Yaani shida kubwa ya wakristo ni kuto kubaliana na bibilia yao wenyewe ndio maana hawaelewani.
Ukisoma bibilia utakuta yenyewe inapin'gana, haijisimamii na kupelekea kuamini maneno ya wachungaji na kuacha kilicho sahihi.
Wote wanatumia bibilia ila hawaelewani, Msabato kivyake, Mlokole kivyake, Mroma kivyake yaani tafrani. Na kupelekea wivu kwa Waislamu.
Kina Yesu wapo wengi ktk bibilia.
Injili tu ziko kadhaa
Eg. Wa Injili tofauti kabisa na ya Yesu, hii ni ya Paulo na Petro:-
WAGALATIA 2:7.
7 bali, kinyume cha hayo, walipoona ya kuwa nimekabidhiwa injili ya wasiotahiriwa, kama vile Petro ya waliotahiriwa;
Halafu mtu anakwambia soma vitabu vilivyotangulia, akidhani waislamu hatuvijui kumbe yeye ndio hajui hata anachokiamini, wakati bibilia imeshawaweka wazi ya kwamba:-
MATHAYO. 10:26.
26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.