Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Naona watu wasio na akili wanatetea ujinga wa masheikh wa Kiluvya. Watoto wa hao masheik wako shule za kikatoliki inglish midian. Wakati wao wamewarundika watoto wa maskini wa KIUME, watoto hawasomi Wala Nini maana hawaendi shule.
Nikisema Kuna masheikh ubwabwa wanawadhalilisha Hawa watoto kingono atakuja mtu hapa kuniponda.
 
analala seuleni sawa, lakini anachokisema kiko sawa? This is the point to consider!

Ni kweli, si tunayaona, tuna watoto wa ndugu zetu waislamu tunaishi nao. Wanafundishwa kuona wengine ambao siyo dini yao ni makafiri, siyo wenzetu. Ujinga mtupu
Hatari sana.... Hapo ndipo dini inapotumika kama sumu Kwa waamini.
 
Proud to be Muslim mmesha anza chokochoko. Wakitumbukia wanafunzi kwenye lile shimo wakafa mtasema ni uzembe wa viongozi, wakipata ebola na magonjwa ya mlipuko mtageuza geuza maneno mkawalaumu viongozi.

Acheni ujinga ile sehem haifai kukusanya watoto wakaishi na bado watoto wenyewe ni wakiume, choo cha maana hakuna, wanalala kwenye viota kama vindege, na watoto wenyewe ni wadogo na wanakwao, wazaz acheni kuendekeza udini bila kujali usalama wa mtoto wako, pale sio sehem sahihi mtoto akalelewa kimaadili, kiustawi wa dini na kiakili .

Mkuu wa Wilaya yuko sahihi sana tena namsapoti kwa jitihada zake ametekeleza wajibu wake kabisa kwa asilimia 3000 amelinda usalama wa watu sio usalama wa dini. How can that be a place to raise kids??

Hata hao waliotuletes dini sidhani kama huko uarabuni wanapanga watoto wao vile kama matofali au kuni, sisi tumeipokea dini vibaya sana na inatuendesha vibaya sana, inasemekana kuna mpaka watoto wa miaka mitatu pale wanapigishwa sijda. Sasa hizi sio akili ni matope.
 
Mbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
Pia serikali ilishafuta na kuzuia watoto wadogo kuwekwa katika mabweni
 
We punga unaijua sehemu anayolala mbuzi ilivyo? Huko kwenu mbuzi mnawalaza kwenye magodoro?
tena sio magodoro tu ni magodoro dodoma😂😂😂😂 mnawalaza watoto wa watu kwa shida wakati wazazi wanajua wako sehemu salama mnakula tu hela makafiri wakubwa
 
mimi kilichonikera ni pale anasema, kama isingekuwa nyumba ya ibada ningekuweka ndani leo. who is he? mkuu wa wilaya mbona mtu mdogo sana, anatishia watu kuwaweka ndani?
Ofcourse ana uwezo huo, just like wakuu wa wilaya wengine. Shida ni muunda, vyombo vya usalama ngazi ya wilaya vina repoti kwake
 

Ewe mfuasi wa tamaduni, mila na desturi za kiarabu papa siyo kiongozi wa kila mkristo. Pia papa si biblia. Kama kuna jambo la kiimani linabishaniwa basi biblia ndiyo grand nom. Yaani muamuzi wa mwisho. Wakristo wengi nje ya RC wanamshangaa sana papa alipoanza kutoa kauli nyingi zisizopatana na akili kuhusu ushoga. Mfano alisema, ushoga siyo jinai. Sasa swali linazuka, siyo jinai au crime katika nchi gani?

Kitu ambacho unapaswa kuondoka nacho ni kuwa papa si kiongozi wa kila mkristo. Pia nasikitika kwamba Afrika haina imani yake ya asili ambayo imekuwa well documented kwa ajili ya rejea kwa waumini. Matokeo yake tuna changanywa na imani za kigeni ambazo nyingi ni mila na desturi za asili ya dini hizo, kama vile Roman Empire kwa RC na Uarabuni kwa uislamu. Dini hizi zote zina waelekeza waumini wake kwenye mila na desturi za huko zilikotoka. Kuanzia mavazi, chakula, lugha, usanifu majengo, nyimbo, etc. Ukichunguza waumini wake wana tabia za dini zao. Lakini wenyewe wanadhani hiyo ndiyo imani yao, kumbe ni mila na desturi za watu.
 
Haya kawapa mifuko 300 ya Cement?bado.Pia mana shukrani.Wale watoto mnawalaza msikitini kwenye hall na mbu wote hao kisarawe.Shenzi kabisa
 
Asante kwa kujubali kuwa PAPA AMERUHUSU WANAMME KUBANDUANA. Na Unatakuwa umlaani km waungwana wote wanavyo mlaani .

Tukirudi kwenye imani za kigeni . Kweli kabisa UMELETWA NA MZUNGU na Yeye ndio akaweka picha ya Yesu na Maria kuwa ni wazungu na mpk leo WAKRISTO WOTE wanapigia Goti Picha ya HOLYWOOD ACTOR wakidhani kuwa ni YESU.
Unapokuja kwenye UISLAMU hapo unatakiwa upewe elimu kwanza manake ufahamu wako wa UISLAMU ni mdogo sana


Duniani kuna waislamu takriban 1.6 billion na ktk hao WAARABU NI ASILIMIA 15% !
Hizo ASILIMIA 85% ZA WAISLAMU SIO WAARABU.

Hilo lzm litakushangaza lkn usione aibu. Ujinga sio kosa .
Kosa ni kuwa mjinga kisha ukawa mbishi kusoma.

Wako WAARABU mamilioni mengi sana ambao SIO WAISLAMU na wengine ni makafiri waabudu mtu km hao wanaoabudu sanamu ya Mzungu.

We unachanganya masuala ya mila na DINI.

Mimi sivai mavazi ya waarabu . Navaa kibantu.
Na nakula ugali na dagaa.
Mwarabu anakula biriani ya mbuzi na nyama ya ngamia.

Mimi sina Hela.
Waarabu wana hela sana.

Mimi lugha ya kiarabu sijui.
Wala mila za kiarabu kwetu hakuna.

Anaeiga mila kisha akasahau ya kwao huyo ni mtumwa.
Km unavyoona wakristo. Wanavaa Suti na jua la Bongo.
Mahubiri yao wanajifanya kusema kiingereza wakati wanaosikiliza wote hakuna muingereza. 🤣

Viongozi wa KIKRISTO wanajipq UTUME NA UNABII KILA SIKU na nyie Kondoo mnakubali. Wanadai wanasamehe madhambi na nyie mnapanga Foleni kusamehewa madhambi na mtu ambae Ana vimada ndani. Mzinifu asie na aibu.

We umeshawahi kusikia ujinga Huo kwenye UISLAMU?
Atokee Muislamu kisha anadai yeye ni Nabii uone kitakachomkuta.
Wakristo wana BIBLIA 80,000 ambazo zimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 2900.
Na kila moja iko tofauti na ingine.
ukitaka ushahidi Google




Sisi hatuna kiongozi mmoja ambae akisema Kitu sote tufuate.
Tuna Kitabu cha Mungu KIMOJA TU. (QURAAN)
huo ndio muongozo wetu. Na atakeleta sheria TOFAUTI Ndani ya UISLAMU kinyume NA KITABU CHETU huyo ni kafiri na kamwe hatokubalika na Muislamu yyt.

HUO NDIO UISLAMU.
DINI YA KUABUDU MUNGU MMOJA TU.
HANA BABA WALA MWANA WANA HANA MSAIDIZI KTK UUNGU WAKE.

Karibu ktk UISLAMU uokoke na Moto wa Jahanam.
Njoo ktk KUFAULU.
NJOO KTK NJIA YA PEPONI.
 
Yule Nabii Elyasi Nabii wa Kiislamu wa kule Kibaha mbona hamumfanyi kitu na bado yupo na anafundisha Dini ya Kiislamu na ana Wafuasi wake wengi tu.
Acha mikwala.
 
EDUCATION is the most powerful weapon which you can use to change the WORLD.

"Nelson Mandela"


Sasa ninyi endeleeni kung'ang'ana na Madrasa (UDINI).


Haya mambo mmeanza tangu ukoloni na walosoma wakaelimika then wakapata ajira mkaona ni ubaguzi why serikali haiwapi ninyi ajira.


Ndg zanguni badilikeni hiyo akhera mnayoitaka tangulizeni na elimu dunia(kama msemavyo)
 
Mnataka tutuzalishia mitoto kaliba ya yule mwalimu wa Lindi....fukuza wote huko msikitini...ikiwezekana fungia kwa muda hicho kituo
 
Sasa mtu ana elimu ya madrasa atakuelewa vp?
 
Wakati awamu ya pili ya kikwete kulikua na madrasa mtungi za aina hii zikifundisha ugaidi kwa watoto. Matunda yake tuliyashuhudia kibiti na mkuranga
 
Haya kawapa mifuko 300 ya Cement?bado.Pia mana shukrani.Wale watoto mnawalaza msikitini kwenye hall na mbu wote hao kisarawe.Shenzi kabisa
Hii post imemfikia Dc Magoti na wakubwa zake wamemshauri asikurupuke...


Hongera kwa Dc Peteo kwa mchango wake wa Cement katika msikiti wa happ kiluvya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…