Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulialia,kati ya dini ambayo ulimwengu unaiogopa na kuichunguza ni uislamu,naungana DC kuwafurusha hao magaidi tarajiwa.Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?
Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?
Mengine yapi?!Mkuu wengine wanafundisha sahihi..shida inakuja kuna wengine sijui wanakuwa na agenda zao.
Wanafundishwa vizuri baada ta hapo sasa kuna kunakuwa na yale mengengine baada ya masomo sumu zinaanza.
Sasa kama hao wengi ni wamefeli darasa la saba tena kwa kizazi hiki.Niliwahi jipenyeza kwenye hizi taaluma aisee kuna sumu mno wanalishwa na wasiokuwa na nia njema... Yaani kwa mtoto asiyekuwa na uwezo wa kupembua mambo anaondoka nazo.
Wacheni Serikali ifanye kazi. Watoto ni mali ya Taifa na ni jukumu la serikali kusimamia ustawi wao kijamii na kielimu.Amani iwe nanyi.
Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.
Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.
Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.
Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.
Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.
Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!
Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.
Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?
Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.
Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.
Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.
Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.
Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Aisee mm nngezaliwa kwenye familia ya Kiislamu nisingejutia ila ningefanya namna nihamie UkristoPamoja mkuu tupinge sote nilienda singida aisee ni hatari..
watoto kama wako jeshini wengine nilikuwa nikikutana nao kitaa nawadodosa ..
Mkuu sumu walizonaso ni hatari.
Eh hii mbona n kesi nyngn tena ya mauaji, yn Shekhe anataka kumuua bwana magoti kupitia shimo la choo 😂Karo la choo limefunikwa kwa kitambaa cha kitenge na kikaziwa na mawe.
Shehe anawatunza watoto 97 anashindwa kufunika karo na zege.
Hadi magoti anataka kutumbukia
Kuna shida mahali (kichwani)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!..nenda ocean road kakague uone,sidhani hata Kama umewahi fika,l
Itakuwa Wavuvi waliamua kubadili diniile kanisa pale bandari ulikua msikiti wa wavuvi pale,
Huyu mnamuongelea kama vile ni mzawa na ana stahiki zote katika nchikumbuka ile bandari Kaanzisha mwarabu,so lazima pawe na msikiti karibu,
Lakini huyu mnamuongelea kama vile alivyo, yaani mvamizi asiyestahili chochote.mjerumani kachukua nchi kajipa eneo lote la ufukweni,maana wanapenda fukwe
Magaidi hamjawahi kuwa na akiliKumbe kafanyaje,alitoa taarifa!?..
Tatizo mnataka uislamu uwe na nguvu kuliko serikali,hapo angekuwa kafanya hivyo muislamu mwenzenu mngekaa kimya ila kwakuwa aliyefanya ni mkristo mmeshaiona hiyo ni issue ya kidini....Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?
Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?
Hawa watu n wa kuchapa viboko aisee nyau zaoMkuu sio la kucheka nimetoka tandahimba majuzi hakuna lingine walilokuwa wanawaza zaidi kila muda kwenda kuswali.. tena wengine wanashinda hukuhuko masjid kwenye vibaraza.
Mkuu sikuoni kijiweni kawe siku hizi ?aNDIKEN BARUA KWAMMUFTI HUKU HAMNA MSAADA WOWOTE NDUGU
Akili mnazo mnaoabudu msela wa Bethlehem aliyemtia mimba mama yake ili azaliweMagaidi hamjawahi kuwa na akili
Mtoto akitega siku 20 tu, mzazi utawajibishwa.Hivi hata Saudi kuna mambo kama haya?
N Waislamu uchwara tuu wa Tz ndo wana huu upuuzi, utamsikia mwislamu anasema mpira wa miguu n haram wakat Saudi Arabia wenye macca Na madina yao wana ligi kabisaHivi hata Saudi kuna mambo kama haya?
Mwarabu alifika siku nyingi kabla ya mngoni,akazaliana na wenyeji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpka hapo nitaongea kipi tena mkuu wangu?
Itakuwa Wavuvi waliamua kubadili dini
Huyu mnamuongelea kama vile ni mzawa na ana stahiki zote katika nchi
Lakini huyu mnamuongelea kama vile alivyo, yaani mvamizi asiyestahili chochote.