My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihPamoja na kwamba mimi sio Islamic, lakini niliwahi kujifunza kwamba.... Ikiwa upo Afrika Mashariki, kawaida Qiblah ni kaskazini. Hivyo mkono wako wa kuume ukielekea kunapochomoza jua na mkono wa kushoto kunapotua jua basi uso wako utakuwa umeelekea Makkah.
ubarikiwe mkuu, proud of your uungwana [emoji120]Kila Mtume/Nabii alikuja na utaratibu wake aliopewa kutoka kwa MUNGU kuhusiana na suala zima la kuabudu, sasa nilishasema kuwa hizi swala za Waislam alikabidhiwa Nabii Muhammad (S.A.W) na huo ndio utaratibu aliopewa kuhusu kuswali swala hizo.
Kuhusu Nabii Adam kuswali kuelekea wapi sidhani kama nae alifanya hivyo ama laa. Labda wadau watasaidia kukujibu ndugu.
Mle KA'ABA ndani ya lile Jiwe jeusi si ndiyo wanasema kuna viatu vya Ibrahim sijui Mussa ndiyo wanakua wanazunguka kuviabudu?Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.
View attachment 2610437
Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!
View attachment 2610438
WELCOME...!
Ni vizuri kuwa na uniformity.....ila mambo mengine bana. Sasa ukishaelekeza huko ndio inakuwaje yaani ili iwe nini?
Ulikuwe tangu zama na zamaWakristo wengi hawajui kitabu cha ufunuo kinaongea nini.
Kitabu cha ufunuo hakiwaongelei waislamu wala hapakuwepo na dini ya kiislamu wakati huo.
Ufunuo wa Yohana aliopata akiwa katika kisiwa cha Patmo ni kipindi Wakristo walikuwa kwenye mate so makali ya Kaizari Dimitio........
Nina issue anafanya nitarudi nikupe elimu kuhusu kitabu cha ufunuo, ni mambo ambayo yameshatokea na siyo mambo yajayo.
Amka.
Aqswakabla ya kujengwa kwa ile ka'aba uelekeo wa kuswali ulikua wapi?
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
ubarikiwe mkuu, proud of your uungwana [emoji120]
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Huko ndiko iliko jengwa nyumba ya kwanza duniani kumuabudia mungu alijege nabii iburahimuKwamba Mungu wenu hata direction alipo mnaijua?
Hizi imani za dini hizi, au basi.Jiwe linalosujudiwa , jiwe jeusi
Nadhan itakua tu iko ulaya pale paleHivi kwa hapa Namtumbo ulaya ipo upande gani ?
Na jiwe mnalolisujudiaHuko ndiko iliko jengwa nyumba ya kwanza duniani kumuabudia mungu alijege nabii iburahimu
Unguja imejaa Masufi,Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI?
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.