Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Nyinyi ndio mnafanya tuonekane wajinga

Kinachosemwa vibaya ni mazingira mabovu,

Mbona Kuna malkaz nyingi tu haziguswi?

Shida masheikh wengi wanaanzisha vituko kwa ajili ya kupiga pesa huku wanafunzi wakiishi katika mazingira magumu.

Acha kukurupuka,, Halafu wewe ndio unatudhalilisha waislamu kwa kupandisha thread ya hovyo
 
analala seuleni sawa, lakini anachokisema kiko sawa? This is the point to consider!

Ni kweli, si tunayaona, tuna watoto wa ndugu zetu waislamu tunaishi nao. Wanafundishwa kuona wengine ambao siyo dini yao ni makafiri, siyo wenzetu. Ujinga mtupu
Magoti kasema kuwa lengo la sheikh ni zuri tatizo mazingira, hao watoto hata wakienda kusoma wapi bado watafundishwa asiye muislam ni kafir tu, mbona ukristo unafundisha kuna miungu mitatu hiyo si imani yenu hakuna shida, mnekuwa watakatifu sana mapadri watatu wangekufa kanisani na kutupwa kwenye matenk ya maji?
 
Soma post #41
 
analala seuleni sawa, lakini anachokisema kiko sawa? This is the point to consider!

Ni kweli, si tunayaona, tuna watoto wa ndugu zetu waislamu tunaishi nao. Wanafundishwa kuona wengine ambao siyo dini yao ni makafiri, siyo wenzetu. Ujinga mtupu
Sasa kama sio muislamu unakataaje kuitwa kafiri?

Kafiri maana yake ni mpingaji/mwenda kinyume

Maana ya kafiri ni aliye na itikadi kinyume na uislamu

Kwa maana hiyo hata mkristo anamuona muislamu ni kafiri
 
Waislamu wana shida kubwa sana, wanaharifu hatma ya maisha ya watoto wao sasa halafu huko baadaye wanakuja kulalamika kuwa wagalatia wanabebwa kwenye mifumo ya ajira, siasa na maendeleo.

Waislamu acheni kukumbatia ujinga.
Nyinyi ndio wapumbavu

Waislamu wakiajiriwa kwenye taasisi mnalalamika kuwa taasisi Ina udini

Mfano, humu zimejaa threads za UDOM na Azam (Bakhresa) Kuna udini

Kama hawakusoma wamewezaje kuajiriwa? Toka lini mnaupenda uislamu na waislamu wawe na mazuri?

Pia watu wasiposoma mnalalamika wanarudisha nyuma maendeleo

Halafu elewa, katika uislamu elimu ya Dunia ni wajibu wa kuwakilishana

Wakisoma baadhi wengine wasiposoma Haina Shida.

Ulimwengu wa sasa Kuna wasomi kibao, wengineo wasiposoma hamna Shida

Japo Kuna elimu ya msingi ambavyo ni lazima, kufahamu kusoma , Kuandika nk
 
Watoto wanapewa mafunzo ya kigaidi bado waendelee kuchekewa tu,magoti kasema kiutu uzima mazingira hayaridhishi lakini ukweli watoto waliopaswa kuwepo shuleni wanaandaliwa Kuja kuua wasio na hatia
Ila akiua mwamposa ni sawa? Asichukuliwe hatua aliyeua anachukuliwa anayefunza watoto
Acheni kuwafunza watoto wa watu ugaidi,ilhali watoto wenu mmewaficha makwenu.

Nani kafunzwa ugaidi?
 
Mkiamusha hisia ndo itawasiadia Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…