Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Watu walalapo hupunguza mavazi,ni vizuri mkuu wa wilaya kukuvamia saa Tisa usiku kwako na vyombo vya habari?..huyo magoti anatakiwa kunyooshwa
Kama watoto wadogo mnawakusanya muwalaze uchi basi kifungwe hicho kituo.

Kwamba Magoti afukuzwe kisa kagundua watoto wanarundikwa bila vyoo na usafi, na wanalala "kwa kupunguza nguo"😂
Hii ni maajabu
 
Mwenyezi Mungu nakuomba hata ikitokea umenichukua leo hii...Nakuomba mwanangu awe 50/50 katika dunia hii...awe na hofu ya Mungu lakin asiwe mfia dini...Amen 🙏🏾
 
Hii imeisha ni upuuzi uliofanyika kufunza watoto upumbafu tena DC Kuna vitu hajasema na ukiangalia video mambo yalivyokuwa utadhan vijana wapo Gaza huko kwenye maandaki ni Jambo la kulaaniwa kabisa isitoshe Magoti ni mbobevu kwenye sheria amemwonea huruma yule shekhe , ingekuwa Mimi ni DC Magoti ningempiga na kosa la kuendesha genge la uharifu na ML maana wanachukua ada ambayo ni zao la uharifu (Predicate offence)
 
N Waislamu uchwara tuu wa Tz ndo wana huu upuuzi, utamsikia mwislamu anasema mpira wa miguu n haram wakat Saudi Arabia wenye macca Na madina yao wana ligi kabisa
Kuna mambo yanashangaza sana.
Saudi hata adhaza zimezuiwa maana ni kelele kwa watu. Mtu hapaswi kumbushwa muda wa kuswali.

Hii dini naona kama wanalazimisha mambo
 
Nadhani Moderator wangefanya busara kuweka poll kwenye huu uzi ili watu tupige kura, na ziwe tatu tuu

1: Mtoa mada ni mpumbavu, afukuzwe JF
2: Mtoa mada ni mpumbavu apuuzwe
3: Uislamu ni ugaidi, hvy tukemee
 
Mwamposa aliua watu moshi tena kwa uzembe wa hali ya juu, hakufanywa chochote wala kufungia huduma yake.
Tuliambiwa amekamatwa au kesi imeisha kimya-kimya? BTW wale walioenda walikuwa watu wazima, walikuwa na uwezo wa kujitetea wenyewe, sio watoto.

Vv
 
Back
Top Bottom