The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Ktk suala hili la Bandari, Waislamu tumejifedhehesha kidogo. Tunakurupuka. Tunatumiwa. CCM wajanja sana.Serekali imeshajua ni rahisi kuwateka waisilamu kupitia dini yao. Wanajua waisilamu hawana muda wa kuangalia ukweli ikishachomekwa hisia ya dini yao. Kibaya zaidi viongozi wao ndio wamekuwa wepesi kupotezwa kwenye hoja, na kuachwa wakipayuka kushambuliwa kwa dini yao kwa jambo lisilo na uhusiano na dini, ili mradi msimamizi wa jambo ni muislamu, basi wao hilo jambo hulifanya ndio uislamu!
Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Ebo! Mikataba mibovu kama hiyo Barick ndiyo imewaamsha Watanzania wazalendo kuhakikisha udhalimu huu hautokei kwenye Bandari zetu. Muwe mnaelewa.Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Dini ya kweli ni pesa. Pesa ndio zinaweza kufanya mambo yako mengi yakakaa sawa, sio dini boss. Waislamu, wakristo na wasio kuwa dini, wote hao maisha yao yananyooka wakiwa na pesa, na sio wakiwa wameshika sana dini.Kwaimani yetu waislam hatuna kitukingine chakutufunza zaidi ya kitabu tukikiacha tumekwisha
Siku likija suala la Mahakama ya Kadhi sijui itakuajee kwakweli, ambalo kimsingi ndilo linaweza kua sura ya kidini.Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE ๐ฆ๐ช, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki ๐น๐ท ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Endelea kuamini dini yako wewe nipesa Mao asingekufa kwangu Mimi na waminio pesa nimapitoDini ya kweli ni pesa. Pesa ndio zinaweza kufanya mambo yako mengi yakakaa sawa, sio dini boss. Waislamu, wakristo na wasio kuwa dini, wote hao maisha yao yananyooka wakiwa na pesa, na sio wakiwa wameshika sana dini.
Ikiwa mahakama imeshauri mkataba urekebishwe nyinyi nani wa kusema mkataba haufai?.. mahakama haijatupilia mbali hoja zote za kina Mwabukusi.
..kuna baadhi ya hoja imekubaliana nazo na imeshauri, kwa hofu ya kuliingilia bunge, mkataba urekebishwe.
..mahakama pia imeeleza kwamba kilichopitishwa na bunge ni mkataba na sio makubaliano kama ambavyo watetezi wa serikali wamekuwa wakisisitiza.
..wakosoaji wa mkataba wamesisitiza mara nyingi kwamba hawapingi dini ya mtu, au dini ya muwekezaji wa Dubai Port.
..wako waliokwenda mbali kwa kuweka msisitizo kwamba mkataba hauna mahusiano yoyote na imani ya Kiislamu. Na kwamba mkataba na Dp ni mbaya hata kama ungesainiwa na Mkristo, au Mpagani.
..mimi nadhani CCM inawatumia vibaya ndugu zetu Waislamu. Kwasababu CCM wamekosa hoja za kutetea mkataba wao mbovu wameamua kujificha kwenye kichaka cha udini, na haswa dini ya Rais Samia.
..Ni kitu cha kushangaza kwamba Mashekhe na Maimamu wanatetea mkataba na Dp kuliko wabunge walioupitisha na makada wa CCM.
Kifo hakihusiani na dini, labda useme mtu akiwa kwenye dini yako hafi. Lakini ni dhahiri mtu mwenye pesa ama maisha mepesi kuliko mshika dini.Endelea kuamini dini yako wewe nipesa Mao asingekufa kwangu Mimi na waminio pesa nimapito
Hata akinya kanisani unadhani wakristo huwa tunafanya fujo yoyoye? Sana sana tutasafisha huo uchafu na kulaani kitendo hicho. Hatutachoma misikiti kama nyinyi mnavyofanya mkiwa provoked.Kanye kanisani
Ushoga hauna dini. Kuna mashoga wakristu, kuna mashoga waislamu, kuna mashoga wapagani na kuna mashoga wa kila namnaNa wewe tuwekee ushahidi ya kwamba yesu na waktistoo sio mashoga
Mkuu wewe ni muislam na mzalendo wa kweli!Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE ๐ฆ๐ช, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki ๐น๐ท ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
NEW WORLD ECONOMIC ORDER ndio inayowafanya DPW wakutane na upinzani hapa Tanzania. Ukubwa wa hiyo kampuni ya Dubai huwezi kuulinganisha na hao waturuki wanaojenga SGR.Uko sahihi. Masheikh wapo kwenye majibizano ya kushindana, wakati maaskofu wanaweka mbele mustakbali wa Taiifa zima ndiyo maana huoni maaskofu wakiandika neno "sheikh", "uislamu", "waislamu" katika waraka wao.
Hao DP World wametimuliwa Djibouti nchi ya asilimia 98 waislamu tupu sembuse hapa kwetu!
Ishu hapa ni mkataba mbovu, siyo habari za uislamu wala Ukiristo
Mbona waislamu wa Uturuki wanajenga SGR maaskofu hawajatoa waraka?
Mbona Waislamu wa Misri wanajenga bwawa la Stieglers maaskofu hawajatoa waraka?
Qur'an inasema simamia haki na sema ukweli hata kama ukweli unakutandika wewe mwenyewe!
Usiposimamia haki na ukweli utaonekana kituko tu, bali yule asimamiaye ukweli atapata heshima!
Na ukweli haujalishi kausema paroko, askofu au imamu na sheikh!
Kwenye hili la bandari, maaskofu wapo katika ukweli na haki!
Ikiwa mahakama imeshauri mkataba urekebishwe nyinyi nani wa kusema mkataba haufai?
Hakuna kitu kitakachofnaywa na mwanadamu kikawa kamili kwa mwanadamu mwingine.
Ikiwa mnaona CCM inawatumia vibaya waislamu, je nitakuwa sahihi kusema na CHADEMA inawatumia baadhi ya wakristo na makanisa vibaya kwa kupinga mkataba?
mkorinto kwanza ujifunze kiswahili vizuri, hakuna kitu kinaitwa "walaka" ni waraka, asili ya neno hili ni kiarabu lenye maana ya jani la mti, kwa kuwa watu wa zamani walikuwa wakiandika kwenye baadhi ya majani ya miti au vitu mfano wa majani, kwa kiswahili waraka ni karatasi iliyoandikwa taarifa maalum.mkuu unaweza ukaonyesha popote katika walaka wa TEC uislam wa rais ukihusishwa katika mkataba wa DP world??maana tuna uhakika hata markez wa SGR ni waislam wazuri kabisa lakini TEC hawana shida nao.
mnataka kutumia kete ya dini mkiwa na nia gani na taifa hili enyi wachumia tumbo mliokosa elimu mpaka busara???
tofauti ya TEC na hawa masheikh ni moja tu,wao wamejikita kwenye ubovu wa mkataba,nyinyi mnajikita kwenye kuwaparua wao,ndio maana inabidi uislam uingizwe kwa nguvu,bahati nzuri waislam walio wengi hawana imani na bakwata,hivyo itakuwa ngumu sana kueleweka mbele ya waislam kwa kete hii,hapa waislam hawana namna zaidi ya kutafiti kwanza wanachoambiwa watakataa kuwa ngamia tu.
mkataba ule sio code za nuclear,unasomeka na unaeleweka na yeyote tu,ni mpumbavu pekee atakayeamua kuukumbatia,bahati mbaya hata wanaoutetea wanaonekana hawakuusoma kabisa.
ni kweli kabisa elimu ya kiislam ni pana kabisa,lakini haihusiki kabisa kwenye mikataba ya bandari na raslimali za nchi,ndio maana unaona masheikh wanashihirisha hapa kwamba wameiva kwenye sharia ila wanatutangazia upumbavu walio nao.na kukusahihisha sharia hiyo haihusiani kabisa na maendeleo ya arab ya leo.