Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Sahih
 
ubarikiwe mkuu, proud of your uungwana [emoji120]

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mle KA'ABA ndani ya lile Jiwe jeusi si ndiyo wanasema kuna viatu vya Ibrahim sijui Mussa ndiyo wanakua wanazunguka kuviabudu?
 
Bara ndo wapi??hakuna jina la mkoa ulipo?
 
Hii dini ya kuunga unga Sana. Kumbe hata ibada ya kufunga Mohamedi aliiga kwa Wayahudi, halafu Kuna limtu hapa bongo kucha kutwa linamtukana myahudi , hajawahi kujua kuwa SAHIHI MUSLIM YA BUHARI hadithi namba 1130(a) jamaa alistaajabu kuona waizraeli wanafunga siku Moja kuonyesha Musa alivyowakomboa waizraeli jamaa naye akarukia kwa kusema na sisi Musa anatuhusu inabidi tuanze kufunga
 
Ulikuwe tangu zama na zama
 
ninachojua dunia ni duara sio flat kwahiyo upande wowote utakapoeleka utakua unaangalia huko makka
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Unguja imejaa Masufi,
Kisha anatoka mtu anafanikiwa kutembelea Makete sehem ambayo population yake ni Christians, then anakuja na Conclusion ya Waislam wa Bara.

Umechukua Sampling ya mikoa mingapi?
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…