Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

Wew umeleta hoja Kali baada ya mleta hoja wee Ni nambari mbili uko vzr ubarikiwe [emoji120]
 
Inasekitika sna mkuu

HV mzee Mohamed Said Yuko api mnk. Nae kupigania uislmu Ni hodari
 
Kama ungelijua kwanini Nyerere na Karume waliviunganisha hizi nchi. Ni kumdhibiti muarabu asirudi kuipindua tena zanzibar. Na ibaki salama. Lakini naona walioachiwa urithi wanalazimisha kumrudisha muarabu huyo huyo kwa kigezo cha dini na imani. Hata kama anakuja kututawala bandarini milele.

Mkataba urekebishwe. Aingilie mlango wa mbele wa uwekezaji. Na si kwa kigezo cha imani wala dini yake.
 
Kama hujui historia kaa kimya. Umeongea utumbo mtupu hapa usio na hoja za kisomi.
 
Unayo hoja mkuu! Ila hapa nadhani siyo mahala pake
 
Ni aibu na fefhea endapo bandari hi watapewa wale jamaa kwa IGA na mkataba huo

Hamaza johari ndie aliendesha .majadiliano ya mkabta huo
 
Wanadhani wakatoliki wanapokosoa bandari wanatumia kigezo cha dini, nilitegemea na mashee nao waunge mkono maana ni jambo lililowazi au kama kupinga wapinge kwa mitazamo ya kimaslahi na sio kidini. Mashee wetu wanatudhalilisha tuonekane waislamu wote ni viande wanaropoka ropoka tu mambo
 
Hadi sasa hakuna taasisi yoyote ya Kiislam iwe BAKWATA, Baraza Kuu, TAMPRO, Shia, Ibaadhi, Sunni, Salafi na wengineo walitoa tamko rasmi iwe kuunga mkono au kupinga uwekezaji wa bandari. Waislam wanaozungumza iwe kuunga mkono au kupinga wanafanya hivyo sawa na watu wa dini nyingine ambao wapo wanounga mkono na wapo wanaopinga. Kwanini iwe nongwa Waislam kutoa maoni yao? Kwanini kuunga mkono iwe ni kosa na kupinga iwe ni sawa?
 
Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC

Waraka wa TEC umegusa yote we mvaa kibandiko + kobazi. Soma acha kuishi kwa hisia na kuendekeza imani kwenye masuala ya kijamii na kiuchumi. Wale huna DPW huna undugu nao sio wenye rangi yako wale. Waliwafunga minyororo babu zako na kuwauza kama mifugo leo unawatetea?
 

Wanaokutibu ukiugua kaswende na gono huko mahospitalini elimu yao waliipata madrasa,unatumia huu mtandao kwa kujinafasi kabisa je hawa wanaokufanya uutumie huu mtandao elimu yao waliipatia madrasa?
 
Wanaokutibu ukiugua kaswende na gono huko mahospitalini elimu yao waliipata madrasa,unatumia huu mtandao kwa kujinafasi kabisa je hawa wanaokufanya uutumie huu mtandao elimu yao waliipatia madrasa?
Popote mlipo wengi wenu mpo kwa maslahi binafsi kama vile wizi, ufisadi na dili chafu. Ndio maana nchi haiendelei. Elimu mnayojivunia tija yake kwa Taifa ni ndogo sana. Hata huko hospitali ulikosema mnauza madawa na vifaa tiba na mnatoa huduma mbovu. Kwa ufupi hamna msaada wowote wa maana.
 
Tangu lini umerudi kwenye uislam,baada ya kubadilishwa dini na huyo mzungu mwanamke (angel) na kuwa mkatoliki leo ndo unakuja kuusema uislam.
 
Barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…