Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Ila najiuliza, kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alimtoa mtu mapepo na yakakimbilia kwa nguruwe, wakazama wote baharini. Ukila kiti moto umekula mapepo. Wakristu tulio wengi tunaishi na mapepo kwenye damu kwa kula kiti moto.
 
Mdudu yupo hadi huko UAE.. wanajua kumtengeneza vizuri,hana shombo.. wenye dini yao wala hawana shida naye.. kuna mwarabu wa uvinza,mweusi kuliko mkaa anasikia kichefuchefu,ila anakuywa gongo, hatunzi/ hawajibiki kwa familia..ACHENI UNAFIKI WA MAISHA
 
Ila najiuliza, kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alimtoa mtu mapepo na yakakimbilia kwa nguruwe, wakazama wote baharini. Ukila kiti moto umekula mapepo. Wakristu tulio wengi tunaishi na mapepo kwenye damu kwa kula kiti moto.
Umeshasema waliingia baharini. It means walizama wote huko. Wakizama watazaliana vipi mpaka mimi wa huku namtumbo wanifikie na niwale.

Au unataka kutuambia kuwa hao nguruwe baada ya kuingia baharini waliibuka katika kila nchi duniani wakiwa na hayo mapepo na kila uzao wake unarithi mapepo.
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Hiyo sio injili
 
Hiyo sio injili
Kwahyo Biblia Mnasoma Vitabu Vya Injili Peke Yake??
Na Injili Inasemaje Kuhusu Nguruwe?
Injili Ni Vitabu Vinne Tu kati ya Vitabu Zaidi ya 66 au 72 au 86 kwenye Biblia..
Yaani Mathayo,Marko,Luka na Yohana..
 
Magomeni wali andaman ndugu zako katika imani ya nyaazi kwenda kuvunja mabucha ya nyama ya nguruwe je huo ni upendo au chuki dhidi ya kitimoto.
Walivunja mabucha Kwahiyo mimi sijui mabucha yalikuwa na shida gani wao ndio wanajua kero zake, maana wakati mwengine labda harufu mbaya
 
Fafanua wapi kazuiwa,maandiko please

Kumbukumbu la Torati 14:7-8

7. Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

Usitusingizie ubaya ...wataka tumpende vip ? Huyo mbuzi na kuku tunawala ila hatukai nao nyumba Moja wao wanakaa bandani
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

Uko sahihi sana mkuu
Kongole
 
Kwanini wagalatia waislamu kutokula nguruwe kuna wauma saana?
Hata hawawawazii ila wanashangazwa na mnavyoforce kila mtu asile! Nguruwe aliwafanya nini kiasi kwamba awe chukizo zaidi ya pombe, ufiraji, zinaa, wizi n.k? Kiumbe aliyeumbwa na Mungu anakuwaje haramu? Mmekatazwa kula nyama nyingi tu lakini sijawahi kuona chuki zenu kwa wanyama wemgine mliokatazwa isipokuwa kwa kitimoto tu! Nahisi chuki zenu ni kwa wanaokula kitimoto (Wakristo) na si kwa kitimoto mwenyewe.
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Kenge ni halali? Vipi kuhusu Mbwa, Paka, Nyoka na sungura? Mbona chuki ni kwa kitimoto tu!? Kuna jambo la ziada nje ya huo uharamu mnaohubiri.
 
Kwani Nguruwe kiumbe cha Mungu kakiumba,nyie waislamu hiki kiumbe kimewakosea nini hasa?
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Haya ni maagizo ya agano la kale,Agano jipya kila kiumbe kimetakaswa kinafaa kwa matumizi ya Binadamu
 
Mbona hata kwenye Biblia yenu amekatazwa? Soma
Walawi 11:7-8 Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.

Au wewe Biblia hausomi? jumapili unaenda tu kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement na kuondoka kama huyu mwenzako?
View attachment 3266100
Amekatazwa Sungura na viumbe wengine kibao mbona huwazungumzii hao? Kwa wengine Ngamia ni haramu ila nyie mnakula lkn hawamsemi vibaya wala kuomesha chuki kwa ngamia! Hizo chuki kwa nguruwe mbona hamuoneshi kwa paka, mbwa na sungura? Au wao mmeruhusiwa kula?
 
Back
Top Bottom