Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Kuna apps nying tu playstore na appstore znakukumbusha muda wa swala
Kila mtu ana smartphone?
Msitake kuipeleka dini yetu kma nyinyi mnofuata matamanio yenu


Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
 
Wanaogoma wapo sahihi,na wanaozifuata wapo sahihi.
maana tumeambiwa mtume katuachia vitu viwili Quran na hadithi zake.quran haina shaka ila kwenye hadithi Kama una vyojua zina madaraja yake matatu Kama sijakosea.
 
Huu mjadala ulikuwa mzuri sana ila umekuja kuharibiwa,na Walokole

Allah awaonyeshe Walokole hawa njia iliyonyooka.

Walokole semeni Amina.
 
Usiseme "Sasa sisi waislam..." Sema "Sasa nyie waislam..."
 
Waislam poa Yani shida sana unashindwa kuelewa Kama adhana nayo ni mwanzo wa ibada
 
Endeleeni mkuu....kuna kitu najifunza hapa
 
Kama nawaona vile wafia diniiiii [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…