Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Huwa hamtaki kuambiwa ukweli na hamuachi kulialia.

DC yeye ameplay part yale, amesimama kwenye jukumu lake...haiwezekani aone watoto wa miaka mitatu kwa mitano wanaopaswa kuwepo nyumbani kwa wazazi wao wakisoma shuleni eti wanalala nje ya manyumbani kwao na kujipikilisha huko

Haiwezekani Asilani

Cry more !!!
Narudia...cry more🤣🤣🤣
 
Tuwe wakweli, kuna unyanyasaji mkubwa sana kwenye hivyo vituo, kuna moja iko SUDAN, huko, ni zaidi ya jela, watoto ni makovu tu, wanashinda kwenye minyororo
Yn mtoto n mdogo lkn anapigwa kofi la kiutu uzima kisa amekosea kusoma, yn mpaka ww ambaye n jirani tuu roho inakuuma
 
Kenya mchungaji kaua watu yupo jela sasahivi, bongo mwamposa kaua watu moshi ila hakuna alichofanywa
Tofauti ya kenya na hapa, wa kenya ni intentional, tena alikuwa analazimisha kabisa. Mwaposa haikuwa intentional ni idadi ya watu ilikuwa kubwa zaidi kupitiliza eneo ikapelekea kukanyagana

Hizi kesi mbili ni tofauti sana
 
Dawa ni kumshusha mshipa tu iwe fundisho kwa makafiri wenzake,hawa watu wana chuki sana na Uislamu.
Sasa mzee nani awe na chuki na Waislamu? Dunia hii bila uwepo wa Wakristo ingekuwa n vita daima mana nyie mshazoea harsh.
Na huo mshipa wa kumshusha bwana magoti hamna uwezo huo ht mkimsomea alibadili.
Acheni ugaidi nyie nchi iwe salama, na mpende au msipende n lazima tuzime ugaidi wenu
 
Hulo wala siyo kigezo, kuna watoto shule na walimu siyo Waislam wamepigwa mpaka wameuliwa.
Upo sahihi sana, lkn ht ww unajua kabisa likitokea hilo serikali inaingilia kati na unaona namna sheria inavyofatwa, sasa kwann hy sheria ikija kwenu mnaona mnaonewa?
 
Watoto wakishakufa haiitwi chokochoko inaitwa Uzembe wa Viongozi...

Nadhan busara ni kwamba mazingira yakishakuwa safi watoto waendele na masomo
Kwann DC asiwawekee hayo mazingira safi ili waendelee na masomo.
Atakuwa ametatu tatizo
 
Hizi ndio chokochoko mnazoleta ili kuvuruga amani ya nchi hii?
Amani ya nchi ipotee kwasababu ya ujinga wenu.nyie ndio mnaotaka kuketa chokochoko.Tena mlitakuwa muone aibu kubwa kwasababu mmemkosea ata Mungu wenu ambaye naamini anapenda usafi na ustarabu.DC kila mtu kamsikia na kaongea kistarabu sana labda mseme mlikua hamtaki uozo wenu wakuvundika watoto wawatu uonekane kwenye jamii.Mimi naamini ata hao wazazi walioleta hao watoto wangekuja kuona mazingira yawatoto wao wanapolala wasingekubali.Jirekebisheni badala yakutaka kukuza mambo wakati wenye makosa ni nyie.
 
Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?

Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?
Hisia za waislam?
 
hayo mengine sitaki kujishughulisha nayo lakini huyu shehe kwenye video anaongea vizuri sana nimemmpenda. ni wa wapi kwa anayemjua? nimeona video zake kadhaa anaongea kwa hekima sana na unaona shule ipo.
 
Back
Top Bottom