darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Tukianza kudai hayo majengo mfano Ikulu TEC nao watakuja kudai Shule zao, wahindi nao watakuja kudai nyumba zao mambo yatakua tafrani tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasumbuka Bure ndugu mtu kasoma madrasa pekee huku kwingine ni sawa na kambale kumweka jangwaniMashekh wa kijinga sana rais akiingia mkataba mbovu anayeumia sio mkiristo pekee ,atakayekosa kuajiriwa kwa kwa serikali kukosa mapato ,wote wataumia isipokuwa Royal famili za akina saa100 ,kikwete na makamba maana wao wameshaavuna vya kutosha
Umeandika nini ewe mfuasi wa Mwamedi?Na wewe tuwekee ushahidi ya kwamba yesu na waktistoo sio mashoga
Lazima umkane, Waislam wengi wenye elimu dunia & exposure wako vizuri sana...ukiacha wachache makanjanja kama wewe!.Wajinga ndiyo waliwao.
Kwa maandiko yake tu, huyo siyo Muislam.
Mimi hakuna mahala nimetetea mkataba .sawa sio waarabu , je ni sahihi kutetea mkataba wa bandari kidini ? je yemen , djibout na somalia wameukataa huo mkataba , vp na wao ni wakristu , kuna vitu haviitaj dini , kuunga mkono mkataba huu mbovu hautoniathiri mm tu bali hata ww pia , hao waarab wanatafuta fursa kwa vizaz vyao vya baadae sio kwajili yenu nyiny waislam , na ndio maana mkataba hauna kikomo , STUKA TOKA HUKO GIZANI , TULISHACHEZEWA NA WAZUNGU KWANN HAMJIFUNZI ? HIZI DINI NI MTEGO TU WA KUTUFANYA WATUMWA WAO WALA HAWATUPEND NDIO MAANA DADA ZETU WANAULIWA SANA HUKO KWENYE VIBARUA ZA DADA WA KAZI JQ SERIKALI YAO HAIJAWAI JIHUSISHA KUWAADABISHA WAHUSIKA
Dah!..una hojaKama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE 🇦🇪, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki 🇹🇷 ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Aiseeee !!!Akili na elimu ni vitu viwili tofauti, hekima na busara ni zao la akili ndo maana unaeza ukawa na elimu ila ukakosa akili.
Macho yanakusaidia kutazama ila akili inakufanya uone, nafikiri adui namba moja kwa taifa letu ni ujinga.
Tatizo la waislam hasa wa Tanzania ni UJINGA na UVIVU.Hawajifunzi tu, Waislamu walimpigania Kikwete, Muislamu mwenzao kwenye uchaguzi wa mwaka 2010, akaishia kuwalipa kwa kuwasweka ndani mamia ya masheikh wao kwa makosa ya ugaidi. Kuna masheikh wamekaa jela huko Arusha na nchi nzima tangu wakati wa Kikwete, wengine wametolewa na Samia majuzi tu, wengine bado wako ndani!.
Badala waangalie faida za nchi na watu wake, wao wanaangalia kutetea wanasiasa eti kwa sababu ana jina linalojishabihiana na dini yake.
Kwani kuwa Muislamu ni halali kuuza nchi ilmradi unayemuuzia ni Muislamu mwenzio, ni nini maana sasa ya kulinda dhamana uliyopewa?
Kwa hiyo muislamu sharti kutokujielewa ?!.Wajinga ndiyo waliwao.
Kwa maandiko yake tu, huyo siyo Muislam.
Hakuna mantiki yoyote hapoUnajua kuchambua hoja kwa mantiki, tofauti na wakina Ritz The Boss na THE BIG SHOW wenye mihemko ya kidini miaka yote, wanaoona sifa kulinda ushetani wa ndugu yao katika imani, hata kama amefanya kosa la wazi linaloonekana kwa kila mmoja.
Hilo la ikulu ya Magogoni kama kweli ni jengo lenu, kalichukueni tu, inaonekana serikali waliichukua wakati huo wakiwa na upungufu wa majengo, tofauti na sasa tayari ipo ikulu ya Dodoma, kumbe Magufuli aliona mbali sana, inawezekana alijua baada ya muda sio mrefu mtaanza kulalamika, apumzike kwa amani huko alipo.
Nyie wenye formal education mna msaada gani kwa nchi? Mfano wa aliyesoma ilhali elimu aliyonayo haina manufaa ni sawa na punda aliyebeba furushi la vitabu ambavyo havimnufaishi. Mmesoma lakini ndiyo wezi na mafisadi wakubwa. Mmesoma lakini ndiyo mna udini wa hali ya juu na kueneza chuki dhidi ya wengine. Toka tumepata uhuru nyie ndio wengi serikalini lakini kila siku ni afadhali ya jana. Elimu yenu inawafundisha uharibifu badala ya ujenzi wa nchi na watu wake.ALL THIS IS LACK OF FORMAL EDUCATION, WESTERN EDUCATION
Huwezi kutegemea madrasa ukawa na weledi wa kudadavua mambo! Muislamu hata akawa Prof, ukimchomekea dini tu, umemteka. Mfano mzuri ni Prof Asad former CAG, na likaratasi lake la PhD, mbele ya dini aliliweka kando akaingia kwenye kundi la wajinga! kundi la takataka!
Likewise Zitto, kwenye hili la Bandari ame mute by 100,000,000% as if nothing is going on. Reason, Mwenzangu katika dini.... Zitto na weledi wake, limekuwa jibwa lisilobweka kabisa...afadhali libweke na haliumi, sasa Zito ni jibwa lisilobweka kabisa..kwa bandari. UDINI wa mwenangu
Umesomeka San mh spikaKama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE [emoji1256], umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki [emoji1250] ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ آمِنِينَ
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
TEC wenyewe ndio waasisi wa udini nchi hii. Mbona hatuwaoni TEC wakipinga mkataba wa Swissport wa kuendesha viwanja vya ndege nchi nzima? Mbona nyie wapinzani wa ubinafsishaji wa bandari hatuwaoni mkipinga mikataba mingine mibovu waliyopewa Wakristo wenzenu ambao ni Wazungu? Udini na chuki vimewafanya badala ya kupinga vipengele vya mkataba sasa mnapinga mwekezaji! Nyie semeni kuwa hamuwataki Waarabu wapewe bandari maana hata hivyo vipengele mnavyolalamikia vikibadilishwa midhali bado anapewa Mwarabu mtapinga tu.Nimegundua kuwa wote wanoaupinga waraka wa TEC hawajausoma kabisa bali wanaongozwa na mihemko na jazba za udini tu,na udhaifu huu ndiyo unaotumiwa na CCM kuwatumia Waislam kukidhi matakwa yao ya kisiasa.