Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

Status
Not open for further replies.
Hii nchi siku zote umekuwa ukisema inatawaliwa ki Kristo kupitia mfumo Kristo. Fanyeni sasa siasa msikitini mkipate cha Mwembechai
 
Mwalimu Nyerere alisisitiza sana Mwaka 1995 ALISEMA.

"KIONGOZI aliyeishiwa Hoja anaanza KUZUNGUMZIA udini".
DINI YAKO inatusaidia nini sisi".
JK NYERERE.
Tumeshatema hiyo dozi.

Wewe mfate Nyerere usizungumzie Uislam.

Sisi Waislam mfumo wa maisha yetu ni Uislam. Tutauzungumzia Uislam kokote na popote tena tunajivunia Uislam wetu.
Uislam ni mwema sana.
 
Wakenya wana ukabila, Tanzania kuna udini
Hakuna udini, ila kuna kapuku wakikosea wanatafuta sapoti ya udini. 'ukiona mtu anadandia udini kusapoti malengo ya kisiasa huyo jua kafilosika kimawazo na ni akili BOMU HAKAWII KUWATUNDIKA MABOMU ili kusapoti hoja zake
 
Taratiibu umeanza kuruka sambasoti kwenye transfoma...
Tutaona mengi
Naam.

Uislamu na siasa

Pamoja na kwamba maadui wa Waislamu na dini yao wanatulazimisha kuvitenganisha viwili hivi, lakini kufuatana na maelezo ya hapo juu ni wazi kuwa Muislamu anayeamini na kuufuata Uislamu hawezi kuitoa siasa kwenye dini. Hii ni kwa sababu Uislamu kama unavyoelezwa kwenye Qur'an na Sunnah unagusa nyanja zote zinazohusu maisha ya mwanadamu ikiwemo siasa, na lengo lake kuu ni kusimamisha utawala wa Allah (s.w.) hapa duniani. Kwa hiyo ili lengo hili litimie ni lazima maagizo yote yafuatwe kwa ukamilifu na siyo kipande kipande kwa kutenganisha mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya mwanadamu.
 
Mtu akiambiwa mapungufu yake akianza kujitetea na neno naonewa kuna kitu nyuma yake, yawekekana uwezo wake ni mdogo au kweli anafanya mambo ya hovyo
 
Nadhani kuna haja ya kuufutilia mbali na huu utaaribu wa kubadilishana Rais muislamu na mkristo tuangalie uwezo tu .
Sijawahi kuiona hiyo hoja unayoisema.

Sasa Waislam tutapiga siasa.
 
Mmedanganywa au Mnajidanganya wenyewe?
Uislamu na siasa

Pamoja na kwamba maadui wa Waislamu na dini yao wanatulazimisha kuvitenganisha viwili hivi, lakini kufuatana na maelezo ya hapo juu ni wazi kuwa Muislamu anayeamini na kuufuata Uislamu hawezi kuitoa siasa kwenye dini. Hii ni kwa sababu Uislamu kama unavyoelezwa kwenye Qur'an na Sunnah unagusa nyanja zote zinazohusu maisha ya mwanadamu ikiwemo siasa, na lengo lake kuu ni kusimamisha utawala wa Allah (s.w.) hapa duniani. Kwa hiyo ili lengo hili litimie ni lazima maagizo yote yafuatwe kwa ukamilifu na siyo kipande kipande kwa kutenganisha mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya mwanadamu.
 
Mkianzisha hiyo battle mtafeli vibaya sana kwa sababu huko uislamuni wamejaa maamuma wengi sana kama wale ma sheikh wenu watetea DP WORLD wakati hata mkataba hawajausoma na hawauelewi kabisaaa.
 
Sana tena sana. Tunaona mama yetu anatukanwa kwa Uislam wake.

Hilo limetukalia vibaya sana tena sana. Siyo siri.
We bibi unachekesha sana na kusikitisha!
Ukitazama safu ya viongozi watetezi wa mkataba hasa upande wa ccm wengi ni wakristo lakini wanamsapoti Sa100 ambaye ni muislam hapo haulalamiki...akina Tulia, Wasira, Chegeni (KM CCM) nk nk
Upande wa upinzani kwakuwa umewaona Askofu Mwamakula, yule Dr Padri sijui nani wa chuo cha SAUT wanampinga sa100 mkataba wa bandari umehitimisha kwamba sa100 anapingwa kwasabb ya uislam wake!!.
Gafla umesahau wanaomsapoti wakristo kibao wamo wanaompinga wakristo kibao wamo pia...so kinachowatofautisha wakristo ktk kumpinga sa100 ni hoja za mkataba wenyewe wa DPWorld kwasabb ingekuwa ni uislam wake kama unavyodai hawa wooote wangempinga sa100 kuhalalisha hoja yako!
 
Unachosema ni kweli kabisa na ndicho wanachofanya Waislam wenye Dini yao huko Iran na Afghanistan

Mara nyingi huwa nakuambia hapa Tanzania mko Waislamu wa mchongo mkiona " ubwabwa" mnavugwa kabisa 😄
 
Umechoka kuishi Tanzania nenda kahamie nchi ya kiislam hapa kwetu hicho hakiwezekani. Mi nashangaa mtu mzima na akili zako unakaa unatumia muda mrefu ambao ungeutumia ktk uzalishaji kuandika upuuzi wote huu. Ndio maana watu ni maskini.
 
Hiyo dozi tumeshaitema.

WENGI wetu tumekuwa tukisikia viongozi, wasomi na watu mbalimbali wakizungumzia masuala ya dini na siasa. Ujumbe mkuu siku zote umekuwa kuvitenganisha viwili hivyo yaani visichanganywe.


Sasa hatuna muda tena wa kuutenganisha Uislam na siasa.

Waislam tupige siasa kwa kwenda mbele.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…