Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
- #401
Kufa na chuki yako. Uliyoyaficha kifuani ni mazito zaidi ya haya unayoyadhihirishaHaya tumewachangia mifuko ya cement..Takbir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa na chuki yako. Uliyoyaficha kifuani ni mazito zaidi ya haya unayoyadhihirishaHaya tumewachangia mifuko ya cement..Takbir
Hatari sana.... Hapo ndipo dini inapotumika kama sumu Kwa waamini.analala seuleni sawa, lakini anachokisema kiko sawa? This is the point to consider!
Ni kweli, si tunayaona, tuna watoto wa ndugu zetu waislamu tunaishi nao. Wanafundishwa kuona wengine ambao siyo dini yao ni makafiri, siyo wenzetu. Ujinga mtupu
Proud to be Muslim mmesha anza chokochoko. Wakitumbukia wanafunzi kwenye lile shimo wakafa mtasema ni uzembe wa viongozi, wakipata ebola na magonjwa ya mlipuko mtageuza geuza maneno mkawalaumu viongozi.Amani iwe nanyi.
Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.
Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.
Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.
Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.
Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.
Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!
Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.
Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?
Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.
Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.
Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.
Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.
Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Pia serikali ilishafuta na kuzuia watoto wadogo kuwekwa katika mabweniMbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
tena sio magodoro tu ni magodoro dodoma😂😂😂😂 mnawalaza watoto wa watu kwa shida wakati wazazi wanajua wako sehemu salama mnakula tu hela makafiri wakubwaWe punga unaijua sehemu anayolala mbuzi ilivyo? Huko kwenu mbuzi mnawalaza kwenye magodoro?
Ofcourse ana uwezo huo, just like wakuu wa wilaya wengine. Shida ni muunda, vyombo vya usalama ngazi ya wilaya vina repoti kwakemimi kilichonikera ni pale anasema, kama isingekuwa nyumba ya ibada ningekuweka ndani leo. who is he? mkuu wa wilaya mbona mtu mdogo sana, anatishia watu kuwaweka ndani?
hivi unajua kisheria ni mazingira gani anaweza kumweka mtu ndani?Ofcourse ana uwezo huo, just like wakuu wa wilaya wengine. Shida ni muunda, vyombo vya usalama ngazi ya wilaya vina repoti kwake
Hujajibu kuhusu PAPA
MTAKATIFU KUBARIKI WAFIRAJI.
Mimi nina akili mbaya. Mwehu sina elimu lkn nashangaa wewe msomi mwenye PHD ya Kigalati unashindwa kujibu swali dogo tu.
Hao unaowaita maostazi wanatambua kwa asilimia 100 kuwa kubaka kulawiti kufira.na au hata kufanya ngono tu nje ya ndoa ni kosa kubwa sana na hukumu yake ni kifo ktk Nchi ya Kiislamu.
Wanafanya kwa sababu kila jamii ina kondoo waliopotea.
Narudi kwa WAKRISTO SASA.
KIONGOZI MKUU WA WAKRISTO DUNIANI AITWAE PAPA FRANCIS amesema kuwa wanamme wote wanaotaka KUFIRANA wafanye Ndoa kabisa na YEYE AMEZIKUBALI na KUZIBARIKI kwa Moyo wote.
Na Kaamrisha VIONGOZI WOTE walioko Chini yake DUNIA NZIMA wasije kukataa kuhalalisha UFIRAJI .
PAULO akija na JOSEPH wakataka kufunga NDOA KANISANI LAZIMA WAPOKELEWE NA NDOA IFANYIKE kwa BARAKA ZOTE ZA KANISA.
Nakuuliza Tena. Je yule mwenye kufirana kwa kujifucha na YULE ANAEHALALISHA WANAMME WAPAKUANE na AKAWAPA BARAKA ZAKE nani mbaya zaidi na anaestahiki kunyongwa hadharani?
Nipe jibu we MKATOLIKI acha kukimbia swali dogo namna hii . AU unamuogopa MUMEO
Asante kwa kujubali kuwa PAPA AMERUHUSU WANAMME KUBANDUANA. Na Unatakuwa umlaani km waungwana wote wanavyo mlaani .Ewe mfuasi wa tamaduni, mila na desturi za kiarabu papa siyo kiongozi wa kila mkristo. Pia papa si biblia. Kama kuna jambo la kiimani linabishaniwa basi biblia ndiyo grand nom. Yaani muamuzi wa mwisho. Wakristo wengi nje ya RC wanamshangaa sana papa alipoanza kutoa kauli nyingi zisizopatana na akili kuhusu ushoga. Mfano alisema, ushoga siyo jinai. Sasa swali linazuka, siyo jinai au crime katika nchi gani?
Kitu ambacho unapaswa kuondoka nacho ni kuwa papa si kiongozi wa kila mkristo. Pia nasikitika kwamba Afrika haina imani yake ya asili ambayo imekuwa well documented kwa ajili ya rejea kwa waumini. Matokeo yake tuna changanywa na imani za kigeni ambazo nyingi ni mila na desturi za asili ya dini hizo, kama vile Roman Empire kwa RC na Uarabuni kwa uislamu. Dini hizi zote zina waelekeza waumini wake kwenye mila na desturi za huko zilikotoka. Kuanzia mavazi, chakula, lugha, usanifu majengo, nyimbo, etc. Ukichunguza waumini wake wana tabia za dini zao. Lakini wenyewe wanadhani hiyo ndiyo imani yao, kumbe ni mila na desturi za watu.
www.jumpintotheword.com
Umeona eeehtena sio magodoro tu ni magodoro dodoma😂😂😂😂 mnawalaza watoto wa watu kwa shida wakati wazazi wanajua wako sehemu salama mnakula tu hela makafiri wakubwa
Yule Nabii Elyasi Nabii wa Kiislamu wa kule Kibaha mbona hamumfanyi kitu na bado yupo na anafundisha Dini ya Kiislamu na ana Wafuasi wake wengi tu.Asante kwa kujubali kuwa PAPA AMERUHUSU WANAMME KUBANDUANA. Na Unatakuwa umlaani km waungwana wote wanavyo mlaani .
Tukirudi kwenye imani za kigeni . Kweli kabisa UMELETWA NA MZUNGU na Yeye ndio akaweka picha ya Yesu na Maria kuwa ni wazungu na mpk leo WAKRISTO WOTE wanapigia Goti Picha ya HOLYWOOD ACTOR wakidhani kuwa ni YESU.
Unapokuja kwenye UISLAMU hapo unatakiwa upewe elimu kwanza manake ufahamu wako wa UISLAMU ni mdogo sana
Duniani kuna waislamu takriban 1.6 billion na ktk hao WAARABU NI ASILIMIA 15% !
Hizo ASILIMIA 85% ZA WAISLAMU SIO WAARABU.
Hilo lzm litakushangaza lkn usione aibu. Ujinga sio kosa .
Kosa ni kuwa mjinga kisha ukawa mbishi kusoma.
Wako WAARABU mamilioni mengi sana ambao SIO WAISLAMU na wengine ni makafiri waabudu mtu km hao wanaoabudu sanamu ya Mzungu.
We unachanganya masuala ya mila na DINI.
Mimi sivai mavazi ya waarabu . Navaa kibantu.
Na nakula ugali na dagaa.
Mwarabu anakula biriani ya mbuzi na nyama ya ngamia.
Mimi sina Hela.
Waarabu wana hela sana.
Mimi lugha ya kiarabu sijui.
Wala mila za kiarabu kwetu hakuna.
Anaeiga mila kisha akasahau ya kwao huyo ni mtumwa.
Km unavyoona wakristo. Wanavaa Suti na jua la Bongo.
Mahubiri yao wanajifanya kusema kiingereza wakati wanaosikiliza wote hakuna muingereza. 🤣
Viongozi wa KIKRISTO wanajipq UTUME NA UNABII KILA SIKU na nyie Kondoo mnakubali. Wanadai wanasamehe madhambi na nyie mnapanga Foleni kusamehewa madhambi na mtu ambae Ana vimada ndani. Mzinifu asie na aibu.
We umeshawahi kusikia ujinga Huo kwenye UISLAMU?
Atokee Muislamu kisha anadai yeye ni Nabii uone kitakachomkuta.
Wakristo wana BIBLIA 80,000 ambazo zimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 2900.
Na kila moja iko tofauti na ingine.
ukitaka ushahidi Google
Twenty Interesting Facts About The Bible - Jump Into The Word
Twenty interesting facts about the Bible.www.jumpintotheword.com
Sisi hatuna kiongozi mmoja ambae akisema Kitu sote tufuate.
Tuna Kitabu cha Mungu KIMOJA TU. (QURAAN)
huo ndio muongozo wetu. Na atakeleta sheria TOFAUTI Ndani ya UISLAMU kinyume NA KITABU CHETU huyo ni kafiri na kamwe hatokubalika na Muislamu yyt.
HUO NDIO UISLAMU.
DINI YA KUABUDU MUNGU MMOJA TU.
HANA BABA WALA MWANA WANA HANA MSAIDIZI KTK UUNGU WAKE.
Karibu ktk UISLAMU uokoke na Moto wa Jahanam.
Njoo ktk KUFAULU.
NJOO KTK NJIA YA PEPONI.
kwahiyo wanaswali pamoja?Dini ya shetani. Muhammad anasema Shetani ni muislamu na majini ni maislamu.
Sasa mtu ana elimu ya madrasa atakuelewa vp?Msikiti unasajiriwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania siyo kwa mujubu wa Sheria za Yemen wala Oman.
Msikiti ukitaka kutoa huduma za afya huo ni utarayibu mwingine chini ya sheria na mamlaka nyingine, na haitaitwa Msikiti tena, ndivyo ilivyo kama Msikiti utataka kutoa huduma za malazi, n.k
Mbina mnakuwa wazito sana kuelewa
Hii post imemfikia Dc Magoti na wakubwa zake wamemshauri asikurupuke...Haya kawapa mifuko 300 ya Cement?bado.Pia mana shukrani.Wale watoto mnawalaza msikitini kwenye hall na mbu wote hao kisarawe.Shenzi kabisa