Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

KUMBE NDIO UJINGA MNAOJAZWA MSIKITINI MASIKINI.

DINI NI NENO LA KIARABU LENYE MAANA YA NJIA.

Naomba nikuthibitishie kuwa UKRISTO SIO DINI ni MATENDO MEMA ya Kumfuata Yesu kristo,mwana WA MUNGU ALIYE hai aliyekuja kufanya upatanishi kati yetu na Mungu Baba yake. ( UKRISTO NI Ufuasi kuwa mfuasi wa Yesu kristo)
Katika kutenda sawa sawa na Yoote aliyoagiza

UKRISTO NI KUJISALIMISHA NA KUNYENYEKEA MBELE ZA MUNGU KWA KUFUATA MAFUNDISHO YOTE ALIYOMTUMA YESU KRISTO.

YOHANA 14: 6
Mimi ndimi njia na kweli na Uzima mtu haji kwa Baba ila mimi.
Kama kweli Yesu ndie njia ya kweli na Uzima basi Lazima ni mfuate kwa sababu alifia dhambi ya Ulimwengu.
LAANA ya Adamu pale edeni.
Dhambi AMBAYO Ulimwengu mzima tulilaaniwa kupitia Adamu.

WARUMI 8:9.
Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wa kristo.

MANABII WALIKUWA NA ROHO WA KRISTO.

1PETRO 1:10.
Katika habari ya wokovu huo manabii walitafuta-tafuta na kuchunguza-chunguza, ambao walitabiri habari za neema itakayowafikia ninyi.

Wakatafuta ni wakati upi, na wakati wa namna gani ulioonywa na Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, ambaye alitangulia kuyashuhudia mateso yatakayompata Kristo, na utukufu utakaokuwako baada ya hayo.

HAPA NDIPO WALIOKUBALI KUMFUATA MAFUNZO YA YESU WANAITWA WAKRISTO.

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Matendo ya Mitume 11:26

NINYI WAISLAMU HAMNA ROHO WA MUNGU.
HAMNA ROHO WA YESU KRISTO.

Quran INASEMA WAISLAMU HAMJUI mambo ya Roho.
Na wakikkuuliza mambo ya Roho sema hatuujui mambo ya Roho.

QURAN INATUAMBIA WALE WALIO AMINI NI WA KRISTO.

Quran 2:62 - Hakika Walio amini, ni Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

UKRISTO SIO KIBOKSI NI MATENDO MEMA SAWASAWA NA YESU KRISTO WA NAZARETH.
Sikushangai kukataa ulicho andika na kukiposti.
Sio wewe ulie andika, ukatoa na Aya ktk Qur-an. 2:62, na kwa ukafiri wako ukaipotosha kwa kuibadili hiyo aya, ukaondoa NI na ukaweka NA, sio wewe, na nikakutaka ulete neno moja tu liitwalo UKRITO ktk bibilia unayoijua, na hadi sasa nalisubiri hilo andiko.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
@mdukuzi hakuna msikiti uliojengwa bila kuelekea makka,labda tuseme wewe ndio huijui kibra ilipo kulingana na enneo ulilopo
 
TAFSIRI yangu zaidi ni UKRISTO SIO DINI NI IMANI YA KUMUAMINI NYESU KRISTO KAMA BWANA NA MOKOZO WA MAISHA YETU.......

Yesu hakuleta DINI Duniani Bali ALIKUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU na minyororo ya dhambi akatufia msalabani kutuokoa na dhambi.

Historia ya dhambi ni kubwa siwezi nikaandika kwa sasa.... ..

NINACHOTAKA NIJUE DINI NI NINI?????

YESU alileta Imani ya UKRISTO.
Tunaomuamini ni WA KRISTO.
Na yeye ni KRISTO.

Yani wale waliopokea Roho wa MUNGU ni wa kristo....
Sina nijuacho MJINGA Mimi zaidi ya hii.

Kama unajua maana ya DINI unisaidie.
ILA USICHANGANYE IMANI NA DINI.
Ukiwa muongo basi uwe na kumbu²
Kama Yesu alileta imani ya UKRISTO, lete hilo andiko, na kama unasema hayo kwa akili zako pia sema. Kwani una wasi² gani wee kafiri, unaebadili Aya za Qur-ani na kuandika utakavyo wewe kwa ukafiri wako?
 
...
Wakiristo hamna uwelewa juu ya Qur-an, kwa sababu munaichukia.
Kama hujaelewa sema, usikasirike maana hutaelewa.
Sikia sheikh, hivi unajua kwa nini wakiristo wanaichukia Quran?.

Sababu mojawapo ni nyie wenyewe waislam, kwanza mna chuki sana ninaposema sana namaanisha hilo.

Muislam anachuki na ukristu kuliko nyama ya nguruwe so, huwezi kutaka wema kwa chuki hamna hicho kitu.
 
@mdukuzi hakuna msikiti uliojengwa bila kuelekea makka,labda tuseme wewe ndio huijui kibra ilipo kulingana na enneo ulilopo
Huyu alishaeleweshwa na akaelewa, hana tabu.
Shida ipo kwa huyu CAPO DELGADO alietoka nje ya mada kwa kuuchukia Uislamu na kudhihirisha ukafiri wake wa kubadili Aya za Qur-an.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
the most important issue is "FAITH" hayo mengine sio issue ni mapokeo tu"""""""MUNGU anaangilia kilichoko rohono mwako tu!!!!...ata ukiwa unatembea ukiwa unasali ni sawa tu!!!!nyie zanzibar waarabu si wajomba zenu!!
 
UFUNUO 9 11

Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Ufunuo wa Yohana

NGOJA WAAMKE WAO NI HASIRA NA HAWAJUI KUJENGA HOJA, UFUNUO 9 IMEANDIKA.

NINACHOIPENDA BIBLE ILIANDIKWA YOOTE KWAMBA HII DINI ITAKUJA DUNIANI.
Agano jipya au la kare
 
Sikia sheikh, hivi unajua kwa nini wakiristo wanaichukia Quran?.

Sababu mojawapo ni nyie wenyewe waislam, kwanza mna chuki sana ninaposema sana namaanisha hilo.

Muislam anachuki na ukristu kuliko nyama ya nguruwe so, huwezi kutaka wema kwa chuki hamna hicho kitu.
Mkuu, nimekuelewavizuri sana.
Ukimkuta muislamu ana chuki na Ukristo, basi huyo hajauelewa Uislamu wake.
Na ili auelewe uislamu ni lazima ausome. Shida ya hizi dini mara nyingi hatuzisomi. Na ndio maana hata mkisema tujadili Mti huu hapa, mtajikuta mnajadili Jiwe bila kupata muafaka wa mti. Hii inasababishwa na kuto kusoma kitu husika.
 
the most important issue is "FAITH" hayo mengine sio issue ni mapokeo tu"""""""MUNGU anaangilia kilichoko rohono mwako tu!!!!...ata ukiwa unatembea ukiwa unasali ni sawa tu!!!!nyie zanzibar waarabu si wajomba zenu!!
Na wazungu ni mama zao.
 
Ukiwa muongo basi uwe na kumbu²
Kama Yesu alileta imani ya UKRISTO, lete hilo andiko, na kama unasema hayo kwa akili zako pia sema. Kwani una wasi² gani wee kafiri, unaebadili Aya za Qur-ani na kuandika utakavyo wewe kwa ukafiri wako?

KAKA NIJIBU MAANA YA DINI KAMA UMESHINDWA SEMA.
TUSIPOTEZE WAKATI.

BIBLIA INATUFUMDISHA KUUKOMBOA WAKATI
 
TAFSIRI yangu zaidi ni UKRISTO SIO DINI NI IMANI YA KUMUAMINI NYESU KRISTO KAMA BWANA NA MOKOZO WA MAISHA YETU.......

Yesu hakuleta DINI Duniani Bali ALIKUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU na minyororo ya dhambi akatufia msalabani kutuokoa na dhambi.

Historia ya dhambi ni kubwa siwezi nikaandika kwa sasa.... ..

NINACHOTAKA NIJUE DINI NI NINI?????

YESU alileta Imani ya UKRISTO.
Tunaomuamini ni WA KRISTO.
Na yeye ni KRISTO.

Yani wale waliopokea Roho wa MUNGU ni wa kristo....
Sina nijuacho MJINGA Mimi zaidi ya hii.

Kama unajua maana ya DINI unisaidie.
ILA USICHANGANYE IMANI NA DINI.
 
AGANO JIPYA.

UFUNUO WA YOHANA 9.
UNABII unaonyeaha kuzuk Kwa Hao WATU kutoka uarabuni.

Ukihitaji kusoma zaidi na kuelewa ni PM.
Kama no agano jipya sinaga Imani nalo mm natumia la kale ambalo torati injiri avijachakachuliwa
 
TAFSIRI yangu zaidi ni UKRISTO SIO DINI NI IMANI YA KUMUAMINI NYESU KRISTO KAMA BWANA NA MOKOZO WA MAISHA YETU.......

Yesu hakuleta DINI Duniani Bali ALIKUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU na minyororo ya dhambi akatufia msalabani kutuokoa na dhambi.

Historia ya dhambi ni kubwa siwezi nikaandika kwa sasa.... ..

NINACHOTAKA NIJUE DINI NI NINI?????

YESU alileta Imani ya UKRISTO.
Tunaomuamini ni WA KRISTO.
Na yeye ni KRISTO.

Yani wale waliopokea Roho wa MUNGU ni wa kristo....
Sina nijuacho MJINGA Mimi zaidi ya hii.

Kama unajua maana ya DINI unisaidie.
ILA USICHANGANYE IMANI NA DINI.
Kwahyo kumbe akina dini ya ukristo ila uislamu ipo means dini ni moja ila Lila mtu anaamini kivyake sio?
 
QUR-AN UKIIJUA, NI RAHA SANA, HASSA UKIMPATA KAFIRI ANAEIJUA BIBILI NDIYO UTASTAREHE KABISAA...

QUR-AN. 3:19.
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

QUR-AN. 2:217.
.......Na yeyote katika nyinyi akiacha Dini yake akafa naye ni kafiri, basi hao ndio ambao a'mali zao zimeharibika duniani na Akhera. Na hao ndio watu wa Motoni; humo watadumu.

QUR-AN. 2:132.
132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

QUR-AN. 42:13.
13. Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

4:5-6. AYUBU.
5 Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.

6 Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
Umetoa ufafanuzi mzuri.
 
WAISLAMU WENGI NDIO MAANA MNAONEKANA WA HOVYO KWA SABABU YA UJINGA NA KUTOKUSOMA.

MASWALI HAYA YAMEULIZWA HAKUNA HATA MMOJA ALIYE JIBU KWA UFASAHA.

HAKUNA MUISLAMU ANAYE JIWEZA AKATUSAIDIA??????

1. Nani Alikuwa muislamu wa KWANZA KUSLIMkimya???

2. Wapi Mohamed ALIPO slimu kimya KWA AYA??..

3. Quran Imeandikwa na shetani kwa mujibu wa Aya 2:96 mnaeshindwa kujibu

4.Kwanini SHETANI anasema atawazaa na kuwafyekelea KUZIMU kimya.....

5. DINI ni Nini kimya.

6. JE waliompa MTUME UTUME ni akina nani kwa mujibu wa Quran 4.79.

7. JE VITABU alivyotuamlisha MTUME tuvisome vipo WAPI??????
Injili, ZABURI na Torati

8 watu wa VITABU ni WA kina nani??????.

9.kibra IPO wapi????
Inasaidia nini???
Na mtu aliyepo huko msikiti unageukia wapi?????
MUNGU anaabudiwa kwa Kibra au kwa Ukuu wake????

10. HIZO DINI zilizotangulia za watu wa VITABU zilifia wapi????????
Nani aliyeharibu VITABU....
JE mna original ya VITABU Ili Feki tukione kimya.........

MSITETEE SANA KWA USHABIKI JIBU SWALI UKIELEWEKA UTAKUWA MSAADA KWA WENGINE.

KAMA MNARUKARUKA UISLAMU WENU UNAKUWA NI WA BURE.......
 
Kwahyo kumbe akina dini ya ukristo ila uislamu ipo means dini ni moja ila Lila mtu anaamini kivyake sio?

Nataka NIJUE maana ya DINI????

DINI ni Nini.
DINI ni kitu Gani?

Unipe maana ya Neno DINI kama dini

Katika KUNIPA maana ya DINI usiweke Neno Imani.
 
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
JAMANI HIVI VITU KUVISOMA NA KUVIELEWA INATAKIWA MTU UWE TIMAMU KIDOGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Mkuu hebu tuliza akili kidogo halafu ondoa hiyo roho ya upotoshaji then soma vizuri hiyo aya na uyaelewe maneno niliyo bold hapo. Kama utakua bado hujaelewa nipo hapa kukufafanulia.
Assalaam alaykum.
 
NO.
Umeandika uongo mkuu, hebu subiri kwanza soon, eti binti FaizaFoxy Accumen Mo na Mufti kuku The Infinity hicho alichoandika huyu mtu ni kweli?.

Screenshot_20230507-102218.jpg
 
6. JE waliompa MTUME UTUME ni akina nani kwa mujibu wa Quran 4.79.
[4.79] Whatever benefit comes to you (O man!), it is from Allah, and whatever misfortune befalls you, it is from yourself, and We have sent you (O Prophet!), to mankind as an apostle; and Allah is sufficient as a witness.

Nadhani bando unalo au sio! Kama ndio basi nenda ka google maana ya MAJESTIC WE kama hujaipata again rudi hapa uje useme.
 
Back
Top Bottom