kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
mmmmh sawa ila nitawauliza walio soma dini zaid hili wanioe elimu zaid kuhusu hili swalaNguruwe sio haramu...
Ila nyama yake ni haramu kuliwa na muislamu..!
Wanaosema nguruwe alipitia kichwa cha Muhammad sul Ann wa taaala(saw) Mungu amrehemu, wakati kazi kwa kichwa nje kiwiliwili ndani ya kaburiKwani kawasokea nini kikubwa?
Umeshasema waliingia baharini. It means walizama wote huko. Wakizama watazaliana vipi mpaka mimi wa huku namtumbo wanifikie na niwale.Ila najiuliza, kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alimtoa mtu mapepo na yakakimbilia kwa nguruwe, wakazama wote baharini. Ukila kiti moto umekula mapepo. Wakristu tulio wengi tunaishi na mapepo kwenye damu kwa kula kiti moto.
Hiyo sio injiliKulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..
Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?
1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."
4. Isaya 66:17
"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Kwahyo Biblia Mnasoma Vitabu Vya Injili Peke Yake??Hiyo sio injili
Walivunja mabucha Kwahiyo mimi sijui mabucha yalikuwa na shida gani wao ndio wanajua kero zake, maana wakati mwengine labda harufu mbayaMagomeni wali andaman ndugu zako katika imani ya nyaazi kwenda kuvunja mabucha ya nyama ya nguruwe je huo ni upendo au chuki dhidi ya kitimoto.
Hii kitu hata sijuagi kwanini inapigwa vita namna hii.
Fafanua wapi kazuiwa,maandiko please
Usitusingizie ubaya ...wataka tumpende vip ? Huyo mbuzi na kuku tunawala ila hatukai nao nyumba Moja wao wanakaa bandaniAssalaam alaykum,
Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....
Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!
Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!
Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂
Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝
Uko sahihi sana mkuuAssalaam alaykum,

Hata hawawawazii ila wanashangazwa na mnavyoforce kila mtu asile! Nguruwe aliwafanya nini kiasi kwamba awe chukizo zaidi ya pombe, ufiraji, zinaa, wizi n.k? Kiumbe aliyeumbwa na Mungu anakuwaje haramu? Mmekatazwa kula nyama nyingi tu lakini sijawahi kuona chuki zenu kwa wanyama wemgine mliokatazwa isipokuwa kwa kitimoto tu! Nahisi chuki zenu ni kwa wanaokula kitimoto (Wakristo) na si kwa kitimoto mwenyewe.Kwanini wagalatia waislamu kutokula nguruwe kuna wauma saana?
Kenge ni halali? Vipi kuhusu Mbwa, Paka, Nyoka na sungura? Mbona chuki ni kwa kitimoto tu!? Kuna jambo la ziada nje ya huo uharamu mnaohubiri.Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..
Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?
1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."
4. Isaya 66:17
"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Wapo wasiokula mbuzi piaKumbuken kuwa Kuna wakristo pia hawali nguruwe
Haya ni maagizo ya agano la kale,Agano jipya kila kiumbe kimetakaswa kinafaa kwa matumizi ya BinadamuKulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..
Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?
1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."
4. Isaya 66:17
"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Amekatazwa Sungura na viumbe wengine kibao mbona huwazungumzii hao? Kwa wengine Ngamia ni haramu ila nyie mnakula lkn hawamsemi vibaya wala kuomesha chuki kwa ngamia! Hizo chuki kwa nguruwe mbona hamuoneshi kwa paka, mbwa na sungura? Au wao mmeruhusiwa kula?Mbona hata kwenye Biblia yenu amekatazwa? Soma
Walawi 11:7-8 Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Au wewe Biblia hausomi? jumapili unaenda tu kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement na kuondoka kama huyu mwenzako?
View attachment 3266100