We mgalatia kwa taarifa yako nimesoma Bible school for 4 years and I know what I'm talking about.kwahiyo huwa mnafundishwa kwamba wakristo hatujui wazazi wa walioandika vitabu vya Biblia?
uliuliza waandishi wa vitabu. Musa aliandika vitabu 5 vya mwanzo vya Biblia (Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, Kumbukumbu la Torati) babake ni AMRAN, huyo ndiye alikuwa babake kakake ailiyeitwa HARUNI na dadake aliyeitwa MIRIAM alizaliwa nao tumbo moja. na Daudi aliandika Zaburi. ISAYA aliandika kitabu cha Isaya, babake aliitwa AMOSI.🤣🤣🤣
Kuna mtu kauliza habari ya musa na Daudi hapa?
We leo utaelewa tu japo unajitia kichaa.
Jibu swali.
Ni nani babake na MATHEW
Ni nani babake na PETER.
Ni nani babake na MARK
Ni nani babake na JOHN.
SITAKI mipasho na ngonjera
Jibu swali acha kujifanya mwehu.
.
we ndugu katika imani naona umekimbia, au umeenda gaza?🤣🤣🤣
Kuna mtu kauliza habari ya musa na Daudi hapa?
We leo utaelewa tu japo unajitia kichaa.
Jibu swali.
Ni nani babake na MATHEW
Ni nani babake na PETER.
Ni nani babake na MARK
Ni nani babake na JOHN.
SITAKI mipasho na ngonjera
Jibu swali acha kujifanya mwehu.
.
Waarabu wanasomesha watoto siku hizi tena vyuo vya Magharibi ili tu waende sambamba na nchi nyingine kufanya maendeleo ya uchumi na technology.Hivi hata Saudi kuna mambo kama haya?
Kwenye hiyo video kawaambia wasisome dini?Huyo mkuu wa wilaya ajiangalie sana. Atumie busara
Akina Mwamposa wanaibia watu mchana na usiku serikali iko kimya halafu anakuja mkuu wa wilaya anataka waislamu wasisome dini yao?.
Huyo mkuu wa wilaya ajitafakari sana.
Anaingilia uhuru wa waislamu kuabudu na kujifunza dini yao, hili halikubaliki
Unajua inaweza isiwe tusi kwa muktadha utaoutumia. Mfano unaweza ukamuita rafiki yako fala mkiwa kwenye story zenu za kawaida tu na ikawa poa tu. Ila mna mgogoro halafu ukamuita fala tayari chuki hiyo.Hata ndani ya biblia hilo neno kafiri lipo au kwa vile hukijui kitabu chako?
Ezekiel 21:25 (NEN)
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake
Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”
2Wakorintho 16:22 “Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maran atha”. Ili kuepuka kuwa kafiri, ni lazima mtu akiri Yesu Kristo, na kumwamini, na kumpa maisha yake."
Kwahiyo hata mimi ni kafiri kwa mujibu wa Ukristo. Na siwezi kusema umenitukana kwasababu imani yangu haipo katika kuuamini ukristo.
Halafu hapa unakosea sisi kwetu ni rahisi kuijua dini yetu sababu tunatumia kiswahili. Kwetu wakatoliki hadi mtoto anaenda kuanza mafundisho tayari anaijua dini na imani yake vizuri tu hata kusali amajua pia.Watoto wako pale kuhifadhi Quran. Maneno ya Mungu ili uyahifadhi huwa hayataki distractions za kidunia. Ndio maana hata nyinyi mna seminaries na vyuo vya biblia ambapo wachungaji,mapadri na masista huenda kukaa kulisoma neno la mungu wenu.
Muislam aneijua dini hukuti anasema ELIMU DUNIA kamwe, mtume wetu aliambiwa SOMA, SOMA KWAAJILI YA MOLA WAKO, hakuambiwa asome niniEDUCATION is the most powerful weapon which you can use to change the WORLD.
"Nelson Mandela"
Sasa ninyi endeleeni kung'ang'ana na Madrasa (UDINI).
Haya mambo mmeanza tangu ukoloni na walosoma wakaelimika then wakapata ajira mkaona ni ubaguzi why serikali haiwapi ninyi ajira.
Ndg zanguni badilikeni hiyo akhera mnayoitaka tangulizeni na elimu dunia(kama msemavyo)
Tatizo makafir wanasema kilichokuwa kinafunzwa pale sio dini ni ugaidiWewe mleta mada ndo unataka kuhamisha magoli ili nia nzuri ya DC ionekane mbaya. DC alikuwa sahihi kabisa, siku waislam mkiacha kuwaza kwa akili za malalamiko malalamiko mtafika mbali sana
Ukiambiwa ukweli ni chokochoko. Hata mauaji ya kibiti ilianza hivi hivi kimasihara kwa sababu serikali ilikua imelalaHizi ndio chokochoko mnazoleta ili kuvuruga amani ya nchi hii?
Wavaa pedo na kobazi mna tabu sana.Waislamu DUNIA NZIMA wana kitabu KIMOJA.
Tatizo la makafiri wengi mnapenda sana mipasho na rusha roho.G
Wavaa pedo na kobazi mna tabu sana.
Dunia gani unayoizungumzia wewe wakati huko duniani mnapigwa vita mkae kwenu hamtaki mnavuruga ustaarabu wa watu,
Mnaomba msaada chakula mkipewa mnauliza hiki halal.
Mkipewa msaada wa kulala mnataka mliyemkuta pale afukuzwe kisa anakula kharam.
Mchina kawashtukia anavunjavunja misikiti yote.
Na muda si mrefu atatembeza ban kwa wavaa pedo.
Hizi habari huwezi kujua km we safari yako ukisafiri sana Zanzibar na selfie unapiga.
aisee ndugu katika imani, ile discussion ulikimbia, kumbe huwa mnafundishwa kwamba makafiri hatujui wazazi wa walioandika vitabu vya Biblia na kwamba walioandika wote ni watoto haram? sikujua kama mna knowledge kidogo namna hiyo juu yetu sisi makafiri.Tatizo la makafiri wengi mnapenda sana mipasho na rusha roho.
We akili kalio ulionayo unadhanj makafiri waabudu sanamu la mzungu wako salama Huko China?
Yaani bora kufa maskin kuliko kuishi hali ya kuwa wewe ni mpumbavu .
We unafahamu MAKANISA MANGAPI YAMEPIGWA MOTO CHINA na MAPADRI WANGAPI WAMENYONGWA?
Soma hapa habari wanayoipata makafiri wenzako huko China. Halafu uone km utarudia tena kumsifu mchina . Kelbu wahedi.
In China, they’re closing churches, jailing pastors – and even rewriting scripture
China’s Communist party is intensifying religious persecution as Christianity’s popularity grows. A new state translation of the Bible will establish a ‘correct understanding’ of the textwww.theguardian.com
China Declares War on Christianity – Destroy Churches, Burn Bibles - uighur.nl
A Chinese based religious rights monitoring group has accused the Chinese government of carrying out a harrowing persecution of Christianity in Beijing and other provinces across the country. China Declares War on Christianity – Destroy Churches, Burn Bibles The group further accuses the Chinese...www.uighur.nl
Chinese officials burn bibles, close churches, force Christian to denounce faith amid 'escalating' crackdown
The Chinese government is destroying crosses, burning bibles, closing down churches and forcing Christian believers to sign papers renouncing their faith.www.foxnews.com
Hizo habari zote hapo zomeandikwa na vyombo vya habari vinavyo milikiwa na MAKAFIRI kama wewe wanaoabudu weekend.
Sasa was ufundi wachina tena.
Mkiambiwa Someni. Mnakimbilia kuimba kwaya
Paka shume wahedi.
Mbona waliosoma Hizo degree za vyuo wapo kibao mtaani wanahahaWewe huwezi kujua elimu ya kumjua Mungu inampeleka wapi muumini wa imani husika.
umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.Mbona waliosoma Hizo degree za vyuo wapo kibao mtaani wanahaha
Degree zao sio msaada tena.
Nyie makafiri mnaeodai mna degree mnauziwa mchanga wa mtoni kijiko buku. Na maji ya azam kijiko buku 4 kisha mnaamini mtapata baraka zote na hela nyingi sana.umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.
mwamposa hajanikamata mimi aisee, kawakamata watu wenu mbona. mfano, pale kawe juzi, unaambiwa karibia nusu ya wale waliohudhuria kwa mwamposa ni waislam, wengine wamesafiri toka zanzibar kabisa kuja kwa mwamposa. na anawapiga pesa vilevile wakati sisi wakristo wa hapa hatuna habari naye. majority ya wale wanaoombewa ni watu walioozoea shortcuts, waliozoea kwenda kwa waganga, madawa ya suna, ndio maana hawamtaki Mungu, wanataka miujiza tu, anataka aombewe apate kitu aondoke zake, hayupo pale kuabudu, na wengi sana ni waislam karibia nusu nzima.Nyie makafiri mnaeodai mna degree mnauziwa mchanga wa mtoni kijiko buku. Na maji ya azam kijiko buku 4 kisha mnaamini mtapata baraka zote na hela nyingi sana.
Halafu weekend mnaenda kupigia goti sanamu la mzungu mkiliomba liwasaidie
Wake zenu wapate mimba.
Au mpate kazi ya maana.
Hio Degree imekusaidia nini kutoa pumba kichwani?
Yaani UKAFIRI NI LAANA ILIOKO NDANI YA DAMU.
Kuitoa ni Jahannam tu. Ndio makao yenu.