Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

ANGALIA HAPA JINSI QURAN ILIYOANDIKWA NA MASHETANI NA MUNGU AKIWA ANAWASHUHUDI.

2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini....

AYA HII MUNGU AKISHUHUDIA ADUI IBILISI.

.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????

2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????

3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???

TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.
Acha kukashifu kwa kutokuelewa kwako...
 
Mliona shaka Someni VITABU VILIVYO tangulia
Wewe sema shida yako ni nini kwa waislamu/wanyenyekevu.

Hakuna shaka yeyoye kwa waislamu na hivyo vitabu tunavijua maana tunavisoma sana tu. Na tunafahamu fika ya kuwa kama wewe sio wa nyumba ya IZRAELI kwa Yesu wewe ni Mmbwa tu.

15:21-26. MATHAYO.
21 Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni.

22 Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo.

23 Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.

24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.

26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Kama wewe sio wa Izraeli ujijue ni Mmbwa kama mbwa wengine.
 
MTOTO WA KIISLAMU AKIGEUKIA KIBRA KAMA MAMAZAKE........

HIZI NDIO TABIA ZA WASWAHILI HASWA.
 
Mkiona MASHAKA someni VITABU VILIVYO Tangulia.
Waislami hatuna mashaka maana tuko na dini ya haki iliotoka kwa Mungu wa Yesu.
43:68-69. QUR-AN.
68. Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.

69. Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.

Wewe kafiri ndio mwenye mashaka na dini yako.
Kama hauna mashaka na imani yako sema. DINI YAKO NI DINI GANI?
 
Sema shida yako wewe kafiri, achana na watoto, huyo ni mtoto tu, na Yesu anamtabua kama ifuatavyo:-

18:1-3. MATHAYO.
1 Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,

2 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao,

3 akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Hivyo ndivyo visemavyo vitabu vyako vilivyo tangulia.
ACHA WIVU WEWE!!!!
LETE SHIDA YAKO UTATULIWE.

MTOTO WA KIISLAMU AKIGEUKIA KIBRA KAMA MAMAZAKE........

HIZI NDIO TABIA ZA WASWAHILI HASWA. View attachment 2613674
 
Acha wivu, na ya kulalia ipo mkuu, tena kwa bilauri ya dhahabu.
Ila sisi kwetu hakuna watoza ushuru na makahaba.
Kwenu kuna vibaka na malaya mkiongozwa na mudi anatembea na wamama wakumzaa
 
Saa nyengine tumhurimie huwa kachanganyikiwa
Huyu jamaa kasoma seminari, anajiita mkristo wakati hana dini, yupo yupo tu, hajui hata historia ya dini moja. Tena asijiroge akataja na dhehebu lake, maana nitampa hadi tarehe ya kuanzishwa hilo dhehebu, kisha aseme waliokufa kabla ya hapo wanaenda motoni!!!!
Hiyo bibilia yake yenyewe ilitafsiriwa kutoka IMPRIMATI BAIBO ya kingereza na kwenda K.J.VAJIN ya kiswahili mwaka 1942 Ktk kanisa la Mkunazini pale Zanzibar.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
kwahiyo mungu wenu yupo kibra, hawezi kusikia ukielekeza ulaya au america?
 
Huyu jamaa kasoma seminari, anajiita mkristo wakati hana dini, yupo yupo tu, hajui hata historia ya dini moja. Tena asijiroge akataja na dhehebu lake, maana nitampa hadi tarehe ya kuanzishwa hilo dhehebu, kisha aseme waliokufa kabla ya hapo wanaenda motoni!!!!
Hiyo bibilia yake yenyewe ilitafsiriwa kutoka IMPRIMATI BAIBO ya kingereza na kwenda K.J.VAJIN ya kiswahili mwaka 1942 Ktk kanisa la Mkunazini pale Zanzibar.

DINI ni nini????

Unaweza ukanisaidia maana ya DINI??

Huwa sielewi hili Neno Lina maana Gani.

Lina faida Gani???

Linanisaidia nini???
 
Back
Top Bottom