Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Ilikuwa easy tu...ameona kuna tatizo katika kituo kile basi angewaita masheikh ofisini na kuwaelekeza nini kinatakiwa kifanyike au kama alikuwa hana muda huo angewasiliana na viongozi wa bakwata ili wawasiliane na uongozi wa msikiti huo na kuwapa maelekezo ya serikali
Huo utakuwa ni uoga na kiongozi ukishakuwa muoga utadharauliwa. Yale Mazingira hayakuwa sahihi kabisa vyoo na Mazingira ya kulala wanalala nje.
 
Watoto karibia wote wanadai wamefeli mtihani wa darasa la Saba
Sifuri tupu...walimu tunajua...mtoto unamfundisha kuandika kutoka kushoto kwenda kulia...lakin kichwan amekaririshwa kuandika kutoka kulia kwenda kushoto...serikali ituongezee posho...tunateseka..yaan mpaka ajae kwenye mfumo mwalimu ushakunywa doz kazaa na masindano kibao
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
NDUGU ZANGU WAISLAMU KUBALINI KUAMBIWA UKWELI MNAPOKOSEA NINYI SI WATAKATIFU KUMBUKENI HILO, PIA JIFUNZENI KUFUATA SHERIA ACHENI KUWA JUU YA SHERIA
 
Kenya mchungaji kaua watu yupo jela sasahivi, bongo mwamposa kaua watu moshi ila hakuna alichofanywa
Mwamposa hakuna per se sema ni uzembe wa wasaidizi wake kuweka mpanga mzuri watu wasikanyagane. Nadhani kwa Sasa wamelitatua. Ingawa simkubali mwamposa ila kwa kumlinganisha na mchungaji wa Kenya sio sawa.
 
Sifuri tupu...walimu tunajua...mtoto unamfundisha kuandika kutoka kushoto kwenda kulia...lakin kichwan amekaririshwa kuandika kutoka kulia kwenda kushoto...serikali ituongezee posho...tunateseka..yaan mpaka ajae kwenye mfumo mwalimu ushakunywa doz kazaa na masindano kibao
haaaaaaaaa haaaaaaaaa haaaaa
 
Ilikuwa easy tu...ameona kuna tatizo katika kituo kile basi angewaita masheikh ofisini na kuwaelekeza nini kinatakiwa kifanyike au kama alikuwa hana muda huo angewasiliana na viongozi wa bakwata ili wawasiliane na uongozi wa msikiti huo na kuwapa maelekezo ya serikali
😂😂 Dah ila Waislamu bhana 🙌 hii sasa n level ya upungufu mkubwa wa akili mwilini
 
Mwisho: Kumbuka kuwa history tells it all kuwa kambi kama hizi kuna maustadhi wanafira watoto (kumradhi) hivyo lazima kuwa macho na so called shule hizi zenu.
Wanawaweka watoto kwenye hatari kubwa sana.
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Hapaa ndio inatudhibitishia kwamba Uislamu ni dini ya Kimasikini sanaa usiojali utu,check shule zote za kikristo kama utawai kukutana na jambo la aibu na ajabu kama hili na sio ajabu wanategeshea WAPATE UFADHILI KUTOKA UARABUNI.MAANA HAKUNA MWISLAMU MWENYE IWEZO WA KUTO SADAKA KWA AJILI YA MAENDELEO NI MALALAMIKO TUU NA KUTOA NYAMA YA KONDOO SIKU YA IDD YA KUCHINJAA
HATA HIVYO BADO NI MSAADA FLANI HIVI

Any way nisiseme sanaa tusubiri Hajaty wenu aseme awatetee

Sema mfumo haitoruhusu hicho kituu

POVU RUKSAA
 
Mkono mmoja usilaumu hili Hadi anafika hapo mh DC tambua Kuna shida na hajajurupuka acha afanye kazi yake kwa ustawi wa taifa wewe mwenyewe umesema ujenzi bado hata vibali vya ujenzi bado Sasa kujazana huko kwa watoto katika mazingira ya hatari wewe unaona sawa? Jitafakari ndg usilaumu Kama kweli wewe ni mzazi.
Alafu, huu si umri wa watoto kuwa shule, hii hapo ni nini?

Kama ni shule imesajiliwa? Kama sio shule kuna utaratibu gani wa kuwapeleka hao watoto shule wakasome na kupata maarifa?
 
Hao watoto wanajifunza Quran pekee au Kuna kazi nyingine za kiuchumi wanafanya kama kilimo na ufundi!!?
Kwasababu Quran sio chakula pekee Cha mtu kula ,lazima kuwe na kazi za kiuchumi ambazo kijana anajifunza kujitegemea baadae!!

Kujifunza Quran pekee hakutoshi kumuandaa kijana kujitegemea badala ya kija kuwa mzigo Kwa taifa!!

Mimi kama kiongozi ajaye,nadhani shule iboreshwe zaidi ya kusoma Quran kuwe na elimu ya mtaala was kawaida na ufundi stadi plus kilimo Ili tupate complete package ya kijana sio kuhifadhi tu Quran pekee huyu mtoto hatokula Quran asipojifunza kazi!!
 
Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?

Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?
Angekua na nia mbaya asingekuja na waandishi wa habari.afu mskt wote ufungwe kupisha uchunguz kwanza
 
Huwa hamtaki kuambiwa ukweli na hamuachi kulialia.

DC yeye ameplay part yale, amesimama kwenye jukumu lake...haiwezekani aone watoto wa miaka mitatu kwa mitano wanaopaswa kuwepo nyumbani kwa wazazi wao wakisoma shuleni eti wanalala nje ya manyumbani kwao na kujipikilisha huko

Haiwezekani Asilani

Cry more !!!
Binafsi namuunga mkono Magoti na nnajua hawezi kukurupuka tatizo la Waislamu ukiwachekea kupitia hiyo Misikiti wamezalisha matatizo mengi sana hapo hamna quran wala nini suala la Ugaidi huenda linahusika wabanwe tu muhimu hajapigwa mtu Magoti hawezi kutoka kwake tu akavamia msikiti ikumbukwe yule Bwana ni kipepeo mzoefu hawezi kukurupuka nasisitiza
 
Back
Top Bottom