4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mada ya mkataba hii siyo ya udini mkuuNa wewe tuwekee ushahidi ya kwamba yesu na waktistoo sio mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mada ya mkataba hii siyo ya udini mkuuNa wewe tuwekee ushahidi ya kwamba yesu na waktistoo sio mashoga
Kaazi kweli kweli. Dini Zakuletewa hizi, na Lugha zakutafsiliwa, tumezifakamia tunajiona mahodari na tuna uchungu nazo kuliko walio zileta. Tukomae nazo tusahau umoja wetu kitafa. Na raslimali za Tanganyika zinaenda. Vizazi vijavyo hatuvitendei HAKI hata kidogo. #OkoaBandariZetuJE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????
Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.
HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????
Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ. حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369
Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
sawa sio waarabu , je ni sahihi kutetea mkataba wa bandari kidini ? je yemen , djibout na somalia wameukataa huo mkataba , vp na wao ni wakristu , kuna vitu haviitaj dini , kuunga mkono mkataba huu mbovu hautoniathiri mm tu bali hata ww pia , hao waarab wanatafuta fursa kwa vizaz vyao vya baadae sio kwajili yenu nyiny waislam , na ndio maana mkataba hauna kikomo , STUKA TOKA HUKO GIZANI , TULISHACHEZEWA NA WAZUNGU KWANN HAMJIFUNZI ? HIZI DINI NI MTEGO TU WA KUTUFANYA WATUMWA WAO WALA HAWATUPEND NDIO MAANA DADA ZETU WANAULIWA SANA HUKO KWENYE VIBARUA ZA DADA WA KAZI JQ SERIKALI YAO HAIJAWAI JIHUSISHA KUWAADABISHA WAHUSIKAEti Waturuki ni Waarabu hapa ndipo nilipo acha kuzingatia hili andiko.
Una hekima sanaHakuna shekhe anaweza kulazimisha maoni yake kila muislamu ayafuate hatutaki hiyo mijadala kweny nyumba za ibada.
Kila muislamu yupo huru na ana maono yake juu ya mkataba.
Kataa mashekhe wanaolazimisha maoni yao kila mtu ayakubali.?!
Msamehe
Historia ya Ikulu ya Dar es Salaam inafanana na historia ya mskiti wa Al Aqsa huko Israel ambao umejengwa kwenye misingi ya hekalu la Waisraeli lililojengwa na mfalme Suleiman, lakini Waislamu wamegoma Kutoka. Ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa kwenye nyumba ya Waislamu lakini Serikali iligoma Kutoka Hadi leo. Maeneo haya ambayo ni halali kwa waanzilishi waachiwe wenyewe.Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE [emoji1256], umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki [emoji1250] ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Huna akili wew bandari ni kila kitu ikiwemo dhahabu yenyeweWale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Askofu wa Ngara Severine Niwemgiz alimwonya Rais Magufuli uovu wa kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano wakati Chama chake Cha CCM kinafanya wakati mikutano ni haki ya kikatiba, Rais Magufuli kachukia kampa kesi ya uhamiaji kwamba siyo raia. Uovu unatakiwa kukemea na yeyote bila kujali aliyetenda uovu ni dini yako au la. Uovu tusiangalie nani kautenda.Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Sasa si useme wewe au Bakwata? Kwani TEC wapo kusemea kila kitu wao tuu?Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Na bingwa wa kuvuruga ni Kikwete yuleyule ambaye alikuwa anawasweka mashehe bila huruma jela bila ushahidi zaidi ya kutuhumu."SHURA YA MAIMAMU TANZANIA"
WALISHATOA TAMKO LAO NA LINALINGANA KABISA KIMAUDHUI NA TAMKO LA UMOJA WA KANISA KATORIKI.
NA HAPAKUWA NA HISIA ZOZOTE ZA UDINI.
ILA AKIONGEA MKATORIKI NI UDINI
HISIA ZA UDINI ZINATOTAKANA NA KUSHINDWA HOJA HIVYO KUTAFUTA KUUNGWA MKONO NA WATU WASIOJIELEWA.
Kama mtakuwa na busara japo kidogo basi mjue kuwa mtakuwa sahihi mnapo ongealea jambo lenye mustakabari wa Taifa Letu
Yohana 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Uko nje ya mada, na hii comment yako inaonyesha ukweli wa Quran 17:85 kwamba una elimu ndogo ya kiroho.Mambo ya kumuambia mtu apumzike kwa amani ni upuuzi yeye kafa kafiri na atauona moto kama kawa,,,ni kama wewe kama ni kafiri moto pia utauona
Uwezi kulichukua ukawapa "wa Islam"ile ni sehemu ya nchi, kama, taifa tumeishalipa gharama kubwa sana kulitunza, huko nyuma serikali ilitaifisha shule za makanisa, ikazifsnya ziwe za serikali, ili watoto wasome bila kulazimishwa kufata mkondo Fulani wa dini, serikali iliposhindwa kuziendesha, ikazirudisha kwa wenyewe makanisa, sasa ukisema urudishe magogoni kwa wenyewe, je utarudisha na ardhi ya kimara iliyomegwa kujenga Barbara ya kimara! Njia nne?Unajua kuchambua hoja kwa mantiki, tofauti na wakina Ritz The Boss na THE BIG SHOW wenye mihemko ya kidini miaka yote, wanaoona sifa kulinda ushetani wa ndugu yao katika imani, hata kama amefanya kosa la wazi linaloonekana kwa kila mmoja.
Hilo la ikulu ya Magogoni kama kweli ni jengo lenu, lichukueni tu, inaonekana serikali waliichukua wakati huo wakiwa na upungufu wa majengo, tofauti na sasa tayari ipo ikulu ya Dodoma, kumbe Magufuli aliona mbali sana, inawezekana alijua baada ya muda sio mrefu mtaanza kulalamika, apumzike kwa amani huko alipo.
Kwa hiyo kwakuwa walio tangulia waliingia mikataba ya kishenzi basi tuendelee kuacha mikataba ya kishenzi iendelee sio!Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Aki acha kuongea kama mjinga basi shirikisha ubongo wako. Serikali sasa hivi ina hisa asilimia 16 na Barick asilimia 84 kwa mujibu wa sheria ya madini katika kampuni ya Twiga Minerals Ltd baada ya Magu kuwafurusha Acacia ndio maana seikali inapata mgao wake wa Dividend kila mwaka. Mikataba ya awali ilikuwa mibovu na waliosaini ni hawa hawa Ma CCM tunaowalalamikia leo kwenye mkataba wa bandari. Halafu btw dhahabu haichotwi inachimbwa kwa gharama kubwa sana.Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Shida sasa inakuja Sheikh Mwaipopo ataelewa kweli!!Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE 🇦🇪, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki 🇹🇷 ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Mwarabu atapewa tu bandari,mengine kelele,msitake kututumia waislamKama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE 🇦🇪, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki 🇹🇷 ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Huyo kafiri sijui kaandikiwa na nani!Eti Waturuki ni Waarabu hapa ndipo nilipo acha kuzingatia hili andiko.
Wanaopinga DP world wanaopinga kwa misingi ya dini,walianza viongozi wao wa dini kuhofia mwarabu kisa kaahidi kujenga msikiti wa ijumaa mbeya,hawa akina mwabukusi ni kondoo waliotumwa TU,so waislam wameliona Hilo,zingine ni ghilba tu za kizamaniExactly, line hiyo hiyo ya highly internalized religious beliefs
Unawatia aibu Waislam wenzako wanaojielewa!.Huyo kafiri sijui kaandikiwa na nani!