Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

Nimemsikiliza sheikh kipezeo kwenye you tube akikanusha maneno yaliyosamba kuwa anakubaliana na waraka wa maasikofu wa katoriki kuhusu mkataba wa bandari

Akaongeza kwa kusema yeye anaukubli huo mkataba eti kwa sababu umesainiwa na rais na tumeambiwa tukubali mambo yanayosemwa na viongozi

Kwakweli hii kauli yake imenifedhesha na kunifanya nimdharau sana huyu shekhe
 
Mashekh wa kijinga sana rais akiingia mkataba mbovu anayeumia sio mkiristo pekee ,atakayekosa kuajiriwa kwa kwa serikali kukosa mapato ,wote wataumia isipokuwa Royal famili za akina saa100 ,kikwete na makamba maana wao wameshaavuna vya kutosha
Utasumbuka Bure ndugu mtu kasoma madrasa pekee huku kwingine ni sawa na kambale kumweka jangwani
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Kwa maandiko yake tu, huyo siyo Muislam.
Lazima umkane, Waislam wengi wenye elimu dunia & exposure wako vizuri sana...ukiacha wachache makanjanja kama wewe!.
Bahati mbaya Waislam hao waelewa hawapendi kabisa kujihusisha na masuala ya uongozi misikitini wala ktk Taaasisi zao (mfano BAKWATA) kwa kuogopa kulogwa, majungu, fitna nk nk
 
Mimi hakuna mahala nimetetea mkataba .
 
huwa nawaza kwamba elimu sio jibu la kila jambo,lakini kwa upuuzi wa hawa masheikh najikuta nagombana na mawazo yangu ya awali.

elimu inajenga mitizamo ya binaadam kwa namna nzuri sana.
 
Dah!..una hoja
 
Akili na elimu ni vitu viwili tofauti, hekima na busara ni zao la akili ndo maana unaeza ukawa na elimu ila ukakosa akili.

Macho yanakusaidia kutazama ila akili inakufanya uone, nafikiri adui namba moja kwa taifa letu ni ujinga.
 
Akili na elimu ni vitu viwili tofauti, hekima na busara ni zao la akili ndo maana unaeza ukawa na elimu ila ukakosa akili.

Macho yanakusaidia kutazama ila akili inakufanya uone, nafikiri adui namba moja kwa taifa letu ni ujinga.
Aiseeee !!!
 
Tatizo la waislam hasa wa Tanzania ni UJINGA na UVIVU.
 
Hakuna mantiki yoyote hapo
Nyie wenye formal education mna msaada gani kwa nchi? Mfano wa aliyesoma ilhali elimu aliyonayo haina manufaa ni sawa na punda aliyebeba furushi la vitabu ambavyo havimnufaishi. Mmesoma lakini ndiyo wezi na mafisadi wakubwa. Mmesoma lakini ndiyo mna udini wa hali ya juu na kueneza chuki dhidi ya wengine. Toka tumepata uhuru nyie ndio wengi serikalini lakini kila siku ni afadhali ya jana. Elimu yenu inawafundisha uharibifu badala ya ujenzi wa nchi na watu wake.
 
Umesomeka San mh spika
 
Nimegundua kuwa wote wanoaupinga waraka wa TEC hawajausoma kabisa bali wanaongozwa na mihemko na jazba za udini tu,na udhaifu huu ndiyo unaotumiwa na CCM kuwatumia Waislam kukidhi matakwa yao ya kisiasa.
TEC wenyewe ndio waasisi wa udini nchi hii. Mbona hatuwaoni TEC wakipinga mkataba wa Swissport wa kuendesha viwanja vya ndege nchi nzima? Mbona nyie wapinzani wa ubinafsishaji wa bandari hatuwaoni mkipinga mikataba mingine mibovu waliyopewa Wakristo wenzenu ambao ni Wazungu? Udini na chuki vimewafanya badala ya kupinga vipengele vya mkataba sasa mnapinga mwekezaji! Nyie semeni kuwa hamuwataki Waarabu wapewe bandari maana hata hivyo vipengele mnavyolalamikia vikibadilishwa midhali bado anapewa Mwarabu mtapinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…