa on.

Mbaya zaidi adhana zenyewe ni full kutishana mara ooh kitanda kaburi mara shuka ni sada..utadhani wao wameyapatia maisha sana kumbe ndio wale wale.

Ni muda sasa wa kuachana na analogia na kwenda kidikitali...alam zinatosha.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa hyo mkuu hyo kelele ya dakika tano ni sawa na yale makelele ya siku nzima kutoka kanisani mnayotumia kumfukuza pepo kweli nyani haoni kundule kuna dini ina kelele kushinda wakristo na maspika siku nzima
 
Hiko kitu hakiwezekani sasa....lazima utafuata mafundisho ya dhehebu fulan.
Mfano simple, unaswali mara ngap kwa siku?
Nafuata mafundisho ya mtume sala 5 ambazo hata kwenye Quran zipo sio mafundisho ya DHEHEBU fulani
 
Kwa hyo mkuu hyo kelele ya dakika tano ni sawa na yale makelele ya siku nzima kutoka kanisani mnayotumia kumfukuza pepo kweli nyani haoni kundule kuna dini ina kelele kushinda wakristo na maspika siku nzima
Sijawahi kupenda makelele hasa ya maspika makubwa yatoke kanisani au msikitini au baa.

Zote ni noise pollution.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheria zetu mwisho saa sita usiku kupiga mziki au aina yoyote ya kelele.. Adhana mwisho saa mbili usiku mpaka afjir saa kumi na moja na adhana ni jambo la imani katika dini ya kiislam kwa mujibu wa katiba kila mtu ana haki ya kuabudu lazima tuvumiliane kwa mwenye dini na asye na dini kwa sababu kila mtu ana haki
Siongei sheria, naongea haki.

Ukimtaka asiyetaka kelele amvumilie muadhini, hapo ni kuvumiliana au asiyetaka kelele tu ndiye anavumilia?
 
Mimi naona hata wewe HAUPO.kama upo nithibitishie Kama UPO.maana sijawahi kukuona.
Sasa kama sipo unajibizana na nani hapa?

Na hata kama sipo, hiyo hoja ya msingi.

Hoja ya msingi ni uwepo wa Mungu. Ambayo umeikwepa.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Na huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Tatizo genZ mkiweka neno Quantum tu kwenye statement mnadhani mmeshamaliza kila kitu.
Hata kama cause is effect na zinaloop kama unavyosema haimaanishi hivyo vyote havina cause.
Kwanza hujatoa mfano wa hivyo vitu unavyoongelea kwenye quantum mechanics.

Unachofanya ni kuingiza logic ya kuku na yai kipi kilianza wakati tunajua kabisa there was a time hakukuwa na kuku wala yai, na haziwezi kuanza Both...so it means whatever the case, kati ya hao Kuku na yai ni either kimoja kilianza na kusababisha hiyo cycle ya causality au kuna kitu cha 3 ambacho kiko nje ya kuku na yai ndio kimesababisha hayo yote...Sasa kwasababu sisi hatujui ni kitu gani haimaanishi hakipo. Lakini normal reasoning suggests lazima kiwepo.

mfano wako wa kipofu hata sijauelewa maana rangi hazina sauti (Rangi ni perception/interpretation ya brains zetu juu ya specific electromagnetic wave frequency iliyo kwenye range fulan tunayoiita visible light, sauti ni interpretation ya ubongo wetu juu ya certain frequency of air vibrations) i feel like i shouldnt be explaining this but hizi ni concept mbili tofauti kabisa, maana moja ni mechanical wave nyingine ni electromagnetic....

Back to the topic....Causality is fundamental, You cant prove otherwise...if it wasn't, this university we live in would not make sense.
Effects would occur before the cause. Na hata time isingekuwepo.
Labda mkuu tunaongelea reality mbili tofati, mimi naongelea the reality we live in.
Wake up.
Kwanza kabisa, GenZ ni nini? Nani GenZ na unajuaje hilo?

Thibitisha mimi ni GenZ.

Tujue unaandika mambo unayoyaeleea na uliyo na ushahidi nayo, si mtu wa kubwabwaja tu.

Ukishindwa hilo, wewe mzushi, muongo, unaandika kwa mihemko, nitake radhi kwa kunizulia mimi GenZ bila ushahidi.
 
Kwamba unatangaza amani huku umeficha mapanga..dini ya hakhi.

#MaendeleoHayanaChama

Sasa uzuie adhana ili iweje!! Karne na karne adhana ipo na itaendelea kuwepo, na hakuna yeyote wa kuzuia, jeuri hiyo haipo
 
Nafuata mafundisho ya mtume sala 5 ambazo hata kwenye Quran zipo sio mafundisho ya DHEHEBU fulani
Mtume aliruhusu kuzifupisha kuwa 3 hata hadith zimesemea hilo....ila nyie wasunni hamtaki kuelewa
sKwanza kabisa, GenZ ni nini? Nani GenZ na unajuaje hilo?

Thibitisha mimi ni GenZ.

Tujue unaandika mambo unayoyaeleea na uliyo na ushahidi nayo, si mtu wa kubwabwaja tu.

Ukishindwa hilo, wewe mzushi, muongo, unaandika kwa mihemko, nitake radhi kwa kunizulia mimi GenZ bila ushahidi.
Unahamisha magoli sasa...And this is a cheap trick.
 
Heheee..kweli dini ni ujinga fulani hivi..kwamba alla anategemea spika za wazungu kuamshiwa watu wake.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna ujinga fulani unaoonesha watu bado wana saikolojia ya herd mentality.
 
Unahamisha magoli sasa...And this is a cheap trick.
Yani wewe uniite mimi GenZ, kama kitu cha kwanza kwenye post yako, bila ushahidi, halafu nikikubana, useme mimi ndiye nahamisha magoli?

Kwani ni mimi au wewe aliyeleta habari ya GenZ?

Nikikwambia wewe ndiye umeanza kuhamisha goli kwa kuniita mimi GenZ, mimi nakujibu tu, utakataa?

Wewe unaelewa hata jinsi ya kufikiri kimantiki? Hoja unaileta wewe, ikioneshwa mapungufu yake, unalalamika watu wanasogeza goli?

Yani, wewe unajamba, mimi nikikwambia hapa umejamba, umechafua hewa, umeharibu mambo, unanilaumu mimi kukuambia hapa umejamba? Unasema nahamisha goli?

Kwani hujajamba kweli?

Naona hujakiri kwamba umehemuka kuniita GenZ, hujaniomba radhi, unanilaumu kwa kosa ulilofanya wewe.

You are so entitled in an assbackward way.

Yani wewe si muongo tu, wewe ni muongo usiye na nidhamu wala aibu.

Una tabia ya kwenda kwa hisia zaidi ya fact.

Ndiyo maana huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka kuweka hisia pembeni na kwenda na facts.

Wewe ni mjinga, tena mj8nga mvivu.

Unaniita GenZ wakati ungeangalia profile yangu tu ya JF ungejua kwamba kwa post zangu hapa JF siwezi kuwa GenZ.

You are hopelessly emotional, huwezi mazungumzo ya kisayansi yanayotaka facts.
 
Back
Top Bottom