Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

Unawatia aibu Waislam wenzako wanaojielewa!.
Kwa kuwa yupo mrengo wako ndo unamuona anajielewa!?..nyi vumilienintu, waarabu wanatimba,mbona tumekua na wazungu na mikataba ya hivyo kwa Karne,wametufundisha mpaka kuvaa suruali,sketi na blauzi na waislam hawakuwa na shida!?
 
Fuatilia sheria ya madini ya aslimia 16 ilipitishwa lini,siyo unamsifu tu huyo Mungu wako
 
Elimu Elimu Elimu elimu
Kabisa

Bandari sio msikiti wala kanisa

Bandari kila mtu anatumia awe mwislamu Mkristo au asiye na dini

Hoja pale ni mkataba sio dini.Watu wakisema baadhi ya mashehe elimu dunia vichwani sifuri hawatanii

Nini wasichoelewa? Kinachojadiliwa ni vipengele vya bandari vilivyoko kwenye mkataba sio jengo la msikiti au jengo la Madrasa ya kiislamu lililoko bandarini !!!

Elimu Elimu Elimu nakazia
 
Kabisa asee
 
Ni mambo ya aibu sn
 
Umemsahau FaizaFoxy. Kwanza hilo foxy kwa ushungi ule sijui tusemeje
 
Umeengea kwa weledi sana mimi ni mwislam sio wa kubahtisha ukiona mtu anamkingia kifua huyu shuwani kwa kigezo cha uislam anatakiwa alaaniwa popote pale
 
Hili jambo liko nje ya uwezo wako wa uelewa. Ww pigania dini, acha TEC wapiganie raslimali za umma. Soma tamko tena la TEc, hiyo mikataba mibovu iko ndani.
Na wametoa mifano kedekede kuwa madini tu meingia mikata ya kisenge sasa kipindi hicho kilikuwa cha giza kwa sasa tumeamka hatutakubali tena
 
Kwahiyo waislamu unahisi hatujitambui wewe hamnazo sisi ndio waalimu waustarabu nafikra nzuri huanzia kwenye ustarabu.
Pili tunakitabu kitakatifu ambacho ndaniyake kinamuongozo wamaisha kwetu wanaadam sasa sijui hofuyako nini?
 
Hongera Sana kwa uelewa mkubwa na maarifa mengi, pia Nchi ya Brunei mji Mkuu wake unaitwa Darusalaam , yeyote anaweza ku google the capital city of Brunei ataona jina Darusalaam
 
Mashekh wa kijinga sana rais akiingia mkataba mbovu anayeumia sio mkiristo pekee ,atakayekosa kuajiriwa kwa kwa serikali kukosa mapato ,wote wataumia isipokuwa Royal famili za akina saa100 ,kikwete na makamba maana wao wameshaavuna vya kutosha
 
Kwahiyo waislamu unahisi hatujitambui wewe hamnazo sisi ndio waalimu waustarabu nafikra nzuri huanzia kwenye ustarabu.
Pili tunakitabu kitakatifu ambacho ndaniyake kinamuongozo wamaisha kwetu wanaadam sasa sijui hofuyako nini?
Kuwa na kitabu kitakatifu kila mtu huwa anasema hivyo, tatizo lipo kwenye utekelezaji wa hicho kitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ