figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...
Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto yatima.
Ajabu nyama zimewazoea majumbani.. Huko Morogoro wamepeleka Makontena kutupa maporini...
Hata Biriani hawajatualika kisa hatukuwaalika Pasaka. Wamesahau Pasaka walikiwa kwenye mfungo wengi kuhiji.
Ndugu zetu waislam kuweni na roho nzuri.
Nyama umepewa bure, bado unamnyima jirani
Credit: Anayeongea Kwenye Video ni Selemani Msindi(Afande Sele aka Bbaba Tunda).