Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

Kaazi kweli kweli. Dini Zakuletewa hizi, na Lugha zakutafsiliwa, tumezifakamia tunajiona mahodari na tuna uchungu nazo kuliko walio zileta. Tukomae nazo tusahau umoja wetu kitafa. Na raslimali za Tanganyika zinaenda. Vizazi vijavyo hatuvitendei HAKI hata kidogo. #OkoaBandariZetu
 
Eti Waturuki ni Waarabu hapa ndipo nilipo acha kuzingatia hili andiko.
sawa sio waarabu , je ni sahihi kutetea mkataba wa bandari kidini ? je yemen , djibout na somalia wameukataa huo mkataba , vp na wao ni wakristu , kuna vitu haviitaj dini , kuunga mkono mkataba huu mbovu hautoniathiri mm tu bali hata ww pia , hao waarab wanatafuta fursa kwa vizaz vyao vya baadae sio kwajili yenu nyiny waislam , na ndio maana mkataba hauna kikomo , STUKA TOKA HUKO GIZANI , TULISHACHEZEWA NA WAZUNGU KWANN HAMJIFUNZI ? HIZI DINI NI MTEGO TU WA KUTUFANYA WATUMWA WAO WALA HAWATUPEND NDIO MAANA DADA ZETU WANAULIWA SANA HUKO KWENYE VIBARUA ZA DADA WA KAZI JQ SERIKALI YAO HAIJAWAI JIHUSISHA KUWAADABISHA WAHUSIKA
 
Hakuna shekhe anaweza kulazimisha maoni yake kila muislamu ayafuate hatutaki hiyo mijadala kweny nyumba za ibada.

Kila muislamu yupo huru na ana maono yake juu ya mkataba.

Kataa mashekhe wanaolazimisha maoni yao kila mtu ayakubali.?!
Una hekima sana
Waislamu tusikubali kufuata maoni ya shekhe
Kila mtu awe na mtizamo na msimamo wake

Uislamu umekataza dhuluma
Inakuwaje tukubali limkataba la dhuluma kama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia ya Ikulu ya Dar es Salaam inafanana na historia ya mskiti wa Al Aqsa huko Israel ambao umejengwa kwenye misingi ya hekalu la Waisraeli lililojengwa na mfalme Suleiman, lakini Waislamu wamegoma Kutoka. Ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa kwenye nyumba ya Waislamu lakini Serikali iligoma Kutoka Hadi leo. Maeneo haya ambayo ni halali kwa waanzilishi waachiwe wenyewe.
 
Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Askofu wa Ngara Severine Niwemgiz alimwonya Rais Magufuli uovu wa kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano wakati Chama chake Cha CCM kinafanya wakati mikutano ni haki ya kikatiba, Rais Magufuli kachukia kampa kesi ya uhamiaji kwamba siyo raia. Uovu unatakiwa kukemea na yeyote bila kujali aliyetenda uovu ni dini yako au la. Uovu tusiangalie nani kautenda.
 
Na bingwa wa kuvuruga ni Kikwete yuleyule ambaye alikuwa anawasweka mashehe bila huruma jela bila ushahidi zaidi ya kutuhumu.
Ila kwa kuwa anawajua wenzake kuwa ukitaka kufanikisha jambo unawatumia kwa kuingiza udini kuwa wanaonewa, unafanikiwa.
 
Mambo ya kumuambia mtu apumzike kwa amani ni upuuzi yeye kafa kafiri na atauona moto kama kawa,,,ni kama wewe kama ni kafiri moto pia utauona
Uko nje ya mada, na hii comment yako inaonyesha ukweli wa Quran 17:85 kwamba una elimu ndogo ya kiroho.
 
Uwezi kulichukua ukawapa "wa Islam"ile ni sehemu ya nchi, kama, taifa tumeishalipa gharama kubwa sana kulitunza, huko nyuma serikali ilitaifisha shule za makanisa, ikazifsnya ziwe za serikali, ili watoto wasome bila kulazimishwa kufata mkondo Fulani wa dini, serikali iliposhindwa kuziendesha, ikazirudisha kwa wenyewe makanisa, sasa ukisema urudishe magogoni kwa wenyewe, je utarudisha na ardhi ya kimara iliyomegwa kujenga Barbara ya kimara! Njia nne?
Hayo tuyaache, waislam mlishapewa majengo ya chuo cha tanesco, kidatu,na mkapa! Nyie mtayarudisha?
 
Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Aki acha kuongea kama mjinga basi shirikisha ubongo wako. Serikali sasa hivi ina hisa asilimia 16 na Barick asilimia 84 kwa mujibu wa sheria ya madini katika kampuni ya Twiga Minerals Ltd baada ya Magu kuwafurusha Acacia ndio maana seikali inapata mgao wake wa Dividend kila mwaka. Mikataba ya awali ilikuwa mibovu na waliosaini ni hawa hawa Ma CCM tunaowalalamikia leo kwenye mkataba wa bandari. Halafu btw dhahabu haichotwi inachimbwa kwa gharama kubwa sana.
 
Shida sasa inakuja Sheikh Mwaipopo ataelewa kweli!!
 
Mwarabu atapewa tu bandari,mengine kelele,msitake kututumia waislam
 
Exactly, line hiyo hiyo ya highly internalized religious beliefs
Wanaopinga DP world wanaopinga kwa misingi ya dini,walianza viongozi wao wa dini kuhofia mwarabu kisa kaahidi kujenga msikiti wa ijumaa mbeya,hawa akina mwabukusi ni kondoo waliotumwa TU,so waislam wameliona Hilo,zingine ni ghilba tu za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…