Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Ina maana Mungu anapatikana huko Maka tu au?Kibra ni sehemu ipo nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana Mungu anapatikana huko Maka tu au?Kibra ni sehemu ipo nchi gani?
mnamwabudu mohamed au. Kabla ya mohamad kulikuwa hakuna uislam? hakukuwa na dini?Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji,Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibra kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Njoo kwa prime ministerMuamala nautiririshia wapi?
Itakuwa.Ina maana Mungu anapatikana huko Maka tu au?
Leo kuna baridi siogiNenda kaoge huko
Huko Qibla ndiko alipo Mungu?Sijajua kwa upande wako unaposema kusali unamaanisha nini ila, kama unamaanisha kuomba/kumuomba MUNGU na kuskia maombi yako haijalishi umeangalia wapi hata ukiangalia uvungu wa kitanda unaweza ukamuomba tu haina shida.
Ila kwa utaratibu wa KUSALI/KUSWALI ambao ameuweka MUNGU kwa DINI ya KIISLAM amesema unaposwali (SIO KUOMBA) unaposwali unatakiwa kuangalia QIBLA.
KARIBU SANA.
Wakristo wengi hawajui kitabu cha ufunuo kinaongea nini.UFUNUO 9 11
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Ufunuo wa Yohana
NGOJA WAAMKE WAO NI HASIRA NA HAWAJUI KUJENGA HOJA, UFUNUO 9 IMEANDIKA.
NINACHOIPENDA BIBLE ILIANDIKWA YOOTE KWAMBA HII DINI ITAKUJA DUNIANI.
kabla ya kujengwa kwa ile ka'aba uelekeo wa kuswali ulikua wapi?Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.
View attachment 2610437
Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!
View attachment 2610438
WELCOME...!
What if kibla na ulaya vyote viko uelekeo moja?Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
kabla ya kujengwa kwa ile ka'aba uelekeo wa kuswali ulikua wapi?
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Muhammad alikuwa anageukia Jerusalemkabla ya kujengwa kwa ile ka'aba uelekeo wa kuswali ulikua wapi?
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Kama Dunia ni kama tufe , unawezaje kuligeukia jiwe na kusujudiaHiyo sehemu muanzilishi ni Nabii Ibrahim na suala la kuswali swala 5 za Kiislam alipewa Nabii Muhammad (S.A.W), sasa kama swala za Waislam alianzisha Nabii Muhammad (S.A.W) unaweza kuona kuwa hiyo sehemu tayari ilikuwepo kabla ya Nabii Muhammad (S.A.W).
Karibu sana...!
asante kwa majibu ya kiungwana kaka, naongezea swali, je nabii Adamu aliswali kuelekea wapi?Hiyo sehemu muanzilishi ni Nabii Ibrahim na suala la kuswali swala 5 za Kiislam alipewa Nabii Muhammad (S.A.W), sasa kama swala za Waislam alianzisha Nabii Muhammad (S.A.W) unaweza kuona kuwa hiyo sehemu tayari ilikuwepo kabla ya Nabii Muhammad (S.A.W).
Karibu sana...!
nashukuru sanaMuhammad alikuwa anageukia Jerusalem
Jiwe gani?Kama Dunia ni kama tufe , unawezaje kuligeukia jiwe na kusujudia
Jiwe linalosujudiwa , jiwe jeusiJiwe gani?
asante kwa majibu ya kiungwana kaka, naongezea swali, je nabii Adamu aliswali kuelekea wapi?
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app