Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Immovable god who stays in Kibla, so mosque, prayers, even funerals must be directed to him as he can't even twist his head to listen in other direction than kibla

Tafheem ul Quran​

Surah 2 Al-Baqarah, Ayat 186-186​

وَاِذَا سَاَلَـكَ عِبَادِىۡ عَنِّىۡ فَاِنِّىۡ قَرِيۡبٌؕ اُجِيۡبُ دَعۡوَةَ الدَّاعِ اِذَا دَعَانِ فَلۡيَسۡتَجِيۡبُوۡا لِىۡ وَلۡيُؤۡمِنُوۡا بِىۡ لَعَلَّهُمۡ يَرۡشُدُوۡنَ‏ ﴿2:186﴾

(2:186) (O Muhammad), when My servants ask you about Me, tell them I am quite near; I hear and answer the call of the caller whenever he calls Me. Let them listen to My call and believe in Me;188 perhaps they will be guided aright.189


Notes
188. Even though people can neither see God nor subject Him to any other form of sense perception this should not make them feel that God is remote from them. On the contrary, He is so close to each and every person that whenever any person so wishes he can communicate with his Lord. So much so that God hears and responds even to the prayers which remain within the innermost recesses of the heart.

People exhaust themselves by approaching false and powerless beings whom they foolishly fancy to be their deities but who have neither the power to hear nor to grant their prayers. But God, the omnipotent Lord and the absolute Master of this vast universe, Who wields all power and authority, is so close to human beings that they can always approach Him without the intercession of any intermediaries, and can put to Him their prayers and requests.

189. This announcement of God's closeness to man may open his eyes to the Truth, may turn him to the right way wherein lies his success and well-being.
 
Ndio maana hawaifasiri kwa lugha nyingine zaidi ya kiarabu.

Ndio lugha bora kuliko zote duniani, yenye matamshi matamu unapenda kusikiliza tu😄 na inasemekana kaburini tutaulizwa kwa lugha ya kiarabu, na sio kibantu wala kiingereza wala kihindi n.k
 
Ndio lugha bora kuliko zote duniani, yenye matamshi matamu unapenda kusikiliza tu😄 na inasemekana kaburini tutaulizwa kwa lugha ya kiarabu, na sio kibantu wala kiingereza wala kihindi n.k
Sasa kwanini allah alituumba wa mataifa mengine na kutupa lugha nyingine? Aiseeee, Mungu huyo ni Mkuresh. Very funny
 
Na hii ni Saudia kabisa
 
Waarabu bhana...ukiswali uelekee kwao si kwa Mungu.
 
Ishmael alifukuzwa na Ibrahim/sara, sasa sijui walijenga lini. alimbariki kuwa atakuwa na uzao mwingi, akamwondosha. Ibrahim aliishi na Isaka hadi kufa kwake, ishmael ambaye ndio waarabu kina mood alishaondoshwa. na hao wafuasi wa ishmael waliandika kila kitu kupindua kile kilichopo kwenye Bible kwasababu ya ugomvi huo huo wa mama wa kambo, na ndio maana wayahudi ni maadui wa kwanza wa kina ishmael, kwasababu ishmael alikuwa mtoto wa kambo na baraka ya Ibrahim ilienda kwa Isaka ambaye ndiye babu wa wayahudi. everything mood wrote alikuwa na kisirani na chuku dhidi ya mama mkubwa (mke wa ibrahim)aliyemtimua. hapo ndio tujifunze kuwa nyumba ndogo siku zote huleta maadui kwa watoto wetu. kila ulichoandika hapo na kila unachokiamini ni uongo uliotokana na mzizi huu. ukweli mchungu.
 
Ni kujibu kwa kifupi sana;
Baada ya Ishmael (Ismail) kuzaliwa na kukua kidogo, Ibrahim aliwataka waondoke hapo walipokuwa wanaishi hivyo waliondoka Ibrahim, (mtoto) na mama yake kwenda sehemu ya mbali (jangawani), walipo fika mahala ambapo sasa hivi ni Maka; Ibrahim alimuambia mkewe (mama Ishmael) wabaki hapo yeye anaendelea na safari....kwenda kusiko julikana (Alisema kuwa anawaacha kwa kuwa ni maagizo ya Mungu; Mama mtoto alikubali kwani alikuwa na imani sana ya uweza wa Mungu.

Baada ya siku chache Pale jangwani, mama akawa anahangaika kutafuta maji ya kunywesha mtoto pamoja na yeye; alikuwa anaenda na kupanda vilima viwili vilivyo kuwa karibu na hapo kuona kama ataona mtu wa kumsaidia. ( Vilima hivyo vinajulikana kama swafa na marwa) vipo hadi leo na wanaokwenda kuhiji Maka hupanda hapo

Baada ya kujaribu mara kadhaa bila kupata msaada; Aliamua kurudi kumuangalia mtoto (Ismael) kwa uwezo wa Mungu aliona pale alipokuwa amelaza mtoto kunabubujika maji kama chemchem (mazuri, masafi na yasiyo na chumvi hata kidogo)
Alishukuru Mungu na hapo hapo akachota na kumnywesha mtoto wake (Ishmael). Hicho kisima kipo hadi leo na ndicho kinalisha watu wote wanakwenda maka na hakijawahi kupungua (kinajulikana kama maji ya Zamzam)

Baadae wafanya Biashara walipita pale na walivyo ona kuna maji safi ya kutumia waliamua kujenga kituo pale cha kupumzika ( hii ni kwa kuwa usafiri wao ulikuwa wa Ngamia) na ndivyo mji wa maka ulivyo anza.
Baada ya miaka kadhaa Ibrahim alirudi pale kufuata familia yake (mke na mtoto alio waacha), wakati huo mtoto alikuwa amekua kiasi na ndipo (Ishmael) akamsaidia baba yake wakati anajenga Alkaaba
Mengine yalifuata baada ya hapo..........
 
mmedanganywa sana. Ishael alipofukuzwa, hakuondoka na ibrahim wala sara, aliondoka yeye na mama yake (hagari) aliyekuwa mwarabu wa misri.

Mwanzo 21:14 Hivyo, asubuhi na mapema, Abrahamu akachukua chakula na kiriba cha maji, akampa Hagari na kumtwika begani; akamfukuza pamoja na mwanawe. Hagari akaondoka, akawa anatangatanga nyikani Beer-sheba.​


soma tu Mwanzo 21:9 - 28 utaona jinsi Hagir (hagari) alipokuwa amefukuzwa na mtoto wake ishmael, wakahangaika sana jangwani peke yao, hata hawakwenda na ibrahim. mood alipotosha sana Bible na mnaamini uwongo mtupu. yaani hadi nawaonea huruma. na jueni hii Bible ilikuwepo karne kabla ya mood kuzaliwa na kuleta icho kitabu, alikiandika kwa kupotosha kile kitu kupindua Bible iliyokuwa inaexist, na amewapata kwelikweli wote mnaelekea motoni.
 

Sasa hii ndio nini
 
Hii dini ya kobaaz ilipaswa kufutwa duniani ni dini ya hovyo.


"Shame" of long hair says St Paul








"Doth not even nature itself teach you, that, if a man have long hair, it is a shame unto him?"
– 1 Corinthians 11.14.
 
Ninachosistiza Mimi ni kwamba DINI ya Kiislamu imechanganyikana na Mafundisho ya KISHETANI.

1. UCHAWI.
2. KUUA
3.KUROGA.
4. KURIPOZA VISASI.
5.KUWACHJKIA WAKRISTO NK.

HUWEZI UKAFUNDISHWA UBAYA NA USHETANI UKASEMA NI MAFUNDISHO YA KIMUNGU.

Mwenye masikio na asikie.
MUNGU ANISAIDIE UJUMBE HUI MFUPI UWAFIKIE UOKOE MAISHA YENU.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Haujaelekezwa ulaya, umeelekezwa Somalia.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Ukiwa Tanzania ulaya ni mashariki magharibi kusini kasikazini?
 
Qur,aan sijawahi kukosolewa na mtu hapo ulicho kiandika ni kiswahili nashangaa kushindwa kufahamu maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…