Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Huyu mgonjwa WA akili Kila sehemu yupo
 
Out of topic..na umeandika pumba.

Fuata imani yako....acha wivu kwa waislamu.

Hapo unahisi imani yako ndiyo sahihi ulivyo juha.

Warabu na wazungu walituweza, wametuweza na wanaendelea kutuweza, yaani wametugeuza matahira kwa kupitia dini.
 
Baada ya usingizi kupaa, umeamua uje uharishe hapa.

Tangu zamani kuna kifaa kinaitwa Dira (compass) ndiyo hutumika kujua uelekeo wa kibla na hata kama hauna kifaa hicho zipo njia sahihi za kujua uelekeo wa kibla.

Dira zipo kila mahali tena ni Tsh 5,000 tu.

Copy & paste

"Ni muhimu kwa Muislamu anaposafiri sehemu ya ugenini angalau ajue jiografia fupi ya sehemu kama hiyo ili asipate shida katika ibadah zake za Swalah anapofika huko. Al-Ka‘bah ndiyo tunayoelekea wakati wa Swalah na Alhamdullillahi kwa sasa ipo miswala ambayo ina dira (‘compass’) pamoja na kijitabu kidogo kinacho kufahamisha namba ya kuelekeza ukiwa katika miji tofauti ulimwenguni. Hii ni njia moja rahisi ya kukutoa katika usumbufu aina yoyote.

Ikiwa huna mswala kama huo basi ni muhimu ujue jiografia japokuwa kidogo. Ikiwa upo Afrika Mashariki, kawaida Qiblah ni kaskazini, hivyo mkono wako wa kuume ukielekea kunapochomoza jua na mkono wa kushoto kunapotua jua basi uso wako utakuwa umeelekea Makkah. Kukusaidia zaidi ni mpaka tujue uko wapi."

Hitimisho...

Wewe ni muongo
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Kwa lugha nyepesi idhini ilitolewa kama ilivyotolewa kwa nabii Ayubu?
 
Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.

View attachment 2610437

Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!

View attachment 2610438

WELCOME...!
Hii inautofauti gani na wanaotumia msalaba????? Mungu yuko hapo qibla??? Pasipo angaliwa maombi hayafiki kwa Mungu???
 
Umewaponda Bara,lakini kosa hilo hilo umesema Pwani ni nadra kutokea,hivyo nako hutokea jambo hilo.

Msingi haswa wa tatizo lako naona ni Ubara vs Upwani na sio uislam.
 
Back
Top Bottom