Waislam waliwanyima nyama ya Iddi Wakristo, Kontena zote zimeoza wamezitupa Pori la SUA

Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...

Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto yatima.

Ajabu nyama zimewazoea majumbani.. Huko Morogoro wamepeleka Makontena kutupa maporini...

Hata Biriani hawajatualika kisa hatukuwaalika Pasaka. Wamesahau Pasaka walikiwa kwenye mfungo wengi kuhiji.

Ndugu zetu waislam kuweni na roho nzuri.

Nyama umepewa bure, bado unamnyima jirani
KUNA WATU MNA UROHO WA AJABU
MNALALAMIKA HADI KUNYIMWA
NYAMA ZA COW, UTAFIKIRI
NA NYINYI NI WAUMINI WA HIYO IMANI
 
Tulia wew kafir
Utakuwa hujielewi,haikusaidii maishani,Bahati nzuri,umekutana na Mtu muelewa hizi dini zimeletwa na watu Kwa manufaa Yao Bora hata wazungu ukitenda ulaya na America utawakuta weusi kama kina,Tyson,Michael Jackson,Larry Holmes,Mohamed Ali,Hebu niambie hao waarabu,kizazi Gani cheusi Huko kina jina maarufu,nitajie hata Moja!SI walikuwa wanahasi!Acha kukifanya unajua dini,Pumbafuuu.
 
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...

Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto yatima.

Ajabu nyama zimewazoea majumbani.. Huko Morogoro wamepeleka Makontena kutupa maporini...

Hata Biriani hawajatualika kisa hatukuwaalika Pasaka. Wamesahau Pasaka walikiwa kwenye mfungo wengi kuhiji.

Ndugu zetu waislam kuweni na roho nzuri.

Nyama umepewa bure, bado unamnyima jirani
Hahaha chakushangaza adriz akuambulia cha maana ...hii siyo sawa.
 
Utakuwa hujielewi,haikusaidii maishani,Bahati nzuri,umekutana na Mtu muelewa hizi dini zimeletwa na watu Kwa manufaa Yao Bora hata wazungu ukitenda ulaya na America utawakuta weusi kama kina,Tyson,Michael Jackson,Larry Holmes,Mohamed Ali,Hebu niambie hao waarabu,kizazi Gani cheusi Huko kina jina maarufu,nitajie hata Moja!SI walikuwa wanahasi!Acha kukifanya unajua dini,Pumbafuuu.
Ndo points ulizochukua kutoka Kwa mchungaj wako Jumapili?
 
Nani atatamani kweli kula nyama za kafara kwa mungu mkuu wa miungu ya kiarabu?

adriz de mbusii
Utakuta wanahaha kwenye mabucha kuuza hizo nyama

Kuna myemem mmoja alikuwa mwanangu sana hko na anajiweza,kwenye kuchinja show alikuwa anasimamia mwenyewe na wanagawa wenyewe kwa wahitaji,wale masheh ubwabwa walikuwa wanawatupilia mbali

Ova
 
Andaa sadaka ya jumapil acha ngonjera mchungaj atakufa na njaa kwenye kanisa lenu la mabati, waumin 9
Shida unakariri,Kuna watu hatuna dini!Dini Bora ni hii kuwajali Yatima,Wagane,Wajane,Wagonjwa nk!Sio siku we mnyonge!
 
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...

Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto yatima.

Ajabu nyama zimewazoea majumbani.. Huko Morogoro wamepeleka Makontena kutupa maporini...

Hata Biriani hawajatualika kisa hatukuwaalika Pasaka. Wamesahau Pasaka walikiwa kwenye mfungo wengi kuhiji.

Ndugu zetu waislam kuweni na roho nzuri.

Nyama umepewa bure, bado unamnyima jirani
Credit: Anayeongea Kwenye Video ni Selemani Msindi(Afande Sele aka Bbaba Tunda).
Eti watoa matako😅😅
 
Jirani aliniambia mwongozo wa dini unataka agawe kwa waislamu tu ila ananialika nyumbani kwake kula.

Nilikula mbuzi na ninahisi alisahau mwongozo maana alinifungia nyama nyingine niondoke nayo
jirani yangu alipata kondoo watatu nikamuomba mmoja hakunipa. Nyama zimemuozea na kuzitupa dampo maana alikuwa nazo nyingi zaida hadi ng'ombe alipata
 
Wewe utakuwa na maisha magumu na stress za kukutosha na unaamini ugumu wa maisha yako umeletwa na makafiri ndo maana umejazwa Chuki isiyomithirika dhidi ya wasio na dini yako.You are probably a MUM graduate who cannot fit in the system.Waislam wenye maisha yao tunashirikiana kupeana michongo na tunaendesha maisha vizuri tu.
Nani alikwambia Kiarabu kinalipa uswahilini?
Safi sana bora nimpe chakula mbwa lakn sio kafiri

loose Nut
 
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...

Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto yatima.

Ajabu nyama zimewazoea majumbani.. Huko Morogoro wamepeleka Makontena kutupa maporini...

Hata Biriani hawajatualika kisa hatukuwaalika Pasaka. Wamesahau Pasaka walikiwa kwenye mfungo wengi kuhiji.

Ndugu zetu waislam kuweni na roho nzuri.

Nyama umepewa bure, bado unamnyima jirani
Credit: Anayeongea Kwenye Video ni Selemani Msindi(Afande Sele aka Bbaba Tunda).

Inaelekea vile visomo vya mashekhe ubwabwa havifiki vinapokwenda.
Kuna shekhe alimpiga zongo Afande Sele.
Mwingine alimpiga zongo Mange Kimambi.
Bado wanadunda😂😂😂😂😂😍
 
Back
Top Bottom