Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MakkahKibra ni sehemu ipo nchi gani?
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji,Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibra kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Kwahiyo msikiti ukielekezwa Ulaya, Mungu hasikilizi sala za waumini?Makkah
Hiyo elimu ya dini sina mkuu, zaidi tu najua Qibla ipo MakkahKwahiyo msikiti ukielekezwa Ulaya, Mungu hasikilizi sala za waumini?
Sawa mkuu.Hiyo elimu ya dini sina mkuu, zaidi tu najua Qibla ipo Makkah
Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.Kibra ni sehemu ipo nchi gani?
Ndio maana hawaifasiri kwa lugha nyingine zaidi ya kiarabu.QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Asante kwa elimu.Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.
View attachment 2610437
Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!
View attachment 2610438
WELCOME...!
Je allah hatasikia maombi kama hutasali kuelekea makha? Najua mtakuja na kitabu cha Daniel kwenye Biblia ila naomba jibu kwanza ndugu maamuma.Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.
View attachment 2610437
Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!
View attachment 2610438
WELCOME...!
Je allah hatasikia maombi kama hutasali kuelekea makha? Najua mtakuja na kitabu cha Daniel kwenye Biblia ila naomba jibu kwanza ndugu maamuma.
Kwahiyo m
Je allah hatasikia maombi kama hutasali kuelekea makha? Najua mtakuja na kitabu cha Daniel kwenye Biblia ila naomba jibu kwanza ndugu maamuma.
sikiti ukielekezwa Ulaya, Mungu hasikilizi sala za waumini
Akija niite tafadhaliSheikh kiponzeo anakuja kukujibu soon
Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.
View attachment 2610437
Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!
View attachment 2610438
WELCOME...!
Hongera umejibu kwa hekima mkuu👍👍👍👍Sijajua kwa upande wako unaposema kusali unamaanisha nini ila, kama unamaanisha kuomba/kumuomba MUNGU na kuskia maombi yako haijalishi umeangalia wapi hata ukiangalia uvungu wa kitanda unaweza ukamuomba tu haina shida.
Ila kwa utaratibu wa KUSALI/KUSWALI ambao ameuweka MUNGU kwa DINI ya KIISLAM amesema unaposwali (SIO KUOMBA) unaposwali unatakiwa kuangalia QIBLA.
KARIBU SANA.