- Thread starter
- #21
Kama chadema?Ukishakuwa wa kulalama, kila siku na kila kitu utakilalamikia..!! LAST BORN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama chadema?Ukishakuwa wa kulalama, kila siku na kila kitu utakilalamikia..!! LAST BORN
Umeandika mistari mingi lkn yote ni utumbo mtupu. Hebu summary ulichokiandikaUnapiga kelele humu kana kwamba waislam ni kikundi kidogo katikati ya kundi kubwa la wakristo na wapagani, unawapigania haki zao unazoona hawapati. Huko ni kubagua watu wa nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini. Tanzania haiongozwi kwa misingi na itikadi za kidini, ni nchi huru raia wake wako huru kuamini na kuabudu dini na imani waitakayo. Acha kuweka alama za kibaguzi wa kidini kuwa waislam na uislam ndio kundi la kipekee kupata kila wakitakacho, kufanya waislam ndio kundi maalum kuliko mengine. Mbona wakristo huwa hawajitengi na kujiona wao ni bora kuliko wengine badala yake huona watu wote ni sawa na Mungu anawapenda hata kama si wakristo
Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.Waislam wenyewe wanasemaje kwani?
ASANTEEEE kwa taarifaSerikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
Mahkama ya Kadhi imeshindikana kuweka mpaka leo .Unasema mambo kijuu juu tu.Unapiga kelele humu kana kwamba waislam ni kikundi kidogo katikati ya kundi kubwa la wakristo na wapagani, unawapigania haki zao unazoona hawapati. Huko ni kubagua watu wa nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini. Tanzania haiongozwi kwa misingi na itikadi za kidini, ni nchi huru raia wake wako huru kuamini na kuabudu dini na imani waitakayo. Acha kuweka alama za kibaguzi wa kidini kuwa waislam na uislam ndio kundi la kipekee kupata kila wakitakacho, kufanya waislam ndio kundi maalum kuliko mengine. Mbona wakristo huwa hawajitengi na kujiona wao ni bora kuliko wengine badala yake huona watu wote ni sawa na Mungu anawapenda hata kama si wakristo
Mkuu@"loth hema umebadilika sana sio kama zamani ulikuwa na religion extremity ila kwasasa umebadilika sana vp umepata mchepuko wa kiislamu au?Kwani kuna anayewakataza kwenda kumuabudu allah ijumaa? Waende tu. Halafu we jamaa acha basi uchochezi wa kidini. Umewahi kusikia au kusoma wakristo wakijibagua na kutaka matakwa yao binafsi katikati ya jamii kubwa mchanganyiko nchini Tanzania? huo ni ubaguzi wa kidini na ni upuuzi na ushenzi
Hakuna presentation unaweza fanya chuo kikuu labda kile cha Morogoro. Nyie huwa hampendi Ilimu duniya kabisa.Nimekimbia shule ndio lkn nimekimbia baada kufanya presentation ktk chuo kikuu
Awapendi iliimu dunia wenye wapo busy na iliimu aheraaHakuna presentation unaweza fanya chuo kikuu labda kile cha Morogoro. Nyie huwa hampendi Ilimu duniya kabisa.
HAlafu kutwa kuchwa wanalalamika tu humuAwapendi iliimu dunia wenye wapo busy na iliimu aheraa
Waislam wenyewe hawataki kwenda msikitini. Utawalazimisha?Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.
"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)
Nalo neno....Waislam wenyewe hawataki kwenda msikitini. Utawalazimisha?
Nimeipenda hiiBaadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.
"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)
Tunataka mda huo vikao visitishwe tukaswali periodWaislam wenyewe wanasemaje kwani?
Wewe mbona unapiga sana makelele mpaka huku back bencher tunakusikiaUnapiga kelele humu kana kwamba waislam ni kikundi kidogo katikati ya kundi kubwa la wakristo na wapagani, unawapigania haki zao unazoona hawapati. Huko ni kubagua watu wa nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini. Tanzania haiongozwi kwa misingi na itikadi za kidini, ni nchi huru raia wake wako huru kuamini na kuabudu dini na imani waitakayo. Acha kuweka alama za kibaguzi wa kidini kuwa waislam na uislam ndio kundi la kipekee kupata kila wakitakacho, kufanya waislam ndio kundi maalum kuliko mengine. Mbona wakristo huwa hawajitengi na kujiona wao ni bora kuliko wengine badala yake huona watu wote ni sawa na Mungu anawapenda hata kama si wakristo
Kàma ni lazima kuna hawà àmbào hawaendi wanafanywa nini?Wakiristo kwenda kanisani ni option. Muislam ni lazima kwenda msikitini
Eti wewe naye ulifanya presentation chuo kikuu.Itakuwa ni MUM hiiUmeandika mistari mingi lkn yote ni utumbo mtupu. Hebu summary ulichokiandika
Kwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?Tunataka mda huo vikao visitishwe tukaswali period
Kwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?Tunataka mda huo vikao visitishwe tukaswali period